Mpendwa mteja, Pole kwa changamoto. Tumepokea taarifa kwa ufuatiliaji zaidi ^SK
 
Inakuaje Kila ifikapo saa 7 au nane usiku umeme ukate Hadi saa 12 asubuhi? Lakini kwa wenye MITA za kutumia rimoti. Wale wa MITA za ukutani hawana tatizo Hilo na ni jirani zetu
 
Ndugu Mteja!

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora

Jina

Namba ya simu

Mkoa

Wilaya

Eneo

Namba ya meter

Tatizo

makao makuu 0748550000
 
TANESCO mnafilisi biashara zetu kwa hali hii.mna shida gani na mvua zote hizi?
Kimara siku ya pili hii mfululizo ikifika tu saa saba mchana mnakata umeme hadi jioni.
 
Ndugu Mteja.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali, Tunawaomba radhi kwa adha yeyote mliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
 
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000^EB
 
TANESCO Dodoma rudisheni umeme mvua imepungua..huku Ilazo vibaka wameanza kusumbua...kukiwa na giza usalama unapungua..
Au Transfoma zipo automatic zitajiwasha zenyewe...
 
Mpendwa mteja, Pole kwa adha iliyo jitokeza. Tumepokea taarifa kwa ufuatiliaji zaidi tafadhali ^SK
 
Mpendwa mteja, unaishi kimara maeneo gani?
Kimara mwisho.Laini hii ya Dawasco.Umeme ni mara ya tatu unakatika sasa yaani usiku huu nnavyokuandikia wamekata tena umeme mara ya tatu unakaa masaa mawili unarudi,unakaa masaa mawili unakatwa tena,yaani ni fujo.Sasa sisi wenye biashara ndio mnatuumiza vibaya yaani.Mikate haijaiva vizuri,umeme unakatika.embu niambie kaka.!Yaani mnaua mitaji kiukweli jiji kama Dar sio la kufanyiwa hivi.
Inachosha akili kabisa mtu unakata tamaa.
 
Kimara mwisho.Laini hii ya Dawasco.Umeme ni mara ya tatu unakatika sasa yaani usiku huu nnavyokuandikia wamekata tena umeme mara ya tatu unakaa masaa mawili unarudi,unakaa masaa mawili unakatwa tena,yaani ni fujo.Sasa sisi wenye biashara ndio mnatuumiza vibaya yaani.Mikate haijaiva vizuri,umeme unakatika.embu niambie kaka.!Yaani mnaua mitaji kiukweli jiji kama Dar sio la kufanyiwa hivi.
Inachosha akili kabisa mtu unakata tamaa.
Ndugu Mteja.

Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali, Tunawaomba radhi kwa adha yeyote mliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000^EB
 
Ndg zangu wa TANESCO tumewakosea nn mtaa wa Lindi /Congo kariakoo tangu saa nne asbh leo umeme hakuna familia zinapata taabu utadhani tupo sodoma na gomora au mpaka vichanga vinataka kuzimia kwa joto ndani?
Huruma yenu ipo wapi ndg zangu?
 
tusaidieni hali sio nzuri huku tafadhali
 
Ndg zangu wa TANESCO tumewakosea nn mtaa wa Lindi /Congo kariakoo tangu saa nne asbh leo umeme hakuna familia zinapata taabu utadhani tupo sodoma na gomora au mpaka vichanga vinataka kuzimia kwa joto ndani?
Huruma yenu ipo wapi ndg zangu?
Ndugu mteja changamoto ya ilala ni matengenezo ya dharura kwenye baadhi ya transformer za ilala, hivo umelazimika kuzima baadhi ya line.wataalamu wetu wanafanya kila liwezekanalo kurejesha huduma. Tunaomba radhi kwa adha mnayopitia kwa sasa ^EB
 
Ni ukweli mnaomba radhi je kama TANESCO Tz mlituambia ili tujiandae kuhamisha familia ziende wilaya nyingine Tunapata taaabu sana Mungu ndo anajua
tusaidieni au mnataka mpaka watoto wafe ndg zangu ndo mje na suluhisho?
 
Ndugu mteja changamoto ya ilala ni matengenezo ya dharura kwenye baadhi ya transformer za ilala, hivo umelazimika kuzima baadhi ya line.wataalamu wetu wanafanya kila liwezekanalo kurejesha huduma. Tunaomba radhi kwa adha mnayopitia kwa sasa ^EB
Nawashukuru tangu saa nne asbh sasa saa 23:44 mmeturudishia Umeme kidogo familia zitapulizwa na feni maana kidogo watoto wazimie
 
Back
Top Bottom