Ahsante.
Naomba niulize swali jingine;
Ninatumia umeme wa njia moja.( Nimeunganishiwa), ninataka niweke machine ya kusaga umeme wa three phase, umeme wa three phase upon umbali wa nguzo 5. Taratibu zikoje au itanigharimu kiasi gani?
Je g
Tafadhali tambua taratibu za kuomba umeme ni zile zile kama ifuatavyo

1. Hakikisha miundombinu ya umeme imekufikia

2.Kamisha wiring ( mtandao wa nyaya kwenye sehemu husika)

3.Chukua form ya maombi ya awali

4.jaza sehemu zako mpe na mkandarasi wako ajaze na kuweka mchono na muhuri

5.Rudisha form TANESCO

6.Wataalamu wetu watafika kupima eneo husika kujua utahitaji nini kufungiwa umeme

7.Utapatiwa gharama halisu ya makadirio ambayo itaambana na control number

I.Utalipia na kusubiri kufungiwa

Zingatia.

Kwa wateja waliopo nje ya mita 120 wanapaswa kusumbiri miundombinu ya umeme isogezwe ili waweze kulipia bei halisi.
 
@TANESCO CIU YANGU haikubali kuangalia kiasi Cha umeme nlichobakiza
Inaandika Conn failed kuanzia juzi
Naomba msaada kutatua ilo
 
37207033004
PATA ELIMU KUTOKA TANESCO

HII NI KWA WALE WENYE MITA ZINAZOAANZA NA NAMBA 3720.....

JINSI YA KUTATUA UJUMBE WA CONNECT UNAPOINGIZA UMEME

Ikitokea unaingiza umeme Token kwenye mita yako inayoanza na namba 3720.... na ukapata ujumbe wa *Connect

Tafadhali fata taratibu zifuatazo kutatua tatizo

Nini maana ya Connect?

Mita yako inakuwa haina mawasiliano na remoti ya kuingizia umeme ( CIU)

Kutatua tatizo fanya yafuatayo

Nunua Betri mpya weka kwenye remoti yako

Ukiwa hapo hapo nyumbani kwako chomeka rimoti ya kuinguzia umeme kwenye swichi ya ukutani kisha iwashe na kuingiza umeme

Kama tatizo litaendelea bonyeza namba zifuatazo kwenye rimoti yako 59698686 zikifatiwa na namba yako ya mita kisha bonyeza ok ndio uingize umeme wako

Mfano

59698686namba ya mita ok

5969868637201234561Ok

Mara baada ya kufanya hivyo na tatizo la kuandika connect bado likaendelea tafadhali toa taarifa kwenye vituo vyetu vya huduma kwa wateja (madawati ya dharura) au kupitia mitandao yetu rasmi ya kijamii kwa huduma zaidi huku ukionyesha namba ya mita na ujumbe unaoupata

TANESCO , Tunayaangaza Maisha Yako
 
Asante nmefanikiwa kutatua
 
mimi bado hamjayaangaza maisha yangu naomba kujua imeshindikana kupewa control number au shida ni nini sijaona feedback yoyote
MSAFIRI MGOHA
WILAYA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO CONTROL NUMBER SURVEYOR ALIFIKA WIKI YA NNE HII INAKATA SIJAPATA CONTROL NUMBER AU HAMTAKI KODI NANI ANAKWAMISHA JUHUDI ZA MAMA NYIE PEOPLE
ENE
 
Tafadhali onesha namba ya simu kwa urahisi wa kukuhudumia
 
Tunayaangaza maisha yako, endelea kufurahia huduma zetu
Bado kimya tokea nimewapa hii taarifa ya malipo

Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
 
Bado kimya tokea nimewapa hii taarifa ya malipo

Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
Tafadhali weka namba ya simu na wilaya husika kwa wepesi wa kuhudumiwa
 
NA MIMI NARUDIA
MSAFIRI MGOHA
0625522261
WILAYA YA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO SIJAPATIWA CONTROL NUMBER MWEZI UNAISHA HUU NA SURVEYOR ALIKUJA KARIBU WIKI YA NNE INAISHA HII
 
NA MIMI NARUDIA
MSAFIRI MGOHA
0625522261
WILAYA YA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO SIJAPATIWA CONTROL NUMBER MWEZI UNAISHA HUU NA SURVEYOR ALIKUJA KARIBU WIKI YA NNE INAISHA HII
Taarifa hii ilipokelewa jana siku ya mapumziko na ipo mikono salama inaganyiwa kazi, tunaomba uvumilivu wako
 
NA MIMI NARUDIA
MSAFIRI MGOHA
0625522261
WILAYA YA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO SIJAPATIWA CONTROL NUMBER MWEZI UNAISHA HUU NA SURVEYOR ALIKUJA KARIBU WIKI YA NNE INAISHA HII
Mkuu habari,tumejulishwa kuwa uneshapatuwa control number
 
Asante kwa taarifa, tafadhali lipia tukufungie umeme
Habari afisa.

Nimeshalipia toka 18-Oct -2021, ila bado sijapata mrejesho wa chochote.

Ref:
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032974693
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921291074519885
2021-10-18T16:49:56
Kupitia: EC101083820055IP

Tafadhali nsomba huduma.
 
Habari afisa.

Nimeshalipia ila bado.sijapata mrejesho wa chochote.

Ref:
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032974693
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921291074519885
2021-10-18T16:49:56
Kupitia: EC101083820055IP

Tafadhali nsomba huduma.
Umelipoa tarehe 18 Oct 2021 hivyo bado upo kwenye orodha waliokutangalia kufungiwa wakifungiwa na wewe utapata huduma
 
Back
Top Bottom