steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,568
- 13,836
Hiki tena sio kigango itakuwa parokia aseee.
HAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA,
CC: GENTAMYCINE
Hiki tena sio kigango itakuwa parokia aseee.
waislam tumesoma UDSM.MZUMBE.SUA. lakini hatuajiriwi wanaajiriwa waimba waya tuTofautisheni haki na upendeleo.mmesoma wapi???embi taja shule na vyuo vya waislam??hivi siku wakristu wakiwakataa msome kwwnye shule zao.au.msitibiwe kwenye hospitali zao si itakuwa disastors??
Exactly...
Na hizo shule hamkujenga wenyewe
Mlirithi kutoka kwa babu zenu wakoloni waliokaja kutufanya sisi watumwa...
Mbaya zaid mkataka ili waislam waweze kusoma huko sharti wawe wakristo na wale nguuruwe na vitu kama hivyo na hapo ndipo mlipoanza kujenga tabaka la elimu ndan ya nchi hii
Lakin that was long time agoo..
Two decades after waislam walipopata ahuen watoto wamepeleka shule na kuweza kupata qualifications..
Sasa tatizo lililopo ni kwamba nyinyi stil mmelewa na ule utaratibu wa zaman kwamba mmezoea kujiona nyinyi tuh huko serikalin kama alivyokawazoesha mkoloni
Mkimuoma muislam huko mnamuona kama Intruder kitu ambacho sicho
Dayosisi zifee huko maofisin hizi siyo zama za mabwana zenu wakolon wala siyo zama za kambarage
Mkae mkitambua zama zimebadilika
Umekuwa muwazi kupita kiasi hiki!!!! Taratibu tafadhali.Na hata marais tulipoanza kuwachagua vilaza wanatoka upande uleule wa walalamishi
Mkuu huko udsm hata mimi nimesoma uongea uhalisia?wachaga,wahaya na wanyakyusa ndio majority sasa kweli huoni aibu kwenye hiyo competitio n uone waxaramo.wakwere.wasambaa na warufiji wachomoze?waislam tumesoma UDSM.MZUMBE.SUA. lakini hatuajiriwi wanaajiriwa waimba waya tu
Pamoja na kupewa kile chuo TANESCO Morogoro na kukibadili kuwa chuo kikuu bado haijasaidia kitu. Wamejaza maprofesa wa dini tu.Mkuu huko udsm hata mimi nimesoma uongea uhalisia?wachaga,wahaya na wanyakyusa ndio majority sasa kweli huoni aibu kwenye hiyo competitio n uone waxaramo.wakwere.wasambaa na warufiji wachomoze?
Aisee mkuu hii ni parokia kwakweli.Duuh wao dr Dau walikuwa wanamnyooshea kidole facts hawana,Hiki tena sio kigango itakuwa parokia aseee.
Rudia tena kuisoma post niliyoku qoute boss kubwa..Nyie ndiyo mlikuwa manalalamika kuwa NSSF kuna udini bila ushahidi mmewekewa ushahidi wa Tanesco ilivyo kama kikango cha Kanisa hiyo orodha wana kwaya watupu unajifanya huoni unaleta drama za CCM na CUF.
hahaha ushahidi wa parokia ndani ya tanesco, na ndio maana kipindi kile dr rashidi akiwa dg alikuwa anqpigwa sana vita,kumbe ni kutokana na uislam wake. Lakini kiukweli Dr Rashid alikuwa ni super director, baade akaja mwenzao madudu aliyoyafanya...ni historia, sijui hizi seminary zao kazi yake kuu ni kuzalisha mafisadi tuu,yaani nashindwa kuelewa mkuu, hii elimu wanayojivunia ni elimu ya aina ganiMmetaka ushaidi huu mmeletewa
Mkuu big show wakoloni kwa maana wa wajerumani.na.waingereza hwakuendesha utumwa nchini hao ni waarabu wa oman namasultani wa.miji ya pwani sasa bora wenzenu.wamerithi shule.toka.kwa.wakoloni wa kizungu nyie mmerithi
Elmu akhera
Uvivu
Majungu
Umwinyi
Mnalalamikq badala ya kutia bidii wakati mlishachelewa?!
Wazungu wanekaa miaka isiofika80wakaacha shule na msingi mzuri wa elimu kwa wanaovutiwa waarabu wamekaa miaka800 wameishia kuwa lemaza wenyeji na walioiga culture yao hamna hata shule hta moja waarabu walijenga sasa mlitegemea muwa sawa wakati bqdo mnaelekea kushoto na wengine dunia nzima wanaenda kulia?
Tofautisheni haki na upendeleo.mmesoma wapi???embi taja shule na vyuo vya waislam??hivi siku wakristu wakiwakataa msome kwwnye shule zao.au.msitibiwe kwenye hospitali zao si itakuwa disastors??
Hata mpige kelele humu haitawasaidia dau keshatumbuliwa lililobaki ni kupelekwa segerea akanyee ndoo