Kamati ya Bunge ya Bujeti watembelea mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi Kinyerezi I na II


TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Tanesco kwakweli mnakera sana kuanzia humu mpaka kwenye uhalisia....nimewapa malalamiko yangu hapo juu ila mnayapotezea...mnajibu ya watu wengine ambayo ni mepesi mepesi..kuweni na uungwana basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco mnenipitishia waya za HT kwenye nyumba yangu nimekwenda mkuranga kulipot baada ya muda wakaleta nguzo ili waamishe wakaoneshwa pa kuhamishia lakini hao wakalazomish wapitishe sehemu ya mtu mwingine wanayotaka wao sasa mwenyewe kagoma cha kushangaza wanalazimisha waya zibaki hapo hapo kwangu ishafika mahali siwaelewi sasa kilichobaki najiandaa kwenda mahakani nikaone sheria ya kulazimisha kupitisha HT nyumban kwa mtu mumetoa wapi tena waya ziko chini chini si mnataka kuniuwa na familia yangu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba namba yako ya simu ili tuliwasilishe kwenye ngazi ya ufatiliaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba kujua garama zote za kuunganishiwa umeme nyumba iko karibia na nguzo means nguzo haitaitajika total cost za tanesco
 
Uzinduzi wa miradi ya Rea awamu ya III mkoa wa Lindi



TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Uzinduzi wa miradi ya Rea awamu ya III mkoa wa Lindi



TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Kampeni ya niulize nikujuze inatarajiwa kuanza rasmi mkoa wa Mwanza

Taarifa zaid kuhusu lini na wapi bila kusaau huduma zinazotelewa itapatikana hapa kwenye kurasa huu

Kwenye picha upande wa kushoto ni ndugu Flaviana Moshi Afisa Uhusiano na wateja mkoa wa Mwanza na upande wa kulia ni Msaidizi Afisa Uhusiano na wateja mkoa wa Mwanza

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Asante, kama kazibyako haina nguzo TANESCO tutakujengea umeme ndani ya siku 30 za kazi.


Ndugu mteja kama umelipia mwezi wa saba bado siku 30 za kazi hazijaisha, tutaifuatilia kazi yako

Asante

TANESCO "Tunayaangaza maisha"

Mna maana gani mnaposema siku 30 hazijaisha toka tarehe 10/7/2017 mpaka Leo tarehe 22/8/2017? au nyie mnahesabu tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…