Tunaomba namba yako ya simu tafadhaliPamoja na hilo tunaomba Fuatilieni Pia Uyole Mbeya! Umeme kwa Siku unawaka si Zaidi ya saa 5 tu katika saa 24!
Mkuu, tafadhali hata hilo Ombi nimeomba Hapo Juu, Kuhusu Kuunganishiwa Miezi Minne mpaka sasa sijaunganishiwa Hapa hapa Mbeya!
Namba ya simu na namba ya taarifa aliypewa tafadhaliHIVI KWELI INAINGIA AKILINI MTEJA MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE MNASHINDWA KUMBADILISHIA MITA MUMUWEKEE MPYA SABABU YA MWANZO ILILETA SHIDA NA MKAMUAHIDI KWAMBA MTAMBADILISHIA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI APATE UMEME ILA JUST IMAGINE MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE WAMEKAA GIZANI MWEZI MMOJA HAWAJUI UMEME .. MAMA WA WATU KILA SIKU KIGUU NA NJIA KWENDA OFISINI KULILIA UMEME ILI NA YEYE AFAIDIKE NA UMEME LAKINI IMEKUA KAMA MANYANYASO.. .KWAKWELI UTAWALA HUU MNAMNYIMA MTU UMEME MWEZI MZIMA? ETI KISA ENGINEER HAYUPO???? MAGUFULI MUST HERE THIS..NIMEPANGA KWENDA HADI KWA MKUU WA MKOA AISEE THIS IS NOT RIGHT ..
MKOA : KILIMANJARO
WILAYA : MOSHI
ENEO : MAKABURI YA KARANGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi0757 712 840
Hio namba ya taarifa muulizeni namba hio hapo..
Nimejitolea kumsaidia mana namfahamu na hili jambo limeniumiza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi sana, wanataka hata vitu vidogovidogo tuandamane kwenda kumlilia Rais.HIVI KWELI INAINGIA AKILINI MTEJA MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE MNASHINDWA KUMBADILISHIA MITA MUMUWEKEE MPYA SABABU YA MWANZO ILILETA SHIDA NA MKAMUAHIDI KWAMBA MTAMBADILISHIA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI APATE UMEME ILA JUST IMAGINE MAMA WA WATU NA FAMILIA YAKE WAMEKAA GIZANI MWEZI MMOJA HAWAJUI UMEME .. MAMA WA WATU KILA SIKU KIGUU NA NJIA KWENDA OFISINI KULILIA UMEME ILI NA YEYE AFAIDIKE NA UMEME LAKINI IMEKUA KAMA MANYANYASO.. .KWAKWELI UTAWALA HUU MNAMNYIMA MTU UMEME MWEZI MZIMA? ETI KISA ENGINEER HAYUPO???? MAGUFULI MUST HERE THIS..NIMEPANGA KWENDA HADI KWA MKUU WA MKOA AISEE THIS IS NOT RIGHT ..
MKOA : KILIMANJARO
WILAYA : MOSHI
ENEO : MAKABURI YA KARANGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeomba umeme kwa jina gani na namba yako ya simuTANESCO, poleni na majukumu ya kila leo. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam mkoa wa Ilala (ki-Tanesco) katika mtaa wa Bombambili kata ya Kivule. Tumekuwa na tatizo la kutokuwa na huduma ya umeme kwa miaka kadhaa sasa. Baadhi ya watu katika mtaa huu wamewekewa umeme ila sehemu kubwa imebaki bila umeme.
Tunaweza kujua tatizo hili litatatuliwa lini? Lini miundombinu ya umeme itawekwa?
Eneo zima halina Umeme, hakuna miundombinu ya umeme. Umeme haujafungwa, hakuna nguzo wala transformers. Kiujumla hakuna miundo mbinu sasa mtu mmoja mmoja sijui hapo anaombaje kwa jina unaloulizia!