Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Tanesco vipi umeme usiku huu mnakata umeme jamani?
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
kaka hadi huku temeke pia hakuna umeme kazi ni hyo tuUmeme unakatika kila siku. Unakata af unarudi. Mwanzoni nikafikiri ni mtaa wangu tu. Lakini nikienda chuoni hata mchana, unakata af unarudishwa tena.
Tatizo hili limeanza juzi juzi tu ambapo wanafunzi wengi wanakuwa wanakwenda kwenye makampuni mbali mbali kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo yaani field.
Wasiwasi wangu unaanzia hapo.
Maeneo yote yatapata huduma ya umeme kwenye awamu mbalimbali za usambazaji wa umeme mijini, vijijini na maeneo ya pembezoni mwa miji.Tumepokea taarifa yako pia kwa ufatiliaji na hatua zaidiTANESCO, Dodoma kuna maeneo ya Mpamaa sio mbali na mjini, vpi mna mpango wa kupeleka umeme lini huko?maana ni maeneo yaliyopo within 13km kutoka ofisi zenu kuu. Inashangaza Dodoma mjini baazi ya maeneo hayana umeme..na eti ni capital city..
Kwa akili zenu za ajabu mnadhani mnadanganya umma mpaka lini Bonyokwa hii line ya stopova na Vertasi shule ni kero sana muda huu saa Nne mmekata umeme tena. Lazima kuna hujuma ama ni mpango wenu ovu wa kujipatia per diem.Huduma imeimarika hivi sasa
Taafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidiKwa akili zenu za ajabu mnadhani mnadanganya umma mpaka lini Bonyokwa hii line ya stopova na Vertasi shule ni kero sana muda huu saa Nne mmekata umeme tena. Lazima kuna hujuma ama ni mpango wenu ovu wa kujipatia per diem.
TANESCO, asante kwa kujibu haraka..ila jibu lipo too general..anyway.ningependa kujua maybe lin umeme utakua umefka eneo nililolitaja hapo juu..given the fact kwamba still lipo mjini..Maeneo yote yatapata huduma ya umeme kwenye awamu mbalimbali za usambazaji wa umeme mijini, vijijini na maeneo ya pembezoni mwa miji.Tumepokea taarifa yako pia kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Kulikoni umeme umekua unakatika kila saa kwa maeneo mengi ya Dar?
Mfano huku Mbezi, Kimara na baadhi ya maeneo kule Ubungo umeme unakatika hovyo hovyo tu.
Mkuu kuna demu wangu huko, nikiskia dodoma roho inadundaDodoma Nako Hivyo Hivyo
Maeneo Airport, Mji Mpya, Mipango,
Toka zako.Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali