*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*

*Julai 29, 2020*

*TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WET WA MKOA MOROGORO* .

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa Mkoa wa Morogoro kwa katizo la umeme likilotokea leo Julai 29,2020 saa 3:17.

*SABABU*

Hitlafu Kituo cha kupoza umeme cha Msamvu, Morogoro.

*Jitihada Zinazofanyika*
Wataalamu kutoka Kanda na mafundi wanaendelea na kazi kuhakikisha huduma ya umeme imerejea.

*Maeneo yanayokosa umeme*
Baadhi ya Maeneo ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Kilosa, Wilaya ya Mvomero, Mvuha, Kisaki pamoja na maeneo ya jirani.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu Au Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz,

Mitandao ya kijamii

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

Imetolewa na:
*OFISI YA UHUSIANO*
*TANESCO MAKAO MAKUU*
IMG_20200729_132359_925.jpg
 
Tanesco makao makuu nawaomba muwafatilie Tanesco kigoma nimelipia kila kitu hawataki kuja kuweka umeme.

Naomba muwaambie ninawandalia hela ya takukuru na Ni lazima nitawachomesha Kama sio takukuru itakuwa raisi labda asitembelee kigoma.

Hili nawaapia wapelekeeni taarifa. Hiki ni kilio Cha Mamia ya wanakigoma.
 
Umelipia kwa jina gani

Wilaya

Simu

Tarehe ngapi

Endapo unaona kuna mtu anakuokba rushwa usisite kutoa taarifa TAKUKURU
 
Umelipia kwa jina gani

Wilaya

Simu

Tarehe ngapi

Endapo unaona kuna mtu anakuokba rushwa usisite kutoa taarifa TAKUKURU
Mkuu Sina haja ya kutoa namba ya simu ila nawaomba muwaambie Tanesco kigoma mjini waache ukanjanja Dawa Yao inachemka.

Wafikishie ujumbe sio kila raia wanadhani ni mjinga mjinga.
 
Tanesco miezi mi nne Sasa imekamilika bila kuletewa umeme. Aiseee inaleta shida Sana.
Nawaomba Tanesco Ungeni Juhudi za Mweshimwa Rais Kwa vitendo ili kuendana na Kasi ya kuleta Maendeleo nchini.

Yaani kiukweli sio sawa kabisa tunaomba umeme...
 
Umelipia kiasi gani na lini ndugu mteja. Pia tunaomba kujua taarifa zako ulixotumia wakati wa kuomba kuunganishiwa umeme
 
TANESCO..Sina umeme toka jana,nilijua labda umekatika lakini jirani zangu wote wanaumeme na Meter yangu inaonesha umeme umekatika..

Eneo:Boko Dawasco
Meter no: 43001862309
Mobile : 0715 860702

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Hivi tenesco nimelia humu miaka karibia mitatu lakini mligoma katakata kusikia kilio changu, mmenipa ahadi zisizotizika hadi nimekata tamaa? Sawa nyie endeleeni tu lakini kumbuka sote ni watanzania tunastahili kuhudumiwa tu kwa usawa.
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka.lini
 
Huku Msongola jimbo la Ukonga Daresalaam hatuna umeme tangu kunakucha mpaka mchana huu!!

Tatizo ni nini!? Na mbona hambadiliki kwa haya mambo ya kukatakata umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu hivi?
 
Huku Msongola jimbo la Ukonga Daresalaam hatuna umeme tangu kunakucha mpaka mchana huu!!

Tatizo ni nini!? Na mbona hambadiliki kwa haya mambo ya kukatakata umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu hivi?
Tafadhali onyesha namba yako ya simu
 
TANESCO KUNA SHIDA GANI YA UMEME SIKU YA PILI SASA HATUNA UMEME UBUNGO BUSSINESS PARK NA NI ENEO LA VIWANDA NCHI YA VIWANDA ITAFIKA KWELI NAMNA HII????????HALAFU MUWE MNATANGAZA BASI TUJUE KWAMBA KWA SIKU KADHAA HAKUTAKUWA NA UMEME
 
Tafadhali onyesha namba yako ya simu
*KUOMBA RADHI KWA KUKOSA HUDUMA YA UMEME.*

Ndugu wateja,
Kunahitilafu ilijitokeza katika moja ya laini yetu na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa huduma hivyo wataalam wetu wanaifatilia kujua nini chanzo na kukitatua

*Maeneo yanayoathrika:*
Kivule njiapanda ya shule,mbondole,msongola,vikyuta,kwa wamakonde,kwa kichonge,nyang’andu, kwa mtumishi na maeneo ya jirani

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Namba zetu za huduma kwa watejja:
068 800 1071 , 0715 768 584

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
TANESCO - G/MBOTO

*04/08/2020*
 
Tafadhali onyesha namba yako ya simu
Namba ya simu ya kwangu ya nini!?

Eneo ni Msongola, jimbo la Ukonga wilayani Ilala Daressalaam.
Tunahudumiwa na Tanesco Gongo la mboto.

Hatuna umeme tangu kunakucha mpaka mchana huu!!
 
TANESCO KUNA SHIDA GANI YA UMEME SIKU YA PILI SASA HATUNA UMEME UBUNGO BUSSINESS PARK NA NI ENEO LA VIWANDA NCHI YA VIWANDA ITAFIKA KWELI NAMNA HII????????HALAFU MUWE MNATANGAZA BASI TUJUE KWAMBA KWA SIKU KADHAA HAKUTAKUWA NA UMEME
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidi
 
Namba ya simu ya kwangu ya nini!?

Eneo ni Msongola, jimbo la Ukonga wilayani Ilala Daressalaam.
Tunahudumiwa na Tanesco Gongo la mboto.

Hatuna umeme tangu kunakucha mpaka mchana huu!!
Tafadhali angalia taarifa hapo juu
 
Nashukuru kwa taarifa.
Niwaombe pia kujaribu kuboresha mawasiliano kati yenu na sisi wateja/watumiaji wa umeme.
 
Back
Top Bottom