TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Hakuna haja ya kutembea umbali mrefu kwenda kutafuta kanisa ningeshauri serikali ipeleke mchungaji pale tanesco ili watu wachape kazi badala ya kupoteza muda kuzunguka.
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Swala ni kwamba Je hao waislam wenye sifa wapo?? Usikute unabwabwaja wakati hata cv hamna na wala hamkuApply..

Pia unaweza ukawa na sifa ila kazi hujui mfano huu utasababisha uwe mzigo kwenye shirika.. Sasa unategemea nn mtu kama wewe unabaki kupiga majungu mda wote unategemea utakuwa productive kweli..
 
Exactly...

Na hizo shule hamkujenga wenyewe

Mlirithi kutoka kwa babu zenu wakoloni waliokaja kutufanya sisi watumwa...

Mbaya zaid mkataka ili waislam waweze kusoma huko sharti wawe wakristo na wale nguuruwe na vitu kama hivyo na hapo ndipo mlipoanza kujenga tabaka la elimu ndan ya nchi hii

Lakin that was long time agoo..

Two decades after waislam walipopata ahuen watoto wamepeleka shule na kuweza kupata qualifications..

Sasa tatizo lililopo ni kwamba nyinyi stil mmelewa na ule utaratibu wa zaman kwamba mmezoea kujiona nyinyi tuh huko serikalin kama alivyokawazoesha mkoloni

Mkimuoma muislam huko mnamuona kama Intruder kitu ambacho sicho

Dayosisi zifee huko maofisin hizi siyo zama za mabwana zenu wakolon wala siyo zama za kambarage

Mkae mkitambua zama zimebadilika
Tatizo Ni kuwa siyo wote au wakristu Ni wakatoliki , Mimi mlutheri unavyonihukumu Na utakavomuhukumu muanglikana au msabato au mroma lazima uzingatie Hilo kuwa siyo kila mkristu Ni mroma lakini pia nyie mnatuita makafiri Na majina mengine lakini mnasahau kuwa shule nyingi kabla ya nationalization zilikua chini ya makafiri Na baba zenu Na watoto wenu walipata elimu huko, ongezeni bidii KATIKA ELIMU Ni mjinga pekee aaminiye kuwa atakuja kupata zali la kimentali katika maisha.
 
Sasa nyinyi mnajua kaz gan zaid ya wizi tuuh?

Nchi hii kila siku wizi na ufisadi ukitizama ni watu wa dayosisi...

Juz juz hapa Escrow mkaona haitoshii mkaleta kabisaaa maaskofu na makanisa

Ujue nyinyi ni nuksi sana

Ngoja Magufuli awatumbue
Swala ni kwamba Je hao waislam wenye sifa wapo?? Usikute unabwabwaja wakati hata cv hamna na wala hamkuApply..

Pia unaweza ukawa na sifa ila kazi hujui mfano huu utasababisha uwe mzigo kwenye shirika.. Sasa unategemea nn mtu kama wewe unabaki kupiga majungu mda wote unategemea utakuwa productive kweli..
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Hivi udini ni nini katika hili..??
1. Idadi ya watu wa dini moja..??
2. vigezo vilivyotumika watuvhao kuwepo hapo..??

Kwangu hata kama wangekuwa idadi sawasawa, kama wameingia hapo kwa sababu ya dini zao hapo ndo tungesema ni udini
 
Acheni ubwege nyie tanesco ingejaa Ukristo kile Chuo cha Tansco pale Morogoro si wangepewa
,Wakristo,? Mbona Benjamin Mkapa aliwapa tena bure Waislam chuo chote na hakuna mkristo alilalamika,
Sasa matokeo yake Chuo mmepewa wasomi wa kuwapeleka kwenda kusoma hapo hamna Seminary zenu zinatoa Div.O za kutosha. Hivi mnataka mbebwe na mbereko gani nyie watu, tukiwambia pelekeni watoto shule walasome nyie mnawapeleka Madrasa matokeo yke ni Ziro sekondari na hata vyuoni matokeo yenu ni hovyo tu.

Hivi toka mmepewa chuo cha Tanesco Morogoro mmezalisha wasomi wangapi pale, sasa hao si ndio wangeajiliwa hapo tanesco badala ya kuwafundisha vijana Elimu ya dunia hapo chuoni mnawafundisha kuchora Quran alafu mnataka ushindani kwenye soko la Ajira.
Wakristo wenzenu tunajenga vyuo na shule kwa sadaka zetu, Seminari zetu zinatoa matunda bora, wakati nyie zenu zinatoa mayai viza.
 
Sasa tatizo lililopo ni kwamba nyinyi stil mmelewa na ule utaratibu wa zaman kwamba mmezoea kujiona nyinyi tuh huko serikalin kama alivyokawazoesha mkoloni

Mkimuoma muislam huko mnamuona kama Intruder kitu ambacho sicho

Dayosisi zifee huko maofisin hizi siyo zama za mabwana zenu wakolon wala siyo zama za kambarage

Mkae mkitambua zama zimebadilika

Hamna mtu ambaye alikua mdini nchi hii kama Khalfani Kikwete Na katika kipindi chake ndipo mlipo diriki Ata kuchoma makanisa Na kuwaua watumishi wa bwana kama hiyo aitoshi kikwete alirudisha hadi waislam wenzake waliokua nje Kuja kushika nyadhifa muhimu serikalini .

Kumbuka jaji mkuu wa nchi Ni muislamu sina doubt Na elimu yake , Mkurugenzi mkuu wa TEHAMA Ni Muislamu lakini pia kubwa zaidi MKURUGENZI MKUU WA TISS/SPY MASTER Ni muislamu bado serikali iliamua kuwapa chuo huko Morogoro kama chuo kikuu chenu bado mnalalamika mnataka nini ?

Mlitaka kupoteza elimu yetu kidini pale mlipomshinikiza Khalfani amuondoe Ndalichako Joyce PROFESSOR eti anachangia watoto wenu kufeli mkafanya Na sherehe sasa amerudi kilio chenu kitakua zaidi ya kile cha samaki majini.

Usiempenda kaja.
 
Tatizo la Makontata wanatoa shutuma NSSF kwa maneno ya kusikia huku chuki dhidi ya Muislam Dr.Dau (japo ana mapungufu yake kama mwanadam) lakini ni moja Kati ya mashirika lukuki ya serikali yenye kufanya vyema kuliko hata hili la Tanesco lenye watu wengi wanaokula Kitimoto.
 
Jirani yetu hapa kuna m'mama mgalatia ana mtoto anatumia jina la Asha, huyu mtoto anafanya vizuri shuleni, lakini anafanyiwa mizwenge imekuja kuonekana kwamba tatizo ni jina analotumia.

Nimemfata jirani yangu nikamwambia, tunapowaambia nyie Makafiri mnaroho mbaya huwa unabisha...haya unaona sasa! Mama kimya kafunga mdomo!

Mkuu kafiri na gaidi nani ana roho mbaya??
 
Aaah wapii..!

Mnajenga kwa sadaka zenu wapii nyinyi wakati mnaiba pesa za umma kisha mnakimbilia kanisani kutoa sadaka?

Wewe unataka kuniambia umesahau Escrow?
Waambien Maaskofu huko sadaka ngumu safari hii Ngosha kabana kote koteee

Majiz makubwa
Acheni ubwege nyie tanesco ingejaa Ukristo kile Chuo cha Tansco pale Morogoro si wangepewa
,Wakristo,? Mbona Benjamin Mkapa aliwapa tena bure Waislam chuo chote na hakuna mkristo alilalamika,
Sasa matokeo yake Chuo mmepewa wasomi wa kuwapeleka kwenda kusoma hapo hamna Seminary zenu zinatoa Div.O za kutosha. Hivi mnataka mbebwe na mbereko gani nyie watu, tukiwambia pelekeni watoto shule walasome nyie mnawapeleka Madrasa matokeo yke ni Ziro sekondari na hata vyuoni matokeo yenu ni hovyo tu.

Hivi toka mmepewa chuo cha Tanesco Morogoro mmezalisha wasomi wangapi pale, sasa hao si ndio wangeajiliwa hapo tanesco badala ya kuwafundisha vijana Elimu ya dunia hapo chuoni mnawafundisha kuchora Quran alafu mnataka ushindani kwenye soko la Ajira.
Wakristo wenzenu tunajenga vyuo na shule kwa sadaka zetu, Seminari zetu zinatoa matunda bora, wakati nyie zenu zinatoa mayai viza.
 
Sasa wewe muimba kwaya...kujazana kwa Parokia hapo Tanesco na Serikali kutoa chuo cha Tanesco kujenga chuo kunaingiliana vipi?

Nan anaependwa kubebwa baina ya wakristo na waislam nchi hii?

Hiyo MOU mliyoingia kisiri siri na serikali huku mkinyonya jasho letu siyo kubebwa huko?

Mnapewa billions of money pesa zetu za kodi na stil hata tukienda kwenye hizo hospitals bado huduma tunachangia kwa bei ghaali ndiyo mtasema nin sasa.

Majipuu.
Acheni ubwege nyie tanesco ingejaa Ukristo kile Chuo cha Tansco pale Morogoro si wangepewa
,Wakristo,? Mbona Benjamin Mkapa aliwapa tena bure Waislam chuo chote na hakuna mkristo alilalamika,
Sasa matokeo yake Chuo mmepewa wasomi wa kuwapeleka kwenda kusoma hapo hamna Seminary zenu zinatoa Div.O za kutosha. Hivi mnataka mbebwe na mbereko gani nyie watu, tukiwambia pelekeni watoto shule walasome nyie mnawapeleka Madrasa matokeo yke ni Ziro sekondari na hata vyuoni matokeo yenu ni hovyo tu.

Hivi toka mmepewa chuo cha Tanesco Morogoro mmezalisha wasomi wangapi pale, sasa hao si ndio wangeajiliwa hapo tanesco badala ya kuwafundisha vijana Elimu ya dunia hapo chuoni mnawafundisha kuchora Quran alafu mnataka ushindani kwenye soko la Ajira.
Wakristo wenzenu tunajenga vyuo na shule kwa sadaka zetu, Seminari zetu zinatoa matunda bora, wakati nyie zenu zinatoa mayai viza.
 
uzi umejaa kebehi na mizaha ya waislamu,...
sifa na vigezo kuzingatiwa(elimu dunia).......
madufu+misuli+tende,+kulala misikitini....vimewakosesha elimu dunia waacheni akina john wapige kazi...
 
mtalala mika sana nyie pelekeni watoto madrasa mtegemee hiyo elimu yamajini kama itawasaidia mnataarisha waganga wa baadae
ndivo mlivokaririshwa na viongozi wenu wa makanisa kwamba wakiwaita wadini, waambieni "nyinyi hamjasoma" na ndomana mpaka leo mukipewa hoja za msingi utetezi wenu ni huohuo hamjasoma, wajinga kabisa nyinyi wagalatia
 
Mimi nashangaa nyinyi kujiita wasomi huku hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya kuiba pesa za umma na kuzitoroshea kwenye sadaka makanisani

Huko mnajenga shule na vitu vingine kumbe ni fedha za umma hizo

Na pia nyinyi ni maskin tuh na wenye kupenda kubebwa bebwa

.hizo shule nyingi mnasema zingine ziliachwa na bwana zenu wakoloni na zingine ni MOU ambayo ni msaada wa serikali tena kwa kodi zetu..mtatuambia nin

Hakuna cha maana mnachokifanyia taifa hili zaid zaid ya wizi na ufisadi tuuh

Mwisho hapa kwenye escrow had makanisa na maaskofu mkayashirikisha kwenye wizi wa mali ya umma.

Majipuuu nyinyi
Mfano hai ni matokeo ya form 4 ya juzi juzi ukiangalia shule zinazo ongozwa na taasisi za dini ya kiislam ndo zinazoshika mkia kitaaluma na zinaongoza kwa machangudoa na wavutabangi
 
ndivo mlivokaririshwa na viongozi wenu wa makanisa kwamba wakiwaita wadini, waambieni "nyinyi hamjasoma" na ndomana mpaka leo mukipewa hoja za msingi utetezi wenu ni huohuo hamjasoma, wajinga kabisa nyinyi wagalatia
Mtalalamika sana na wala hamtasaidika
 
JF muwe makini,kuweka thread za udini humu ni ujinga sana.any way baada ya kuimarisha shule wapatikane wasomi wao wanashindanisha watoto kuso kurwaniii
 
Back
Top Bottom