Areus
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 324
- 403
Naomba kukumbushia kuhusu Ombi langu hili.Naomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2024
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
Nimekuwa nikipigiwa Simu mara Kwa mara kwamba Wanakuja kuleta nguzo lkn hawafiki. Ni wiki Sasa na ukiwapigia wao simu hazipokelewi
Au Kuna utaratibu mwingine natakiwa kufanya mara baada ya kulipia Ili niunganishiwe umeme?
Please Tannesco, naomba kuunganishiwa umeme kama nimekidhi vigezo unless niambiwe kama Bado taratibu sijakamilisha. Nimechoka kukaa Giza , Naamini Mtalifanyia kazi .