TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Ushauri wako huutoa pale tu upande fulani unapohitaji ufafanuzi, ilipohojiwa NSSF bila ya ushahidi kama ulioletwa hukuonekana. Tatizo la unafiki kwny nchi yetu ni kubwa kuliko ufisadi na udini na ndio sababu wanasiasa wanatuchezea kama tako la baamedi.
hahaha mkuu una akili
 
Leteni takwimu za shule na vyuo tuone ukweli kwa kuangalia admission data
 
Sasa si uweke ushahid?

Wenzako tumezungumza kwa kukuwekea ushahid

Kama unachosema kina mashiko kwa nin usituwekee na ushahid?

Kuongea uongee wewe ushahid tukuwekee sisi

We mla nguruwe una shida sana[


We abas hata uweke ushahidi kiasi gani bado dau ni jipu na lazma afungwe kwa wizi,udini ni zaidi ya alshabab maana alokuwa anaajiri tena kwa kutukana wakristu kuwa ni makafiri,utuwekee ajira za 2006-2015 kama ulivyoweza kuweka za Tanesco,ila ujue tu unajiumbua maana Tanesco wanaajiri wataalam ambao waislamu hawasomei,let's data za wasomi wa Umeme waislamu toka vyuo vinavyotambulika ulinganishe na wakristu,ishu ya Nssf wameajiriwa mijitu hata form four haijafika ckisa tu muislamu na ukitaka ukweli nenda ofisi ya Nssf fanya utafiti utaujua ukweli

QUOTE="adobe, post: 15555440, member: 24883"]We abas hata uweke ushahidi kiasi gani bado dau ni jipu na lazma afungwe kwa wizi,udini ni zaidi ya alshabab maana alokuwa anaajiri tena kwa kutukana wakristu kuwa ni makafiri,utuwekee ajira za 2006-2015 kama ulivyoweza kuweka za Tanesco,ila ujue tu unajiumbua maana Tanesco wanaajiri wataalam ambao waislamu hawasomei,let's data za wasomi wa Umeme waislamu toka vyuo vinavyotambulika ulinganishe na wakristu,ishu ya Nssf wameajiriwa mijitu hata form four haijafika ckisa tu muislamu na ukitaka ukweli nenda ofisi ya Nssf fanya utafiti utaujua ukweli[/QUOTE]
 
Hizo dayosis zilizojaa huko serikalin ndiyo majipuu hizoo

Na zitatumbuliwa sana mwaka huu
 
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
Kwa Tanzania waislam elimu wapo nyuma sana wao wanapeleka watoto madrasa
 
Hivi kuna uhusiano wowote wa haya majina na Changamoto tulizonazo ndani ya TANESCO na kule NSSF? Nauliza tu jamani....
 
Enzi za JK ulikuwa mtetezi mzuri wa mkwere, huduma mbovu Upoo wapi? Baada ya muda mfupi tatizo la umeme itakuwa historia na maboresho yana endelea
Kwa maana hiyo huduma mbovu zipo sawa na ukristo

Maboresho unayoyaona sasa hivi na miaka mingi ijayo yote yanatokana na ubunifu wa Kikwete.

Aliikataa nchi kizani, akaanzisha mradi kabambe wa rea, akaleta gas kutoka Mtwara ambayo mlifanya kila njia kuizuia. Akaleta Kingereza I, II, III na IV. Akamleta mama Clinton mpaka Ubungo, akaona haitoshi, akamleta Obama mwenyewe na ukazinduliwa hapo mradi wa Power Afrika.

Huyajui hayo.

Sasa jibu kuhusu lists za ushahidi kamili zilizowekwa na mleta mada.
 
Mkuu umeweka facts. Uzi huu na ule wa NSSF lazima uwe endelevu, tujue nani ni mdini na nani siyo mdini. The Big Show, njoo huku hawa jamaa leo wameanikwa. Mleta mada tunakushukuru sana.
Pelekeni Watoto shule achaneni na madrasa
 
M
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
mbona husemi waislam ndo wengi magerezani kuliko wakristo wacheni lawama pelekeni watoto shule
 
M


mbona husemi waislam ndo wengi magerezani kuliko wakristo wacheni lawama pelekeni watoto shule

Si kwa sababu ya mfumo kristo?

Wewe unadhan nchi nyingine wale maaskofu na yale makanisa yaliyonufaika na wizi wa escrow wale si wakitakiwa wawe jela wale?

Umesahau wezi wengi nchi hii ni hawa hawa jamaa zako waliojazana huko serikalin?

Umeamsahau chenge?tibaijuka?basil mramba?daniel yona?balali?list ndeeefuu

Nchi hii ni maskin sababu ya nyinyi jamaa

Wizi tuuh na ufisadi ndicho mnachokijua

Af then mnajiita wasomi...wasomi gan vibaka wakubwa
 
Mchango wa Wazalishaji Wadogo wa Umeme katika Gridi ya Taifa: Katika kipindi cha 2005 hadi 2015, wazalishaji wadogo wa umeme waliingia mikataba ya kuuziana umeme na TANESCO ambapo umeme wa MW 8 ununuliwa. Wazalishaji hao ni ni TANWAT – MW 1; TPC – MW 3; na Mwenga Mini Hydro – MW 4.
tanesco ni parokia
 
Pale wameingia hata wasio na sifa.... Kuna wawili nawafahamu walifeli Makongo na hawakusoma chuo ila leo hii ni maafisa pale...
KMA HII NI KWELI huo sio udini,.....
ni undugu na kubebana ndo kunapelekea kuleta watu wasio nasifa.........
issue tufocus kwenye haki,..kma watu hawana sifa wangolewe,..waajliwe watz wengine bila kujali na kuzngatia jna....
 
Sijui wenzetu hizo elimu mmesomea wap sioni kama mme elimika,nyie wezi,vibaka,tabia za hovyo(ushoga)kulawiti vitoto kutumia din kama kibanda cha biashara,na mumshukuru sana yule mama mchungaji wa necta kipindi kile la sivyo sa ivi mngeona rangi za waislam.
 
Sasa kama Mnasema shule hatutaki why wakienda shule wakapata Nafas za kaz mfano Nssf huko mnakowaona nyinyi mnaanza kulia lia kuwa wanapendelewa kwa udini?

Nyinyi mkitaka muwe pekeyenu kama Dayosisi ya Tanesco ili mfurahi?

Kwan umeskia Vatican hapa...!

Hii nchi siyo mali ya kanisa kaa ukijua hilo
Tatizo Ni kuwa siyo wote au wakristu Ni wakatoliki , Mimi mlutheri unavyonihukumu Na utakavomuhukumu muanglikana au msabato au mroma lazima uzingatie Hilo kuwa siyo kila mkristu Ni mroma lakini pia nyie mnatuita makafiri Na majina mengine lakini mnasahau kuwa shule nyingi kabla ya nationalization zilikua chini ya makafiri Na baba zenu Na watoto wenu walipata elimu huko, ongezeni bidii KATIKA ELIMU Ni mjinga pekee aaminiye kuwa atakuja kupata zali la kimentali katika maisha.
 
mtalala mika sana nyie pelekeni watoto madrasa mtegemee hiyo elimu yamajini kama itawasaidia mnataarisha waganga wa baadae

Mimi nashangaa nyinyi kujiita wasomi huku hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya kuiba pesa za umma na kuzitoroshea kwenye sadaka makanisani

Huko mnajenga shule na vitu vingine kumbe ni fedha za umma hizo

Na pia nyinyi ni maskin tuh na wenye kupenda kubebwa bebwa

.hizo shule nyingi mnasema zingine ziliachwa na bwana zenu wakoloni na zingine ni MOU ambayo ni msaada wa serikali tena kwa kodi zetu..mtatuambia nin


Hakuna cha maana mnachokifanyia taifa hili zaid zaid ya wizi na ufisadi tuuh

Mwisho hapa kwenye escrow had makanisa na maaskofu mkayashirikisha kwenye wizi wa mali ya umma.

Majipuuu nyinyi
 
Back
Top Bottom