Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 569
Huku Mwenge maeneo ya TRA Jana tumeshinda bila umeme leo tena hakuna umeme,hivi mnadhani shughuli zetu bila umeme zitaendaje?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app