GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 3,580
- 4,639
Ndani ya nusu saa, kuanzia saa moja na robo jioni hadi sasa mbili kasoro robo umeme umekatwa mara tatu, Sasa hivi umewashwa tena lakini hauna nguvu. Tanesco ivunjwe tu, haiwezekani mdudu huyu awe anakusanya pesa bila kutoa huduma stahiki.Ndugu wilaya nzima hakuna umeme MDA huu hakuna tangazo wala nini ,kama na wewe haupo tufalijiane