Nililitarajia jibu hili,Tanesco Kigamboni kuna matatizo makubwa sana,kasi ya utendaji haiendani na kauli mbiu ya uchumi wa viwanda ,mpo kisiasa zaidi ngoja tusubiri ziara ya Mh.Rais labda ataondoa kero ya umeme Tanesco Kigamboni.
 
Tanesco mmeanza kukatakata umeme Kimara.Wiki ya pili hii sasa mnakata hovyo tu bila taarifa.Huu umeme wenzenu tunazalishia Mali,why are you doing this?Matatizo gani Haya yasiyoisha kwenu?
 
Tanesco mmeanza kukatakata umeme Kimara.Wiki ya pili hii sasa mnakata hovyo tu bila taarifa.Huu umeme wenzenu tunazalishia Mali,why are you doing this?Matatizo gani Haya yasiyoisha kwenu?
Eneo gani mpendwa mteja wetu.Tunaomba namba yako ya simu tukuunge WhatsApp group Kimara
 
Asanteni sana Ndugu zangu Tanesco na wote mliohusika Kutatua Tatizo langu, Mimi ni Mteja wenu wa DODOMA nilileta malalamiko kuhusu Mita ya kiwanda cha kukamua Mafuta ,Jumatatu wamekuja mafundi na wamefunga Mita mpya, hapa nafurahia huduma tu..... Asanteni sana pia nawatakia kazi njema
 

Hongera sana
 
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
 
Eneo gani mpendwa mteja wetu.Tunaomba namba yako ya simu tukuunge WhatsApp group Kimara
mkuu hili ni tatizo la eneo lote la Kimara.Hivi nnavyokuandikia na leo pia hakuna umeme kuanzia Baruti hadi stop over na kuendelea.Na kila siku unakatwa saa 5 na dk 20 asubuhi.Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa.Watu tumeinvest milions kwenye biashara za umeme na tunadaiwa mikopo na kodi za serikali,inakuaje nyie wenzetu mko comfortable kukata tu umeme kwa mambo madogo madogo?Hamuwezi kuschedule maintenance zenu bila kukata umeme?Hii sio dunia ya kukatia watu umeme.Sasa kama huko mna maintenance za mwezi mzima unataka kuniambia nini?kwamba utanikatia umeme mwezi mzima?nilishasema humu nna miaka 20 sasa na mabiashara haya,sikumbuki ni lini umeme wenu ulitulia walau kwa miezi minne bila kukatika Dar.This is disgusting!Watz tubadilike.Kuna wakati mtu unafikiria kukwepa kodi kwa maujinga kama haya!My point is,acheni kukata umeme,jifunzeni kubadilika kisayansi.
 
Wananchi kibao hapa wanasubiri huduma yangu na nyie mmekata umeme.Laiti kungekuwa na generator cheap ya kuendesha hii mitambo yangu ningerarua na kuvunja nguzo zenu kabisa,nisitumie umeme wenu!msss!
 
kwann tanesco tangu uhuru hamjamaliza kuweka umeme nchi nzima?
 
Kuna mradi kwetu tka 2010 mpk leo haujakamilika nguzo zimeishia kati kati ya mji wameshindwa kumalizia nguO kama sita tu zilizoakia?
Kwendauli Kwekitui mamba Lushoto
Contact 0654229464
 
Nimelipia nguzo 2 Mbeya mwez wa 4 mwaka huu. Kila nikifatilia naambia nguzo hakuna na zilizopo ni wateja waliolipa mwaka jana. Nguzo kwa wauzaji zimejaa tele tatzo nini mnakosa nguzo wazalishaji wanazo?
Je nikinunua kwa wazlishaji mtaweza kuzikubali na kunifungia umeme.?
 
Nmelipiia kuunganishiwa umeme mbeya mjini toka mwez WA 2 mwaka huu na inahitajka nguzo moja(taping pole),why. Sijaungiwa mpaka leo?halafu tanesco inaunga wateja wangap kwa mwaka?ndan ya jiji)


Mteja wenu John M Mwadanda
 
tanesco kisarawe ni shida,wanafanya kazi kana kwamba wako majumbani mwao,hawajali kabisa,namba ya huduma kwa wateja ya 0627958997 hawapokei kabisa,simu inaita wao wanachati na smartphone,ikiita sana wanaminya kitufe cha bize,ningekuwa na uwezo,ningewahamishia mikoa ya kusini,alafu waje wapya...
 
Tanesco Chalinze naomba tuheshimiane Mita yangu imeshatoka kuja kunifungia mnanizingua,sitoi facilitation ng'o na ole wenu mwezi huu uiishe bila kunifungia Mita yangu
 
Tatizo la transformer Ukonga Sab saba huu ni mwezi wa nne kimya. Tueleweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…