TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri


TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,555
Likes
556
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,555 556 280
tanzania_electric_supply_company-tanesco-_logo-png.498143
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.

Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;

LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu

HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA

Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219

Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098

Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361

Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386

Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110

Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779

Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8

Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590

Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330

Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061

Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672

Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180

Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728

Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133

Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868

Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120

Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668

Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200

IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makauu.

NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE

1. Ilala

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

2.Kinondoni Kusini (Magomeni)

0784271461/ 0715271461

3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)

0784 768584/ 0716 768584

4. Temeke

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386

6. Mbeya
0759 777781/0787 023422


7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110

8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779

9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8

10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951

11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330

13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061

14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087

15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072

16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728

17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2

18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133

19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868

20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070

21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226

22. Katavi
0688345200

23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.

25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986

26. Njombe
0744703988

27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902

28. Iringa 0262702019/0739203015

29. Lindi
0752518247/0685692786


Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu

0768 985 100/0222194400

Facebook
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter
www.twitter.com/tanescoyetu

Tovuti
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
772
Likes
661
Points
180
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
772 661 180
HIVI KWELI INAINGIA AKILINI MTEJA MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE MNASHINDWA KUMBADILISHIA MITA MUMUWEKEE MPYA SABABU YA MWANZO ILILETA SHIDA NA MKAMUAHIDI KWAMBA MTAMBADILISHIA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI APATE UMEME ILA JUST IMAGINE MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE WAMEKAA GIZANI MWEZI MMOJA HAWAJUI UMEME .. MAMA WA WATU KILA SIKU KIGUU NA NJIA KWENDA OFISINI KULILIA UMEME ILI NA YEYE AFAIDIKE NA UMEME LAKINI IMEKUA KAMA MANYANYASO.. .KWAKWELI UTAWALA HUU MNAMNYIMA MTU UMEME MWEZI MZIMA? ETI KISA ENGINEER HAYUPO???? MAGUFULI MUST HERE THIS..NIMEPANGA KWENDA HADI KWA MKUU WA MKOA AISEE THIS IS NOT RIGHT ..


MKOA : KILIMANJARO
WILAYA : MOSHI
ENEO : MAKABURI YA KARANGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,555
Likes
556
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,555 556 280
HIVI KWELI INAINGIA AKILINI MTEJA MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE MNASHINDWA KUMBADILISHIA MITA MUMUWEKEE MPYA SABABU YA MWANZO ILILETA SHIDA NA MKAMUAHIDI KWAMBA MTAMBADILISHIA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI APATE UMEME ILA JUST IMAGINE MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE WAMEKAA GIZANI MWEZI MMOJA HAWAJUI UMEME .. MAMA WA WATU KILA SIKU KIGUU NA NJIA KWENDA OFISINI KULILIA UMEME ILI NA YEYE AFAIDIKE NA UMEME LAKINI IMEKUA KAMA MANYANYASO.. .KWAKWELI UTAWALA HUU MNAMNYIMA MTU UMEME MWEZI MZIMA? ETI KISA ENGINEER HAYUPO???? MAGUFULI MUST HERE THIS..NIMEPANGA KWENDA HADI KWA MKUU WA MKOA AISEE THIS IS NOT RIGHT ..


MKOA : KILIMANJARO
WILAYA : MOSHI
ENEO : MAKABURI YA KARANGA.


Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ya simu na namba ya taarifa aliypewa tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bourgeoisie

Bourgeoisie

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
633
Likes
56
Points
45
Bourgeoisie

Bourgeoisie

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
633 56 45
TANESCO, poleni na majukumu ya kila leo. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam mkoa wa Ilala (ki-Tanesco) katika mtaa wa Bombambili kata ya Kivule. Tumekuwa na tatizo la kutokuwa na huduma ya umeme kwa miaka kadhaa sasa. Baadhi ya watu katika mtaa huu wamewekewa umeme ila sehemu kubwa imebaki bila umeme.

Tunaweza kujua tatizo hili litatatuliwa lini? Lini miundombinu ya umeme itawekwa?
 
chinekeeee

chinekeeee

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Messages
1,687
Likes
2,559
Points
280
chinekeeee

chinekeeee

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2015
1,687 2,559 280
Habari nipo namalizia ki likizo changu pamoja na viporo ili nikirudi kazini niwe huru .Napenda kujua kama leo mtakata tena maeneo ya huku mbez beach asanten

Sent using Damu ya Yesu
 
G

Gagnija

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2006
Messages
6,674
Likes
928
Points
280
G

Gagnija

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2006
6,674 928 280
HIVI KWELI INAINGIA AKILINI MTEJA MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE MNASHINDWA KUMBADILISHIA MITA MUMUWEKEE MPYA SABABU YA MWANZO ILILETA SHIDA NA MKAMUAHIDI KWAMBA MTAMBADILISHIA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI APATE UMEME ILA JUST IMAGINE MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE WAMEKAA GIZANI MWEZI MMOJA HAWAJUI UMEME .. MAMA WA WATU KILA SIKU KIGUU NA NJIA KWENDA OFISINI KULILIA UMEME ILI NA YEYE AFAIDIKE NA UMEME LAKINI IMEKUA KAMA MANYANYASO.. .KWAKWELI UTAWALA HUU MNAMNYIMA MTU UMEME MWEZI MZIMA? ETI KISA ENGINEER HAYUPO???? MAGUFULI MUST HERE THIS..NIMEPANGA KWENDA HADI KWA MKUU WA MKOA AISEE THIS IS NOT RIGHT ..


MKOA : KILIMANJARO
WILAYA : MOSHI
ENEO : MAKABURI YA KARANGA.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi sana, wanataka hata vitu vidogovidogo tuandamane kwenda kumlilia Rais.
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,555
Likes
556
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,555 556 280
TANESCO, poleni na majukumu ya kila leo. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam mkoa wa Ilala (ki-Tanesco) katika mtaa wa Bombambili kata ya Kivule. Tumekuwa na tatizo la kutokuwa na huduma ya umeme kwa miaka kadhaa sasa. Baadhi ya watu katika mtaa huu wamewekewa umeme ila sehemu kubwa imebaki bila umeme.

Tunaweza kujua tatizo hili litatatuliwa lini? Lini miundombinu ya umeme itawekwa?
Umeomba umeme kwa jina gani na namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DsmicSound

DsmicSound

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Messages
455
Likes
476
Points
80
DsmicSound

DsmicSound

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2015
455 476 80
TANESCO HII LAINI YA HUKU UBUNGO MSEWE MAENEO YA KITUO CHA AFYA CHA MOYO SAFI INA TATIZO GANI...? KILA SIKU NDANI YA MASAA 24 LAZIMA UMEME UKATIKE...KWANINI LAKINI...MNATURUDISHA NYUMA MAENDELEO YETU NA YA TAIFA KWA UJUMLA...KAMA SASA HIVI NAVYOZUNGUMZA HAKUNA UMEME HUKU...
 
Bourgeoisie

Bourgeoisie

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
633
Likes
56
Points
45
Bourgeoisie

Bourgeoisie

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
633 56 45
Umeomba umeme kwa jina gani na namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo zima halina Umeme, hakuna miundombinu ya umeme. Umeme haujafungwa, hakuna nguzo wala transformers. Kiujumla hakuna miundo mbinu sasa mtu mmoja mmoja sijui hapo anaombaje kwa jina unaloulizia!
 
A

ADK

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Messages
1,398
Likes
288
Points
180
A

ADK

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2012
1,398 288 180
Habari ndugu natoa taarifa ya kukatika kwa umeme baadhi ya nyumba hapa Nyeburu chanika
Kuna zinazopata umeme na nyingine hazina tangu jana usiku
Hii imetokea baada ya kukatika umeme na kurudi baada ya nusu saa
Kama inawezekana naomba na namba za dharura za kisarawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Sontojo

Member
Joined
Jun 18, 2013
Messages
62
Likes
6
Points
15
S

Sontojo

Member
Joined Jun 18, 2013
62 6 15
MAGONJWA HATARI NA RAHISI KUAMHUKIZANA KULIKO HATA UKIMWI!

Mi nimejifunza kuwa Madaktari wa Tanzania hawaongei chochote kuhusu magonjwa kama vile;
1. Herpes simplex virus
2. Human papillomavirus infection (hpv)

Magonjwa haya kwa kiasi kikubwa sana yamewaadhiri Watanzania wengi na hasa watoto kupitia kwa wazazi na wazazi tokea kwa watoto mfano watoto kuambukizana mashuleni kama vile kushirikiana vitu kama kugawiana peremende toka mdomoni nk kisha wakifika nyumbani uwaambukiza watoto wenzao na hata wazazi wao, ndugu, jamaa wanaoishi nao kwa karibu.

Je kwanini msianze program maalum ya kuelimisha watu waziwazi maana hili janga ni kubwa sana na huu ugonjwa ni rahisi mno kusambaa au kuambukizana pengine kuliko magonjwa yote? Mwisho wa siku mgonjwa anaishia na kansa. Ebu fualitieni uone watu wana hali mbaya na sababu ya kutojua wanafikiri wamelogwa!

Watu wanateketea sana sana kwa kukosa maarifa toka kwa wataalamu. Si kila mgonjwa hapa anapata magonjwa haya kupitia ngono!

Dalili;
1. Mafua ya mara kwa mara
2. Kuumwa kichwa
3. Kubadilika rangi ya ngozi
4. Vipele vya ajabu ajabu kifuali, sehemu za siri, mgongoni nk
5. Kuwaka moto sehemu za siri na maumivu makali yasiyoeleweka
6. Kupata vitu kama vidonda ambavyo vipele vidogo vidogo vilivyojikusanya pamoja na baadae ubadilika kama mtu aliungua kwa maji ya moto. Hupona vyenyewe
7. Kutokwa na vidonda vidogo mdomoni kwa ndani ambavyo uuma sana
8. Nywele kulegea na kupoteza ubora wake
9. Kutokwa na uvimbe kwenye kuta za kooni na hutoa vitu kama usaa ukichunguza kwa umakini
10. Kubadilika kwa harufu ya sehemu za siri na hata kunuka sana
11. Kupata UTI mara kwa mara
12. Kubanwa kifua na/ au shingo kwa muda na kuachia yenyewe baada ya muda fulani
13. Kuwashwa mwili hasa macho na usipojua unaweza kununua miwani au kubadili miwani kila siku
14. Tumbo kujaa gas au kushindwa kusaga baadhi ya vyakula kwa haraka mfano wali au chapati au chocolate
15. Miguu na mikono kubadilika ulaini na kuwa ngumu sana utafikiri una miiba mikononi na miguuni

Zipo nyingi sana ukikaa na mgonjwa wako vizuri na kirafiki atakueleza mambo 1,000 kidogo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidudula

kidudula

Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
78
Likes
32
Points
25
kidudula

kidudula

Member
Joined Jul 29, 2017
78 32 25
TANESCO KISARAWE MNATUUNGUZIA VIFAA VYETU VYA UMEME, MNAKATA UMEME UKIRUDI HAUNA NGUVU KABISAA, KAMA USIKU WA TAREHE 14 MMEKATA UMEME UMERUDI USIKU HAUNA NGUVU HATA FENI HAIWASHI, KAMA MMESHINDWA KAZI BAKIENI KISARAWE KWENU SIE WA CHANIKA TUHAMISHIWE MKOA WA ILALA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mgawe

mgawe

Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
21
Likes
12
Points
5
mgawe

mgawe

Member
Joined Jan 19, 2014
21 12 5
Tanesco Ilembula kuna shida gani? Umeme unakatika karibu kila siku na bila maelezo yoyote, hali hii hamuoni km ina athari kubwa kiuchumi? Pia maeneo mengine umeme unapokatwa, taarifa hutolewa mapema, je kwa Ilembula sio jambo la muhimu? Au tusubiri ziara ya rais ndio tuje tutoe malalamiko yetu! Maana ushahidi tunao, tunaomba mchukue hatua tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,555
Likes
556
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,555 556 280
Tanesco Ilembula kuna shida gani? Umeme unakatika karibu kila siku na bila maelezo yoyote, hali hii hamuoni km ina athari kubwa kiuchumi? Pia maeneo mengine umeme unapokatwa, taarifa hutolewa mapema, je kwa Ilembula sio jambo la muhimu? Au tusubiri ziara ya rais ndio tuje tutoe malalamiko yetu! Maana ushahidi tunao, tunaomba mchukue hatua tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilembula eneo gani haswa? Wilaya na namba ya simu rafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined
Jul 12, 2014
Messages
1,555
Likes
556
Points
280
TANESCO

TANESCO

Verified Member
Joined Jul 12, 2014
1,555 556 280
TANESCO KISARAWE MNATUUNGUZIA VIFAA VYETU VYA UMEME, MNAKATA UMEME UKIRUDI HAUNA NGUVU KABISAA, KAMA USIKU WA TAREHE 14 MMEKATA UMEME UMERUDI USIKU HAUNA NGUVU HATA FENI HAIWASHI, KAMA MMESHINDWA KAZI BAKIENI KISARAWE KWENU SIE WA CHANIKA TUHAMISHIWE MKOA WA ILALA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisarawe eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091