TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Watu wanaacha kusoma tangu wakiwa wadogo wanaangaika na vitabu vya mtume halafu Leo anasema hakuna ajira
 
Nani kakuambia hakuna vigezo? Acha hizo. Visingizio vilikua zamani, Waislam wameamka. Na bahati yenu kwa kua MoU imesaidia. Acheni hizo! Leo ndo unasema vigezo? Acha udini!
Kunamislamu aliyeomba kazi akawa na vigezo akakosa? Ama nyie ndio ndugu lawama mliojaa Dar es Salaam, hamna jema.

Kazi ikitangazwa wewe omba, fanya interview utapata. Na ukiwa na vigezo ukakosa then ndio ulalamike.

Kusoma ni moja ya vigezo lakini sio Kila ELIMU unayosoma ni kigezo kwa kazi husika kuna vitu vingi huangaliwa
 
1.tafuta takwimu za kwako ambazo ni sahihi kisha uziweke hapa
2. Si kwa idadi hyo yaani muislamu 1 shirika zima?? Sio hoja eti waislam kuwa hawajapata fursa ya kusoma ebu tuangaze huko vyuoni ina maana wote wale hufeli na kuishia mtaani??
Mtake msitake huo ndo ukweli wa mambo ulivyo
1.Sina muda wa kipuuzi na kupoteza kutafuta takwimu za watu na dini zao kwani sina mpango wa kujenga msikiti au kanisa karibu na ofisi hizo. Eti walitumia kigezo cha dini kuajiri. Yaani kama nafasi imetangazwa hajaomba dini fulani niende barabarani nikambembeleze mtu wa dini Fulani. Umeona wapi kwenye sayari hii mambo ya kijinga kama hayo
2. Kwani kusoma ndo kuajiriwa njoo na hoja kuwa waliingia watu dini kadhaa kwenye interview lakini matokeo yalikuwa hivi lakini hawa hawakufanya vizuri lakini wakapewa nafasi kwa sababu ya dini zao.
 
Mkimaliza udini mtaanza ya ukabila, Ku judge sura had colour watanzania tunayo mengi ya kufanya kujikwamua zaidi ya udini
 
Hivi wewe umesoma kweli bado unaongelea udini kweli Tanzania we we badala ulete maswala ya msingi unaongelea ajira za watu what if baba yako ndo angekuwa kaajiliwa Tanesco ungethubutu kuandika hicho ulicho kiandika kweli.
mbona NSSF watu wamezunggumzia udini ? why not tanesco wasizungumzie
 
Udini ni uislam tu , wengine sio udini
 
We nguruwe ina maana waislamu walioajiriwa NSSF hawana qualifications??? pimbi kweli wewe, hadi leo unakuja na zilezile sound kuwa waislam hawajasoma, umefanya utafiti ukajiridhisha kuwa hawapo wenye qualifications, acheni roho mbaya! ina maana kitendo tu cha kuwa mkristo ni lazima uwe na chuki dhidi ya waislamu? hili li dini lenu ndo maana linazidi kukimbiwa na waumini, halina maana yoyote duniani, naona mmeachiwa miafrika muhangaike nalo

Pamoja mkuu, 100%
 
Si ajabu ndio maana nchi inarudi nyuma wanaoiongoza eti wamesoma, ndio maana unaona mambo mengi ya ajabu ajabu, uongo vigezo sio elimu ni mfumo, hii ni kuitia nchi nuxi kila aina na kila leo nuxi zitazidi na maendeleo hayaji kabisa.
 
Wabalance hata Kama huna vigezo? Ukiwa na vigezo hakuna shida unapata bila tatizo na swala sio balance ni wenyevigezo wapate, wasio na vogezo washinde kwenye keyboard wakifanya majungu
kwa hiyo waislam walioajiriwa nssf hawana vigezo vya elimu isipokuwa dini yao , ndio maana wakristo wanapiga kelele kuhusu nssf
 
Hawa jamaa kwa kutafuta njia nyepesi hili waonewe huruma hawajambo,yaani they're too cheap! Ten year ikulu imekuwa na rais mwislam,makamu mwislam,jaji mkuu mwislam,mkuu Wa usalama Wa taifa muislam bado wanalialia tu ,what's wrong with you janjaweed?
Remember,there is no free lunch in town get yourself good education instead of being crying babies.
 
mkuu uko sahihi!naona wanajificha nyuma ya usomi wa wagalatia!ila kama mgalatia mmoja atamchomeka mwenzie,na alyechomekwa akamchomeka mwingine...je hao waislamu watatu watakuwa na nguvu ya kuyachomeka na wenzao,at least hata kama hairuhusiwi...wataweza?hii ni too much,aisee!


Umeambiwa wamechomekwa? Uhalisia kazi ikitangazwa kati ya kumi wanaoomba waislamu unakuta wawili ama watatu wengine wote wakeisto.

Mnapenda kubebwa sana hata Kama hambebeki
 
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.

Na mlivyokuwa mnamshupalia DAU kuwa NSSF kageuza msikiti,nyi wagalatia MNA roho mbaya Sana aisee,
 
Wagalatia hapa povu zinawatoka lakinj kule NSSF mnadai kuna udini hapa hakuna udini ,, why double standards .. Au hii nchi si ruksa waislam watatu kukaa ofisi moja lakini wenzetu ni ruksa!

Yule aliyeleta thread ya NSSF haluitwa mdini..

Huyu aliyeleta ya tanesco ni mdini..
 
Hawa jamaa kwa kutafuta njia nyepesi hili waonewe huruma hawajambo,yaani they're too cheap! Ten year ikulu imekuwa na rais mwislam,makamu mwislam,jaji mkuu mwislam,mkuu Wa usalama Wa taifa muislam bado wanalialia tu ,what's wrong with you janjaweed?
Remember,there is no free lunch in town get yourself good education instead of being crying babies.
Kuwahesabu hao ni waislam inakuwa huujui uislam,
 
Wabalance hata Kama huna vigezo? Ukiwa na vigezo hakuna shida unapata bila tatizo na swala sio balance ni wenyevigezo wapate, wasio na vogezo washinde kwenye keyboard wakifanya majungu

Nonsense ,nyi wagalatia tushawazoea,
 
Back
Top Bottom