Habari Wandugu,poleni na majukumu na hongereni kwa kazi,ndugu zanguni Tanesco Mimi ni mkazi wa Toangoma Kijiji Cha malela,Nimeleta kwwnu maombi yangu kwa niaba ya wenzangu Mara nyingi Sana,nimepata kuwasiliana na kitengo chenu Cha mawasiliano na kilinisaidia kwakweli kupata mawasiliiano ya mkuu wa Tanesco kigamboni,na hata leo bado hatujafanikiwa ombi letu.Ndugu zanguni tumezungukwa na umeme pande zote,kila tukijaribu kujichangisha ili umeme ifike kwetu bado hatufikii lengo ambalo ni mil 12.4.tukafurahi Sana kusikia kuwa Tanesco wamekuja na program ya urbanisation,pamoja na kufuatilia ofisini kwenu tukajikuta bado hatupo kwa mradi huo,Sasa ndugu zanguni tunawaombeni msaada wenu tuweze kupata umeme.bado takribani nguzo 12 umeme ufike kwetu.tumemsikia na waziri kawaomba mtuwekee umeme watu wa majiji mijini.nasie pia niwahitaji Sana kwani tutawapatia mapato Kama umeme huo utapatikana kwetu.Mkurugenzi tunaomba utusaidie kwa hili.Namba yangu ni 0713 549959.zipo Kaya zaidi ya 50 ambazo Zina uhitaji huo.kwa niaba ya wenzangu wanakijiji was malela natanguliza shukrani kwa usikivu wenu.
 
Tumepokea swala lako la kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
 
Mbona mnatukatia umeme bila Taarifa?
Toka saa kumi kasoro Arusha sehemu nyingi hazina umeme
 
Mbona mmekata umeme nchi nzima?
*TAARIFA YA KUREJEA KWA HUDUMA YA UMEME*

*Juni 06, 2019*

Tunawataarifu Wateja wetu waliounganishwa na gridi ya Taifa hadi kufikia saa 10:09 jioni huduma ya umeme imerejea katika Mikoa ya Dodoma na Iringa.

Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

Tovuti: www.tanesco.co.tz,

*Mitandao ya kijamii*

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

*IMETOLEWA NA:*

OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU
 
Mnarudisha nusu nusu haya tunasubiri.....
 
Tunashukuru sana kutupatia uzi huo.tumemuomba taarifa kamili kwa kuwa hahasema analalamikia eneo gani? Wilaua gani ili tuweze kutoa ufafanuzi
Habari Tanesco nipo mkoa wa Mara wilaya ya Tarime samahani nilikuwa naulizia utaratibu wa kupata mita namba mpya baada ya ile ya kwanza kuonekana haifai huwa inachukua muda gani maana hapa sisi tumemaliza mwezi mmoja na kila tukiulizia watoa huduma wanatuambia tusubirie na huku kwetu umeme unakatika sana kila baada ya dakika moja na ni kila siku hadi kero mpaka saivi mnaweza kutusaidia kwa hilo ili tuweze kupata mita nyingine mpya maana huku kuna mlolongo mrefu sana hadi kuja kuipata hiyo mita namba..????
 
Tunaomba namba zako za sim, eneo lako, wilaya pia. Je ulipatiwa namba ya taarifa yako kama ndio pia tunaomba
 
Tanesco Gongolamboto ina shida gani? Humalizi siku 2 lazima umeme ukatike kwa masaa sio chini ya manane.

Na namba za Tanesco Gongolamboto hazipokelewi. As we speak eneo lote kuanzia Magereza hadi Chanika hakuna umeme tangu saa 5 asibuhi
 
Kwenu Tanesco:huku Mwenge maeneo ya sokoni kwa nn mnapenda kukata umeme kila mara?juzi mmekata leo tena mmekata,Mh Rais juzi katoka kusikiliza kero za wafanyabiashara katumbua waziri,Sasa sisi wakazi wa maeneo tunamuomba Rais akutane na watumiaji wa umeme wa Tanesco asikilize kero zetu ili amtumbue huyu waziri wa nishati,Ni hayo tu
 
Chanika hadi Gongolamboto leo wamekata tangu saa 5 mpaka muda huu haujarudi. Tanesco mna matatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…