Tatizo letu Kwa huku kimara Baruti hadi kilungule kumekuwa na tatizo la low voltage Kwa miaka mingi sana kiasi kwamba wakati mwingine nyakati za jioni utakuta nyumba yako haina Umeme jirani yako unawaka nyumba tatu unawaka nyingine hauwaki ni shida sana kama kweli mnajali wateja wenu tatueni hili tatizo kwasababu tunajua lipo ndani ya uwezo wenu na wala halihitaji mfadhili
 
Jibuni na hali bas
 
JAMANI TANESCO ONGEZENI NGUVU YA KUUNGANISHIA UMEME MAJUMBANI MWA WATU MIMI NIMELIPA UMEME MWEZI WA 4 MWAKA 2019 NIKAAMBIWA KUWA BAADA YA MWEZI MMOJA YAANI HUU MWEZI WA 5 NITAKUWA NIMEUNGANISHIWA HUDUMA HIYO BAADA YA MWEZI NIKARUDI TANESCO KWA KUWA SIKUWA NIMEUNGANISHWA BAADA YA KUULIZA NIKAAMBIWA KWA SASA NDIO WAMEWAFIKIA WATEJA WALIOLIPIA MWEZI WA 10/2018 DU NILICHOKA MAANA SASA KAMA WATEJA WA KUANZIA JANUARI BADO NDIO WAKO MWEZI WA 10/29 ITACHUKUA MUDA GANI KWA SISI TULIOLIPIA MWEZI WA 4 KUFIKIWA BAADA YA KUDADISI DADISI NIKAAMBIWA LABDA MWEZI WA 11/2019 NDIO TUTAFIKIWA USHAURI WANGU KWA TANESCO MKOA WA KILIMANJARO ONGEZENI NGUVU KATIKA KUUNGANISHA WATEJA WALIOLIPIA HASA WATEJA WANAOITAJI NGUZO MAANA NDIO WANAOKAA MUDA MREFU SANA
 
Habari na poleni na majukumu .

Leo ni siku ya tatu baazi ya nyumba hatuna umeme tumepiga simu tanesco ila hakuna msaada ... Kumbu kumbu no ni 3500 na 3036

Eneo ni
Arusha , kata ni nguleo mnazareti karibu na police namba ya simu 0766427588
 


waamini wahandisi wenu wa umeme na mitambo ili siku za usoni wawe na uwezo wa kujenga miundo mbinu ya umeme tuache hii kasumba ya kuachia wageni wajenge halafu tuwe wasiamamizi
 
Pole na majukumu!. Nina mwezi wa tatu Sasa toka nimejaza fomu ya kupatiwa huduma ya umeme wilaya ya bagamoyo nikaambiwa atakuja surveyor mpk Leo sijamuona naomba msaada wenu
Tunaomba taarifa zako ikiwa jina na eneo ambalo umeomba umeme. Bila kusaau na namba yako ya simu. Unaweza kutuma hapa au private message
 
Sisi hapa Ubungo maziwa tuna tatizo la kutowaka umeme, iko hivi tumenunua umeme lakini kila tukiingiza Token kwenye Remote inaserch kwa muda mrefu halafu mwisho inasema Connect Fail, hata ukisema uangalie salio hivo hivo tatizo ni nini?

Tunaomba msaada wenu tatizo ni nini? Meter no hizi 37210012797.
 
Tumepokea taarifa yako kwa hatua zaidi npendwa mteja wetu.tunaomba namba yako inbox tukupigie
 
Pole na majukumu!. Nina mwezi wa tatu Sasa toka nimejaza fomu ya kupatiwa huduma ya umeme wilaya ya bagamoyo nikaambiwa atakuja surveyor mpk Leo sijamuona naomba msaada wenu
Tunaomba namba yako ya simu na eneo lako Bagamoyo mpendwa mteja wetu tulifanyoa kazi
 
9
unajihangaisha bure ndugu yangu, hakuna wa kujibu hapa. Na wakija wanajifanya wana lugha nzuri lakini utekelezaji zero
TANESCO
Swala limeshafanyiwa kazi mpendwa mteja wetu.Nimekupigia kwa namba ya airtel namba yako haipokelewi
 
Tumepokea taarifa yako kwa hatua zaidi npendwa mteja wetu.tunaomba namba yako inbox tukupigie
Fanya haya kisha tujulishe


Hakikishe circuit Breaker na Main switch ipo zipo on kama vipo sawa ingiza 5969868637210012797 bonyeza Ok kisha ingiza umeme tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…