Pole sana mpendwa mteja wetu tunaomba taarifa kamili za wilaya, eneo, namba ya mita, namba ya simu na namba ya taarifa kama ulitoa taarifa ofisi yetu tufanyie kazi swala lako

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU
Namba ya taarifa 0905- TANESCO KURASINI
Namba YA Mita- 01320628371
PHONE: 0754 75 72 34

NOTE: Kwavile post ina personal info, I'd appreciate if you don't quote it, kwa sababu ukishachukua hizo info, nitalazimika ku-clear personal info.
 
Namba ya taarifa 0905- TANESCO KURASINI
Namba YA Mita- 01320628371
PHONE: 0754 75 72 34

NOTE: Kwavile post ina personal info, I'd appreciate if you don't quote it, kwa sababu ukishachukua hizo info, nitalazimika ku-clear personal info.
TUMEPOKEA TAARIFA KWA HATUA ZAIDI MPENDWA MTEJA WETU
 
Napanda kufahamu je swala la Rea kuweka umeme ni muda gani baada ya kupima maana tangu 2014 walivyo weka alama za mashimo mpaka leo hawaja wahi kurudi licha ya kufwatila wilaya ya Meru kijiji cha Ngongongare upande wa snake farm mpaka kijiji cha Ngurdoto kama kuna njia nyingine za kufwata naomba nizifahamu asanteni.
 
Jina

Wilaya

Eneo

Namba ya simu tafadhali
 
KWAKO MH
TUMEKUWA NA TATIZOO KUBWA SANA LA KUUNGANISHIWA UMEME WATU WANAOISHI KMR MBEZI

IMEKUWÀ KAMA N DHAMBI KUOMBA UMEME

TTUNAOMBA UPELEKE VIJANA WAKO OFISI YA MBEZI WAJUE SHIDA NINIMTU ANALIPIA HELA KAMILI MNAMWEKA MIWEZI MITATU UKILALAMIKA WANAKWAMBIA KUNA WATU WAMELIPA TOKA JAN AWAJAPATA UMEME WE NANI UMRLIPA MARCH

SIDHANI N MAJIBU MURWAA KWA MTEJA KWAO N KAMA.SIFA WATU AWAJAFUNGIWA SIIKUNYINGI

TUNAOMBA MTUSAIDIE HIZI SHODA ZIISHEE HUKOO TULISHATOKAAA WAPENDWA
 
Je umeomba umeme kwa jina gani? Eneo? Namba yako ya simu tafadhali
 
Vipi mbonanilikua nanunua luku ya elfu 5 napata umeme mwingi sahivi nashangaa napata unit 14 mmenibadilishia Tarif
 
Hawa jamaa wa REA ni pasua kichwa sana .
 
Mbona Bado tunaambiwa laki 3 na usheee kuingiza umeme huku mkoa wa Ilala jijini dsm? Niliona matangazo mh waziri Mkuu kushusha hapo pakoje???? Au haihusu
 
Nauliza hivi hii habari ya kununua nguzo za umeme ili mtu uingiziwe umeme inaenda kinyume na agizo la waziri au mi ndo sielewi?
Kwa mfano huku chamwino dodoma bado kusambaziwa umeme unahitajika malaki ya pesa kulipia nguzo vipi hapa?!

Ufanunuzi tafadhali no zangu ni 0767291786/0712438020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…