TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Wagalatia siku zoote ndiyo zao hiziii

Vimemo vya kupeana ajira zinapitia huko makanisani kila juma pili wanapoenda kuungama dhambi zao kwa kina pengo na gwajima

Huko huko wanapeana vimemo na kugeuza ofc za umma kuwa dayosis kama hii Tanesco.

Kinachoumiza zaid hakuna wanachofanya cha maana zaid ya wizi na kulitia taifa umaskin tuh
 
Magufuli avunje hiyo bodi ya Tanesco na afumue hiyo management yoote ihojiwe kwanin wamegeuza Shirika kuwa Dayosisi.
 
Segerea ndiyo ubalozin siyo?

Ha ha ha waimba kwaya shida sana

Hebu Tupeni majibu kwann hii Tanesco mmeigeuza kuwa Dayosisi ya usharika wa ubungo?

Kumbe mnatulaza gizan kwa kuwa hakuna cha maana mnachofanya huko zaid ya wizi na kuchezana kipaimara tuh?

Tunataka majibu sasa...na tukitoka hapo Tanesco tutahamia kwingine...
1457871267131.jpg


Huyu kaiba licha ya udini wake
 
Hivi criteria ya kuajiriwa serikalini ni dini au ni ujuzi na maarifa aliyonayo mtu?. Watanzania tusipokuwa makini kwenye haya mambo ya msingi tutakujajijutia baadae na tutajenga taifa la manunda. Naomba tunapochangia kwenye hizi mada tuwe waangalifu na michango yetu. Waliopewa dhamana kwenye taasisi mbalimbali wanatakiwa pia wawe waangalifu sana maana mambo ya kuajiriwa kwa kujuana yakiendelea kupewa nafasi yataligawa taifa. Ni vivi majuzi tuu tuliona kuhusu watoto wa vigogo BOT mara NSSF na leo Tanesco. Hivi hali ikiendelea hivi mtoto wa mwananchi wa kawaida kabisa aliyesoma atakuwa na nafasi gani katika hii nchi?
 
ukristo=ufisadi, rushwa ,mauji ya vikongwe, ulevi, kutembea uchi, wizi, ushoga, nk
 
Rais wetu mpendwa wako wapi wasaidizi wako wa usalama wa Taifa wawashughulikie wachochezi wanahubiri udini kama mtu huyu?
 
Enough is enough sasa

Wamejaa sana huko na sehemu zingine nyingi bado hawatosheki na wanakuja kutuandama waislam eti pale anapoonekana mkurugenz fulan au kiongoz fulan ni muislam basi ni tabu

Wanasema Udom kuna udin eti kisa ni kuna viongoz waislam

Wanasema CAG Prof Assad amejenga msikit ofc ya umma eti kisa ni muislam

Wanasema Dr Dau kajenga msikit Nssf eti kisa ni muislam

Tatizo lao ni nin?

Mbona wao wamejenga makanisa ofc nyiingi tuh za serikali sisi tunapokaa kimya wanadhan sisi ni wajinga?

Tumechoka sasa kama mbaya wacha tuh iwe mbaya zaid..hiz choko choko wameanza wao
Pole sana Mkuu!

Punguza hasira.
 
Ndiyo umeandika nini sasa, you are full of garbage just like your senseless religion. Waislamu Wa nchi hii uvumilivu umetuisha na lazma kuwe na mabadiliko ya kimfumo by any means necessary.
Taratibu Mkuu!

Tutaumia wote.
 
Magufuli avunje hiyo bodi ya Tanesco na afumue hiyo management yoote ihojiwe kwanin wamegeuza Shirika kuwa Dayosisi.

Mkuu nskubakiana nawe kwamba kuna umuhimu wa kufumua bodi nzima ya TaneSco vile vile nakubaliana nawe kwa kiasi kuhusu managenent - binafsi ningependekeza igawanywe kweny kampun tatu namely: (1)Yaku generate/zalisha umeme (2)
 
Udini upo kwa waislam mnapo ambiwa ukweli mmnaanza kijitetea mambo ya kijinga NSSF mbona mlitoka pofu mdomoni kua kuna udini mbona huku mnaanza kujitetea mambo yasiyo eleweka
 
hahaha ushahidi wa parokia ndani ya tanesco, na ndio maana kipindi kile dr rashidi akiwa dg alikuwa anqpigwa sana vita,kumbe ni kutokana na uislam wake. Lakini kiukweli Dr Rashid alikuwa ni super director, baade akaja mwenzao madudu aliyoyafanya...ni historia, sijui hizi seminary zao kazi yake kuu ni kuzalisha mafisadi tuu,yaani nashindwa kuelewa mkuu, hii elimu wanayojivunia ni elimu ya aina gani
Super director??Rashid ni msomi na intelligent lakini kumbuka katika deal la rada yeye na chenge walichukua share,sio kweli kuwa dr rashidalipigwa vita binafsi sijasikia udini wake hakiwa kama sheikh dau
 
Tusitibiwe kwenye hospital zao gan wewe muimba kwaya?

Hospital hizo mnazochukua mabillions ya pesa zetu za kodi kwa kutumia MOU kisha mnendesha huduma na hapo hapo tukija sisi tunachangia huduma?

Wewe unadhan hizo hospitals km kcmc bugando n.k bila cost sharing na serikali mngeweza ziendesha nyinyi?

Nyinyi hamna mnachojua zaid zaid ya wizi na ufisadi tuh.

Majipu.




Mkuu nakuhurumia kwa kujaa ujinga unahitaji ukombozi wa fikra
Kcmc
Bugando
Seliani
Peramiho
Hydom etc zilijiendesha zenyewe kwa pesa zao mpaka serikali ikataka kushirikiana.kwa vile kutoa huduma za.jamii serikali pekee isingeesha.kwa ufanisi usijidanganye wakristu hawajashindwa kuendesha taasis zao zozote kwa pesa zao,mbona nyie.mmeshindwa kila kitu??si.mjenge muona.kama serikali isingewachangia??mmezoea kubebwa bado mnalalamika shule zenu nyingi ma zero chuo kile kimoja.moro kimewashinda!!! Be the change you want to see dont complain??
 
Ukoloni na Utumwa ulikuja na mambo mengi sana moja ikiwa dini ili kudhoofisha uwezo wa kufikiri waliotawaliwa na muarabu wakawa waislamu na wa mzungu wakawa wakristo na pia

ulituachia mambo mengi sana moja ikiwemo MAJINA wale wenye majina ya kizungu wanaitwa wakristo wenye majina ya kiarabu waislamu

Mwisho wa siku tukaacha ile miungu yetu tukahamia miungu ya kisasa na majina pia tukaanza tumia ya watawala wetu ili nasi tuonekane watu katika watu.

Tuwaige ata ndugu zetu wa Asia (chinesse & Indians) walipelekewa wamishonari na dini zao na wakaondoka na dini zao vivyo hivyo na katika majina walikuja nayo wakaondoka nayo

#jiwekehurunautumwawafikra
 
Exactly...

Na hizo shule hamkujenga wenyewe

Mlirithi kutoka kwa babu zenu wakoloni waliokaja kutufanya sisi watumwa...

Mbaya zaid mkataka ili waislam waweze kusoma huko sharti wawe wakristo na wale nguuruwe na vitu kama hivyo na hapo ndipo mlipoanza kujenga tabaka la elimu ndan ya nchi hii

Lakin that was long time agoo..

Two decades after waislam walipopata ahuen watoto wamepeleka shule na kuweza kupata qualifications..

Sasa tatizo lililopo ni kwamba nyinyi stil mmelewa na ule utaratibu wa zaman kwamba mmezoea kujiona nyinyi tuh huko serikalin kama alivyokawazoesha mkoloni

Mkimuoma muislam huko mnamuona kama Intruder kitu ambacho sicho

Dayosisi zifee huko maofisin hizi siyo zama za mabwana zenu wakolon wala siyo zama za kambarage

Mkae mkitambua zama zimebadilika

Bingwa wa kupandikiza chuki za dini uisilamu v/s ukristo. Kwa sehemu kubwa kwenye hili umefanikiwa lakini katika hilo hausemi ukweli. Ukijaribu kufananisha bila kuingiza ushabiki wa kidini jaribu kuchukulia kijiji chenye waisilamu wengi na kijiji chenye wakristo wengi hapa nchini. Mfano mrahisi kijiji kilichoko hapo Mtwara na kijiji kilichopo kilichopo Mbeya, utakuta kijiji kilichoko Mbeya chenye wakristu wengi wana nyumba bora wakati kijiji kama hichohicho huko Mtwara chenye waisilamu wengi unakuta nyumba nyingi ni za kuezekwa kwa makuti. Na tofauti hii sio kwamba imeletwa na serekali bali ni jitihada tu za wananchi wa sehemu husika. Kwa hiyo hapa kuna tatizo la mindset baina ya wakazi wa vijiji hivi. Wakati hao wa Mtwara wanaamini serekali ndio inawanyima maendeleo, hawa wa Mbeya wanajua maendeleo yao watayaleta wenyewe kwa kufanya kazi.

Wewe the big show bado umebaki na mitazamo ile ya kizamani za enzi za Nyerere kwamba kwa kuwa alikuwa mkristu basi aliwapendelea wakristo. Na kwakuwa kuna ugumu wa maisha basi ukimpandikiza mtu mvivu hisia kama hizi zako anapata mahali pa kuficha udhaifu wake. Huko Mtwara kwa kweli hata ukienda leo uangalie nyumba zao ni aibu kwa kweli, sasa jaribu kwenda sehemu kama Kagera jaribu kuangalia nyumba zao. Wenzenu wana wivu wa maendeleo wewe unaleta wivu wa kidini kisha unaambatanisha na ubora wa maendeleo. kwa macho yangu siku hizi najionea makanisa yakiibuka kama uyoga na hayapati msaada wowote toka serekalini kama mnavyoaaminisha waisilamu wenzenu. Unakuta mtu anahubiri popote barabarani lakini mwisho wa mahabiri yake anachangisha watu walioguswa na maelezo yake. Akifanya hivyo baada ya mwaka mmoja unaona anabadilika kimaisha kwani ananunua mahali anajenga kanisa, anapata waumini wengi wanatoa sadaka na kisha taasisi yake inakuwa kubwa. Sasa ndugu zangu waisilamu mkiingia mtaani kwenye mihadhara badala ya kueleza mazuri ya dini yenu na kuchagiza maendeleo kwa waumini wenu, mnaishia kumnanga Yesu na kutafuta malazi msikitini ikifika jioni. Wenzenu wameshatoka huko, sasa hivi wanaendesha madhehebu yao kwa michango ya fedha na wanashawishi waumini wao kupatia familia zao elimu na kuwa na wivu wa maendeleo.
 
Back
Top Bottom