TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
- Thread starter
- #6,681
Tunashukuru kwa ushauri wako mpendwa mteja wetuBinafsi nilikua na mtazomo.. Kwamba kotokana na changamoto mbali mbali za ku unganishiwa umeme hasa hasa upatikanaji wa vifaa. (Hakuna vifaa)Kwa madai ya office nyingi zilizo chini yenu.. Hamuoni kwamba kuna ka ulazima wa kuwa na huduma ya ziada Kama vile.. V.I.P
Hii itapunguza rushwa. kwa maana unakuta sehemu moja na mmelipa Siku moja pengine Mimi nimeanza kulipia lakini nasubirishwa na wa mbele yangu anapata huduma. Ukiuliza unaambiwa nyoosha mkono.
Pia inatupa shida kwa sisi ambao Umeme ndio chanzo kikuu cha mapato bila umeme ina maana hakuna kula. Kutokana na changamoto za sehemu ya kufanyia shughuli zangu imebidi niamie sehemu nyingine.. Nimefatilia umeme kukawa na usumbufu wa savei na nashukuru nili lileta hapa na kesho yake wakaja kupima
Shida imebaki kwenye kuunganishiwa baada ya kulipia tangia tar 02/09/2019
Najaribu kufikiri naishije na familia. Ndani ya hizo Siku 60 kusubiri huduma ya TANESCO ili maisha yaendelee