TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
- Thread starter
- #6,441
Tunaomba namba yako ya simu tafadhali.je swala hili ulilitolea taarifa ofisi ya eneo lako?Write your reply...Tanesco mnafeli wapi?Mwanza-Ilemela kata ya Nyamhongoro kuna mtaa hauna Umeme hata Nguzo hakuna na kuna watu wengi,REA waligoma kupeleka umeme kuwa siyo kijijini,Nyie hata kujishughulisha hakuna,watu wameshafuatilia hadi wamechoka,ahadi zimekuwa haziishi.....!!!Tokeni maofisini fanyeni kazi,hawa wananchi hamuwawekei umeme bure,wanawalipa,kwanini msifanye kazi yenu?