TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Nasikitika sana kuwa mambo ya udini na ukabila yanapaliliwa sana na watu walioenda shule. Kama hali hii haitadhibitiwa itakuwa janga la Taifa huko mbeleni. Tulieenda shule tuwe mstari wa mbele kupinga mbegu zozote za ubaguzi katika ajira. Watu wapewe kazi kutokana na sifa na uwezo na si kwa kuwa anatoka dini fulani au kabila fulani.

Ni wewe tu hujui, hili limeshakuwa ni janga la taifa. Tanzania udini upo wala haujaanza leo. Jamii ya wanyonyaji bado haijalridhika inataka kuendeleza ubabe wake. Jamii ya wanyonywaji imechoka kunyonywa inataka haki itendeke sawa kwa wote!
 
Udini ni pale Muislamu kushika cheo au madaraka fulani wewe Kenge! Ikiwa ni wafa na mimbao shingoni hebu ni...?
Acha uhayatuu wewe


Mradi wa Kufua Umeme Kakono Hydro MW 87: Mradi huu unahusisha ujenzi wa kituo cha kufua umeme wa MW 87 kwa kutumia maji. Mpaka sasa uchambuzi yakinifu umekamilika, Ripoti ya mazingira ya kituo cha kuzalisha umeme na njia ya kusafirisha umeme toka Kakono hadi Kyaka ipo tayari na imewasilishwa NEMC Mwezi Mei, 2015 kwa ajili ya kupata kibali ya kuendeleza mradi. Gharama ya mradi inakadiriwa kuwa Dola za Kimarekani Milioni 379.4 na unatarajiwa kukamilika 2019.

1Kujenga na Kuimarisha Njia za Usafirishaji na Usambazaji Umeme

Katika kipindi cha kuanzia 2005 – 2015, juhudi kubwa zimefanyika kuimarisha njia za usafirishaji na usambazaji wa umeme ili kuwezesha nishati hiyo kuwafikia watumiaji kwa ubora na kwa wakati wote na kuweza kukidhi ongezeko la mahitaji ya umeme nchini. TANESCO imefanya ukarabati na kujenga miundombinu ya usafirishaji na usambazaji umeme. Ukarabati huu umefanyika na unaendelea kufanyika katika mikoa mbalimbali inayopata umeme kupitia Gridi ya Taifa. Kazi hii inafanyika kwa fedha za ndani na kwa ufadhili kutoka wahisani mbalimbali wakiwemo Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika, Shirika la Marekani linalotoaÂÂÂ misaada kwaÂÂÂ nchi maskini (MCC), Korea Kusini na JICA. Miradi hiyo ni pamoja na ifuatayo;

(i)Kukamilika kwa Mradi wa Kuboresha Kituo cha Taifa cha Kusimamia Mfumo wa Umeme wa Gridi (National Grid Control Cetre): Mradi huu ulianza mwaka 2009 na kukamilika mwaka 2012. Mradi huu ulihusisha ubadilishaji wa mfumo wa zamani SCADA na ufungwaji wa mfumo mpya wa SCADA/EMS. Mradi pia ulihusisha ununuzi, ufungwaji na majaribio ya ‘National Grid Control Center (GCC) – Ubungo, DSM na ufungwaji wa vifaa vingine viambatanavyo na mfumo huo katika nchi nzima. Gharama za Mradi huo ni Euro milioni 3.04 na Dola za Marekani 622,394 sawa na jumla ya Shilingi bilioni 7.4.
(ii)Mradi wa kuboresha mifumo na upatikanaji wa umeme katika Jiji la Dar es Salaam (TEDAP na Finish Project): Mradi wa TEDAP unahusisha ujenzi wa njiaÂÂÂ msongo wa 132kV ya kilomita 7 kutoka Ubungo – Makumbusho na kituo cha kupoozea umeme cha Makumbusho cha 132/33kV chenye uwezo wa 2 X 45MVA. Mradi huu umekamilika na kuondoa tatizo la umeme mdogo “Low Voltage” na kukatika katika katika maeneo ya Wilaya ya Kinondoni. Pia ulihusisha ujenzi wa vituo vipya vya kupoozea umeme maeneo ya katikati ya jiji, Kipawa, Mburahati, Mikocheni na Oysterbay, ukarabati wa vituo vya kupoozea umeme maeneo ya Chang’ombe, Kariakoo, Kurasini, Mbagala, Ubungo na ujenzi wa njia za umeme za kilomita 51.7 za msongo wa kilovolti 132 na kilomita 83 za msongo wa 0.4kV unaotegemewa kukamika ifikapo Mwezi Disemba, 2015.

Mradi wa Finish umehusisha kujenga njia ya usafirishaji umeme chini ya ardhi ya 132kV kutoka Ilala hadi City Centre Kujenga kituo cha kupoozea umeme cha 132/33/11kV chenye uwezo wa 2x45MVA, ujenzi wa njia ya umeme chini ya ardhi kwa ajili ya kuunga kituo cha Kariakoo – Railway – Sokoine na kituo cha zamani cha City Centre, kuanzisha kituo cha kuongozea mifumo ya usambazaji umeme katika msongo wa kV 33 na kV 11 (distribution SCADA). Mradi huu ulishaanza na unategemewa kukamilika ifikapo Mwezi Septemba, 2015.
 
Wewe huoni jins jamaa zako wanavyotupia macho ya udini Nssf huku wakisahau pioneers wa huo udini ni wao wenyewe?

Na hapa ndipo tulipofikia
 
Dau kadiriki kupima viwanja huko Pugu kwa pesa ya nssf, lakini masharti vinauzwa kwa waislam tu.

Huyu jamaa hana hata chembe ya aibu. Alafu mnakuja hapa kubwabwaja tu. Mkafie mbali huko nahuyo Dau.
 
Tunataka awamu hii na kuendelea tutafute muarobain wa huu udini na christinization of government parastatals and other public institutions
Hii inaleta ukakas sana

Nchi hii ni yetu sote na hiz story za kusema waislam hawana shule zimeshapitwa na wakati it was two decades ago...

Lazima hili liwekwe sawa.
 
Dau kadiriki kupima viwanja huko Pugu kwa pesa ya nssf, lakini masharti vinauzwa kwa waislam tu.

Huyu jamaa hana hata chembe ya aibu. Alafu mnakuja hapa kubwabwaja tu. Mkafie mbali huko nahuyo Dau.
Wewe sasa ni muongo asiye na aibu, katika majengo na nyumba zilizojengwa na nssf, asilimia kubwa zimenunuliwa na vigogo serekalini na watu wengi wanaopendelewa kwa mikopo kule CRDB, na wengi Wao sio waislamu, hizo details zipo nssf na sio siri.

Majumba ya biashara Moshi na Arusha 90% sio waislamu.
 
Na hapa tulipofikia lazima majibu yapatikane
Nchi hii ni yetu soote
Uonevu na upendeleo kwa udini umevuka mipaka na sasa wanaoonewa wanageuziwa kibao kwamba wanapendelewa
Sasa haki iko wapi?
 
Tunataka awamu hii na kuendelea tutafute muarobain wa huu udini na christinization of government parastatals and other public institutions
Hii inaleta ukakas sana

Nchi hii ni yetu sote na hiz story za kusema waislam hawana shule zimeshapitwa na wakati it was two decades ago...

Lazima hili liwekwe sawa.

Dau Dau Dau Dau. Akafie mbali hiyo nssf ni ya mama yake? Au ni ya bakwata?

Dau amekaa nssf miaka 15, sasa mnataka nini zaidi? Hiyo sio taasisi ya kiislam. Apishe wengine, khaa!

Mnalialiatu, mmezoea favour sana.
 
Wewe sasa ni muongo asiye na aibu, katika majengo na nyumba zilizojengwa na nssf, asilimia kubwa zimenunuliwa na vigogo serekalini na watu wengi wanaopendelewa kwa mikopo kule CRDB, na wengi Wao sio waislamu, hizo details zipo nssf na sio siri.

Majumba ya biashara Moshi na Arusha 90% sio waislamu.

Soma post yangu vizuri, nimesema viwanja na sio nyumba.
 
sku hz watu wamekosa mada na hoja za maana udini umeshamiri kwa kasi sana uku JF. naomba tubadilike tuachane na udini
 
MIUNDOMBINU YA TANESCO
Miongoni mwa kero kubwa inayolalamikiwa sana na wateja wetu ni kukatika umeme kunakosababishwa na uchakavu wa miundombinu. Ukweli ni kwamba baadhi ya miundombinu tuliyo nayo ni ya siku nyingi wakati matumizi ya umeme
yameendelea kuongezeka kwa kasi sana. Kwa mfano nyingi ya Substations katika jiji la Dar es Salaam zimejengwa katika miaka ya 80 na 90. Wakati huo wakazi wa jiji la Dar es Salaam walikuwa chini ya milioni 3. Sasa hivi wakazi wa jiji ni zaidi ya milioni 5 na hivyo miundombinu iliyopo inaelemewa sana.
Jitihada za kurekebisha hali hii zilikwishaanza ambapo sasa kuna miradi mikubwa inaendelea katika jiji la Dar es Salaam na itakapokamilika itasaidia sana kupunguza tatizo la kukatika kwa umeme. Kwa kiasi fulani kukatika huko kwa umeme hasa katika jiji la Dar es Salaam kunatokana pia na utekelezaji wa miradi hiyo.
Miradi inayotekelezwa ni pamoja na ule unaojengwa kusini mwa Dar es Salaam kwa mkopo wa Benki ya Dunia ambao utaboresha umeme maeneo ya Kigamboni, Kurasini, Mbagala, Mkuranga, Kisarawe, Gongolamboto, Ukonga, Kitunda, Vingunguti na Tabata
Mradi mwingine ni unaotekelezwa kwa ufadhili wa Serikali ya Japan ambao utasaidia kuondoa matatizo yaliyo katika maeneo ya Muhimbili na Upanga, Mwananyamala na Kinondoni, Oysterbay na Masaki, Jangwani Beach, Bahari Beach na Mbezi Beach.
Mradi mwingine ni ule unaotekelezwa kwa mkopo kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao unaendelea katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Shinyanga, na Geita.
Mradi mwingine ni ule unaofadhiliwa na Serikali ya Finland ambao utasaidia sana kuimarisha umeme kati kati ya jiji la Dar es Salaam na kusaidia kuimarisha umeme katika eneo lenye majengo mengi marefu la Samora, Azikiwe, Kariakoo na Sea view.
Sambamba na miradi hiyo inayotekelezwa Dar es Salaam, mradi mkubwa wa kupeleka umeme wa 400KV kutoka Iringa kupitia Mtera, Dodoma, Singida hadi Shinyanga uko kwenye hatua za mwisho za kukamilika na hivyo kutuhakikishia umeme wa uhakika katika kanda ya ziwa hasa jiji la Mwanza.
Kazi ya kuunga Songea na Gridi ya Taifa kutokea Makambako kwa 220KV inaendelea na Makandarasi wako kazini.
Kazi za kuunga Tanzania na Kenya kwa umeme wa 400KV inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwani zabuni za kuwapata Makandarasi ziko katika hatua za mwisho. Ujenzi unategemewa kuanza mwakani.
Kazi nyingine ambazo hazijaanza lakini zitaanza hivi karibuni ni pamoja na Dar es Salaam – Somanga (400KV), Bulyankhulu – Geita – Nyakanazi – Rusumo (220KV)
Miradi hii ya kuimarisha miundombinu ikikamilika itasaidia kulipunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la kukatika kwa umeme kutokana na mfumo wa Usambazaji.
Nawaomba wateja wetu, wakati kazi hii kubwa inapoendelea, wawe na subira na uvumilivu kwa usumbufu wa hapa na pale utakaokuwa unatokea. Hata hivyo TANESCO itajitahidi kurekebisha kasoro zinazoweza kurekebishwa katika miundombinu ya sasa ili kupunguza usumbufu huo wakati marekebisho makubwa yakiendelea
Bawasiri inatibika wahi mapema kumuone daktari
 
Mada ya kijinga hii...mwanaume unapoteza mda kufanya research za kijinga...mods futeni huu ungese um
 
mh.Rais aliyepita alifanya makosa sana yaani yeye alikuwa na mamlaka ya kufanya jambo ,daaah sasa lawama hizi sijui za nani maana magufuli hata hajaanza ktk mashirika haya ya umma ula DAU tu kampandisha cheo kuwa BALOZI.
 
HALI YA UZALISHAJI UMEME NCHINI
Hali ya umeme nchini imeendelea kuimarika licha ya changamoto mbali mbali tunazokabiliana nazo kwa sasa. Kuanzia taerehe 17 Septemba tulipoanza kutumia gesi inayotoka Mtwara tumeweza kuongeza uzalishaji wa umeme unaotumia gesi kutoka Megawati 260 zilizokuwepo kabla hadi Megawati 560 ikiwa ni ongezeko la jumla ya Megawati 300 au asilimia 115 ya umeme wa gesi uliokuwa unazalishwa. Hii imechangia sana kuboresha hali ya umeme tofauti na ilivyokuwa hapo kabla. Tunategemea kuongeza umeme wa Megawati 130 zaidi kutokana na vyanzo vya Gesi kati ya sasa na mwishoni mwa mwezi Januari 2016. Hii itafanya jumla ya umeme wote unaotokana na gesi kufikia Megawati 700 sawa na asilimia 70 ya umeme wote kwenye Gridi ya Taifa. Haya ni mapinduzi makubwa kwani kwa miaka mingi vyanzo vya maji ndivyo vimekuwa vikichangia zaidi ya asilimia 70 ya umeme nchini na hivyo kusababisha athari za mara kwa mara kila unapotokea ukame.
Pamoja na hayo yaliyokwishafanyika, Mkandarasi wa mradi wa pili wa Kinyerezi (KII) wa Megawati 240 anatarajia kuanza kazi wakati wo wote kuanzia sasa baada ya kuwa amekwishalipwa sehemu ya fedha za awali za kuanza kazi hiyo.
Tuliza mshono
 
Upelekaji Umeme Katika Makao Makuu ya Wilaya na Vijijini

Serikali ilianzisha rasmi Mfuko na Wakala wa Nishati Vijijini mwezi Oktoba, 2007. Lengo ni kuongeza kasi ya usambazaji umeme katika Makao Makuu ya wilaya na vijijini, na hivyo kufikia asilimia 36 ya wananchi walioungashiwa umeme mwaka 2015. Katika kufikia lengo hili na kutekeleza Ibara ya 63(c) ya Ilani ya 2010 – 2015 ya CCM, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini imepata mafanikio yafuatayo:

(i)Kukamilika kwa upelekaji umeme katika makao makuu ya wilaya kumi na saba (17). Wilaya hizo ni Bahi, Kasulu, Kibondo, Kilindi, Kilolo, Kishapu, Ludewa, Mbinga, Mkinga, Namtumbo, Ngorongoro, Nkasi, Rorya, Simanjiro, Songea, Sumbawanga na Uyui. Kazi hiyo pia ilihusisha ufungaji wa jenereta na ujenzi wa njia za umeme kwa ajili ya kusambaza katika maeneo husika. Aidha, katika kipindi hicho jumla ya vijiji 106 katika mikoa mbalimbali nchini vimepatiwa umeme. Pia mpaka sasa makao makuu ya mikoa yote Tanzania Bara na jumla ya makao makuu ya wilaya 119 kati ya 135 yamepatiwa umeme.
Milk shake
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

Sijawahi kusikia udini Tanesco. Udini siyo kuwa na idadi kubwa ya waislamu au wakristu ktk taasisi fulani. Udini unakuja pale ambapo unaamua kwa makusudi kutoa ajira kwa watu wa dini fulani. Hayo ndo mambo tuliyoyasikia NSSF kwamba ilifikia hatua mkristu akiajiliwa hapo, hata wafanyakazi wanshangaa imekuwaje. Kama hayo yalikuwa yakitokea hata kama waislamu ni wachache lazima tusema kulikuwa na udini!
 
Back
Top Bottom