Vipi issue ya upatikanaji umeme Lindi na Mtwara tatizo limeshindikana. Mfano mjini Lindi umeme hukatika zaidi ya Mara ishirini kwa siku pia unapatikana 40% of 24 hrs a day
Natumaini ni hli swali
 
Naomba kujua utararibu wa kuvuta umeme kwa eneo linalo itaji nguzo 5
Unatakiwa kuwa umefanya mtandao wa umeme au wiring na mkandarasi ambae anatambulika na TANESCO kujua kama anatambulika, unafika ofisi ya TANESCO iliopo karibu nawewe na kuomba majin ya wakandarasi.

Chukua fomu ya maombi ya awali TANESCO buree ukiwa na kitambulicho chako na fuata maelekezo utayopewa
 
Tunaomba radhi wateja kwa baadhi ya wateja wa Mbagala kwa kukosa umeme, hii ilitokana na matawi ya mti wa mnazi kuangukia laini na kusababisha kukatika kwa umeme tumefanikiwa kukata na kurudisha umeme lakini tumegundua bado laini inayolisha chamanzi mikumi, mmbande, uwanja wa azam, inatatizo na kwa sasa tunafanya patrol ili kujua tatizo na kulitatua.
 
Nyumban kwetu tuna meter ya luku ambayo imefungwa muda mrefu tangu mwaka 2008 na imefungwa nje ya nyumba huwa inatupa shida sana wakati wa kuingiza Unit mpya, Swali la msingi ni hivi kuna gharama yoyote kubadili meter Luku na kuwekea meter inayoendana na technolojia ya sasa hivi.
 
Hapana gharama yeyote, tunaweza kujua mita ipo sehemu gani mkoa wilaya na eneo bila kusaau namba ya simu
 
Hapana gharama yeyote, tunaweza kujua mita ipo sehemu gani mkoa wilaya na eneo bila kusaau namba ya simu
Ok, napatikana Dar es salaam wilayani temeke mtaa wa Yombo Reli ni nyumba ya mwenyekiti na namba zake za cm ni hizi hapa 0713341659,, Tunatarajia response yenu very soon
 
system yenu ya luku vipi watu tunanunua luku kwa m-pessa , message haziji , turudishiene hela zetu,,
 
Ok, napatikana Dar es salaam wilayani temeke mtaa wa Yombo Reli ni nyumba ya mwenyekiti na namba zake za cm ni hizi hapa 0713341659,, Tunatarajia response yenu very soon
Tatizo au huduma gani unaomba mpendwa mteja
 
Wa tsh ngapi na namba ya mita
siwez nikatoa namba ya mita hapa 4 privacy reasons,.. kwann system yenu haichek pending request na kuzishungulikia automatically au kuchek kma sms imekuwa delivered kwa mteja mpka nianze kutoa namba za mita hum
 
Kwa namba ya mita mtu hawezi kuone details zako, pia unaweza kutumia private message.
 
Habari Mkuu
Laini ya Ms -2 imetoka sababu ni Kumetokea mlipuko katika kituo cha kupoza umeme cha Masaki.Maeneo yanayokosa umeme ni kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar,Rais mstaafu mheshimiwa Mkapa,Msasani ,Mtaa wa Mahando kuelekea sea clief.Mafundi wanashughulika ili umeme urudi kwa haraka.
 
TANESCO
Poleni kwa kuchelewa kidogo kurudisha umeme, natumaini tumepata umeme ingawa kuna baadhi ya wateja wanakosa umeme kutokana na transformer la eneo la mpegav kwa mbiku kutoa mlipuko uliosababisha umeme ukatike, mafundi wanaelekea huko kwaajili ya kutatua tatizo.
Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
 
Back
Top Bottom