TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
- Thread starter
- #6,501
Taratibu za jinsi wa utekelezaji wa agizo zinaandaliwa hivyo tunaomba uvumilivu wako kwa kuwa mara baada ya kupokea agizo wataalamu wanakaa na kuandaa muongozo wa utekelezaji wakeNauliza hivi hii habari ya kununua nguzo za umeme ili mtu uingiziwe umeme inaenda kinyume na agizo la waziri au mi ndo sielewi?
Kwa mfano huku chamwino dodoma bado kusambaziwa umeme unahitajika malaki ya pesa kulipia nguzo vipi hapa?!
Ufanunuzi tafadhali no zangu ni 0767291786/0712438020