@TANESCO NYAKATO ni mabingwa wa kuomba rushwa ,yani kuunganisha umeme imekua kama hisani wakati ni haki yetu na tumelipia, Mimi unaingia mwezi wa 6 sasa sijaunganishiwa umeme tangu nilipie mwaka Jana mwezi wa 10,kuna boya wa hapo Nyakato anaomba rushwa ya laki 2 Ili nipatiwe huduma wakati nilishalipa 27 elfu. Poor Tanesco
TANESCO Ilemela Mwanza ndo funga kazi... Rushwa imetamalaki kuna mzee mmoja alilipia mwezi wa 7 mwaka Jana ndo kafungiwa ijumaa hii iliyopita na apo walishamgonga 50,000 juzi kuwapigia wakashtuka kua duh mwezi wa saba ndo wakampigia kuja wanataka tena 30,000 ya rushwa ndo wamfungie.

Tatizo tulilonalo sasa ni Viongozi wetu kua km hawapo yani wameshakata tamaa... #Mh waziri January Makamba upole wako uliokithiri umelirudisha shirika letu hili kwenye rushwa ya kiwango cha lami.

Waziri Kelemani nadhani alikua MTU sahihi kwenye hili shirika kwani alikua anafuatilia mikoani na kwa mameneja wa kanda...Lakini sijawahi ona Makamba akifanya ziara zaa ufuatiliaji... Watu waamelipia tokea Mwaka Jana mwezi wa 10 mpaka Leo miezi 6 hakuna huduma ya umeme, Waziri yupo, RC yupo,DC yupo ata Meneja nae yupo lakini hakuna ufuatiliaji wowote.

Mbaya zaidi tunaona matajiri wakifungiwa Je hizo meter zinatoka wapi? Kongore kwa #Tanesco mkoa wa Mara kwa kuwamaliza wateja wenu wote waliolipia kabla ya 05/01/2022...
Kuna haja ya viongozi wakubwa wenye uchungu na nchi hii kufatilia kwa ukaribu hizi rushwa za Tanesco... Tunakukumbuka mh Waziri Kalemani kwa ufuatiliaji wako makini sasa nimepata picha kwann waTZ walikua ............
 
@Tanesco Ilemela Mwanza ndo funga kazi... Rushwa imetamalaki kuna mzee mmoja alilipia mwezi wa 7 mwaka Jana ndo kafungiwa ijumaa hii iliyopita na apo walishamgonga 50,000 juzi kuwapigia wakashtuka kua duh mwezi wa saba ndo wakampigia kuja wanataka tena 30,000 ya rushwa ndo wamfungie... Tatizo tulilonalo sasa ni Viongozi wetu kua km hawapo yani wameshakata tamaa... #Mh waziri January Makamba upole wako uliokithiri umelirudisha shirika letu hili kwenye rushwa ya kiwango cha lami... Waziri Kelemani nadhani alikua MTU sahihi kwenye hili shirika kwani alikua anafuatilia mikoani na kwa mameneja wa kanda...Lakini sijawahi ona Makamba akifanya ziara zaa ufuatiliaji... Watu waamelipia tokea Mwaka Jana mwezi wa 10 mpaka Leo miezi 6 hakuna huduma ya umeme, Waziri yupo, RC yupo,DC yupo ata Meneja nae yupo lakini hakuna ufuatiliaji wowote.. Mbaya zaidi tunaona matajiri wakifungiwa Je hizo meter zinatoka wapi? Kongore kwa #Tanesco mkoa wa Mara kwa kuwamaliza wateja wenu wote waliolipia kabla ya 05/01/2022...
Kuna haja ya viongozi wakubwa wenye uchungu na nchi hii kufatilia kwa ukaribu hizi rushwa za Tanesco... Tunakukumbuka mh Waziri Kalemani kwa ufuatiliaji wako makini sasa nimepata picha kwann waTZ walikua ............
Mkuu acha tu yani mi naona kabisa huku mtaani kwangu kuna nyumba imejengwa naishuhudia hadi inawekwa wiring naishuhudia na Jana wamemfungia umeme ,nyumba tangu kujengwa hadi kuisha haijachukua hata mwezi ila tayari ina umeme ,jamaa ana fedha bhana ,sie wengine tunaambiwa tusubiri mita. Hili shirika linatia kinyaa na waziri Makamba yupo yupo tu ka boya flani
 
Napenda kuwapa pongezi kwa huduma zenu bora , namaswali mawili kwenu (1) ningependa kujuwa viwango vya malipo ya umeme vinakwaje mfano mimi natumia unit 65 kwa mwezi na anae tumia unit 80 wote ni sawa.
 
Tuliwahi kusema kua hii nchi imewashinda ila mnapenda kukaa madarakani tu, January Makamba wizara imeishamshinda huku kwetu leo siku ya tatu hakuna umeme tumewapigia simu tanesco hawakuja tumeenda ofisi kwao kutoa taarifa pia hawakuja hapo nyuma kila siku umeme unakatika mpaka mara 10 kwa siku tumetoa malalamiko yetu ila hakuna ambacho kimefanyika ni sababu hakuna mwenye weledi wa kufanya kazi hapo mmeakana watoto Wa shangazi na mjombo shame on you
 
Nina hakika mkoloni angekuwepo leo hii Tanzania ingekuwa na maendeleo kuliko iliyo nayo sasa. Mkoloni asingekubali nchi yenye gesi, mito na makaa ya mawe isiwe na umeme wa uhakika. Hivyo basi, uhuru tuliopata ni upuuzi tu, na kwa miaka 60 hatujapata kiongozi wa maana.
Mkoloni nae ana kero zake
 
Tupatie namba yake ya mita kwa uhakiki na majibu sahihi tafadhali
Wandugu acheni kucheza na ajili za watu wengi waliowekewa umeme kwa njia ya rea wapo tarif 4 tupo nap huku mtaani ila sire tunaomba hiyo huduma mnatuzungusha.

Mfano mie ni mwaka wa tatu sasa naomba hiyo huduma nazungushwa
Niko chanika Nyeburu. Namba yangu ya mita ni 24219382546
 
Wandugu acheni kucheza na ajili za watu wengi waliowekewa umeme kwa njia ya rea wapo tarif 4 tupo nap huku mtaani ila sire tunaomba hiyo huduma mnatuzungusha
Mfano mie ni mwaka wa tatu sasa naomba hiyo huduma nazungushwa
Niko chanika Nyeburu
Namba yangu ya mita ni 24219382546
Chanika ni kijijini cha wapi?
 
Huduma ya kununua luku haieleweki,unapiga simu huduma kwa wateja haipatikani.
Na nunua umeme wa 5000 naambiwa hela haitoshi
 
Huduma ya kununua luku haieleweki,unapiga simu huduma kwa wateja haipatikani.
Na nunua umeme wa 5000 naambiwa hela haitoshi
Mkuu pole isije kuwa Mita yako ndio unanunua Umeme kwa mara ya kwanza huwa kuna Deni linakatwa hivyo ili uweze kununua Umeme salio lianzie 10,000 nadhan.

Otherwise pole kwa usumbufu ngoja tuwaite TANESCO wakupe ufafanuzi zaidi
 
Wala usieaze chochote hapo ni kwamba una deni la Kodi ya pango ogeza pesa ununue umeme

Sasa hivi tunalamba asali
 
Mkuu pole isije kuwa Mita yako ndio unanunua Umeme kwa mara ya kwanza huwa kuna Deni linakatwa hivyo ili uweze kununua Umeme salio lianzie 10,000 nadhan. Otherwise pole kwa usumbufu ngoja tuwaite TANESCO wakupe ufafanuzi zaidi
Hakuna mjadala kwenye hilo wala hana haja ya kuwatafuta Tanesco. Ana deni la kodi ya pango, aongeze pesa anunue umeme.

Sasa hivi tunalamba asali
 
Huduma ya kununua luku haieleweki,unapiga simu huduma kwa wateja haipatikani.
Na nunua umeme wa 5000 naambiwa hela haitoshi
Mkuuu umekimbia, leta Namba ya Mita hapa jukwaaani usaidiwe kuliko kuwalaumu wenzetu Tanesco yaweza kuwa wewe ndie taabu yenyewe
 
Mkuu pole isije kuwa Mita yako ndio unanunua Umeme kwa mara ya kwanza huwa kuna Deni linakatwa hivyo ili uweze kununua Umeme salio lianzie 10,000 nadhan. Otherwise pole kwa usumbufu ngoja tuwaite TANESCO wakupe ufafanuzi zaidi
Wiki mbili zilizopita nilinunua wa 16000 wakakata 14,249|-
Sasa Leo sijui wanataka 15000 Tena?
Namba ya mita ni 54130326520
 
Tumenunua umeme siku ya tatu tunashindwa kuingiza token na remote haioneshi balance inaandika error 77 nimejaribu kuweka ile 0 mita namba 0 mita namba inakataa.nifanyeje maana umeme ndo unaisha niko majohe nahudumiwa na tanesco Chanika mita no 24310356902.0625-556661
 
Jamani huku majohe viwege tangu mumeukata mchana kipindi mvua inanyesha mpaka sasa hamjarudisha kwanink lakini
 
Pongwe tanga Leo kutwa nzima hatuna umeme na tumenunua umeme luku ila huduma mbovu basi mturudishie mita za viringi tuwe tulipa baada ya kutumia
 
Mita yangu imeblock (tempa) nimepiga simu tanesco nikaombwa taarifa lakini mpaka usawa huu kimya 24710254400 ndo namba ya Mita yangu
 
Back
Top Bottom