ni kwani mnapo toa ajira mnawabagua watu wenye transcript hata kama wanauzoefu maana kwa vyuo kama dit mtu anamaliza kupata cheti ni baada ya miaka miwili sana hamuoni mtu kama huyu hamumtendei haki
 
ni kwani mnapo toa ajira mnawabagua watu wenye transcript hata kama wanauzoefu maana kwa vyuo kama dit mtu anamaliza kupata cheti ni baada ya miaka miwili sana hamuoni mtu kama huyu hamumtendei haki
Onyesha moja kwa kazi gani uliomba, Mkoa na nini kilitokea
 
Sisi wakazi wa banana stakshari jana umeme ukatwa sa 3 ukarudi sa 12 bilamaelezo ya wahusika Leo vivyo hivyo najiuliza mbona tanesco hamuendi sawa na kazi ya muheshimiwa
 
Yani
Je sisi wa banana stakshari kuna taarifa gani no power jana/leo asbh to jioni
Asee hii imekua kero sana maeneo hata yani umeme unakatika ovyo ovyo bila taarifa,Jana nikasema hewala Leo tena wamekata,tu naomba mwambie hii katakata Ni mpka lini ili tufunge mikanda sio mnakata umeme kama unakata nyanya tu.

huku huku banana juzi kati umeme wenu umekuja kijinga ukaunguza vitu vyetu mpo kimya tu sahivi mmeanza ukataji sasa!!
 
Pole mteja zinapatikana muda wote, pia tupo katika mitandao ya kijamii
Basi hili ni tatizo sugu. Nmesikia mkurugenzi wa tanesco TBC kipindi tunatekeleza akisema hakuna sababu za msingi kwa wafanyakazi kutopekea simu za wateja wao lazima tulishughulikie. Ni tumuwekee mlio wakati anasubiri simu yake kupokelewa kama wafanyavyo makampuni ya simu

Kweli bwana TANESCO mlikuwa jipu kwenye calls services Sasa sijui mliziweka za nini.
Tunashukuru , naomba kuuliza hizo no zinapatikana wakati gani. Kwani hiyo no ya Voda nilishawahi kupiga zaidi ya mara kumi bila kupokelewa na nilikua na tatizo la dharura. Nikaishia kupoteza fedha zangu za muda wa maongezi bila simu kupokelewa.
 
Vipi issue ya upatikanaji umeme Lindi na Mtwara tatizo limeshindikana. Mfano mjini Lindi umeme hukatika zaidi ya Mara ishirini kwa siku pia unapatikana 40% of 24 hrs a day
 
hello. buttons za mita yetu hazibonyezeki, tufanyeje? Iko nje, ni touch, tunabonyeza tuweke umeme zinagoma.
 
Back
Top Bottom