Vipi mgao umeshaanza, naona mnakata umeme Kila mchana?nimeomba luku ilala mkoani ya kuongeza kwenye duka leo mwezi moja na nusu sijapata hata conrol nambar inakuwaje
Wilaya TemekeNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Asante and we are still waiting pleaseTumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
TANESCO NYIE NI MATAKATAKA KABISAA....NA MNAKERA VIBAYA MNO,DAWA YENU NI KUWATAFUTIA MSHINDANI.
HAIWEZEKANI MKATE UMEME TOKA SAA TATU KARIBIA JIJI ZIMA LA DAR ALAFU.MPAKA MUDA HUU SAA MBILI NA MADAKIKA BADO HAMJARUDISHA NA MKO KIMYA BILA UFAFANUZI WOWOTE ULE.
TAKATAKA KABISA NYIE.
Wanadhani waTanzania ni wajinga Sana wakati wao ndo wajinga na mazwazwa....yaani mpaka muda huu inaelekea saa nne usiku mhna UMEME toka saa tatu asubuhi.....huu mshirika umejaa mapuuzi tu.Et Wanasema wanafanya service 😅 tuwe wapole.....service gani mwezi mzima? Laiti yule Baba angelikuwepoooo
Mimi nimeomba kuwa na luku separate eneo la biashara. Toka mwezi wa 9 mpaka Leo sijapata control number. Piga simu, fuatilia .... Ni danadana mtindo mmoja 😭 TANESCOnimeomba luku ilala mkoani ya kuongeza kwenye duka leo mwezi moja na nusu sijapata hata conrol nambar inakuwaje
Naona TANESCO wameshatuona sisi watz ni wajinga, Sasa huu ndio wakati muafaka wa kulikataa hili shirika Kwa kuandaa maandamano nchi nzima kushinikiza hili shirika livunjwe ili yaje makampuni mbali mbali kutoa huduma ya umeme kama wanavyofanya kwenye simuWanadhani waTanzania ni wajinga Sana wakati wao ndo wajinga na mazwazwa....yaani mpaka muda huu inaelekea saa nne usiku mhna UMEME toka saa tatu asubuhi.....huu mshirika umejaa mapuuzi tu.
Hizo service wakati wa yule baba zilikuwa hazifanyiki au???
Rubii huo uwongo wao wala usiusikilize dear.
Kabisaa chief....hawa jamaa wanatuchukulia poa sanaNaona TANESCO wameshatuona sisi watz ni wajinga, Sasa huu ndio wakati muafaka wa kulikataa hili shirika Kwa kuandaa maandamano nchi nzima kushinikiza hili shirika livunjwe ili yaje makampuni mbali mbali kutoa huduma ya umeme kama wanavyofanya kwenye simu
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi sisi wakazi wa mwanza tumewakosea Nini TANESCO???
Huu ni mgao au mgawano??
Tuanze na wilaya ya ilemela kata ya kirumba kuanzia Jana saa5 usiku mpaka Sasa alfajir hii hakuna Umeme...Ukipiga simu EMERGENCY hawapokei...TUNAPIGA Tena simu emergency ya makao makuu vile vile sim haipokelewi..
Vile vile juzi kuamkia Jana wilaya ya nyamagana Maeneo ya Nyakato Nundu umeme ulikatika siku nzima...
Hivi tumewakosea Nini???ukiwapata mfundi lazma uwatangazie posho ndio waje waanze kufatilia chanzo....
Kwakweli Mama yetu SSH alikosea saana kumtoa Mh KALIMANI ktk hio wizara ya NISHATI
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi TANESCO ubaguzi huu mtauacha lini? Yaani watu tunaomba umeme miaka nenda miaka rudi lakini hamtaki kutupa umeme...hii nchi yetu sote inauma sana...