Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,456
- 872
Namba nitawapa, lakini nisadieni hili kwanzaJUKUMU LETU NI KUKUHUDUMIA SIO KUKUADHIBU
Nguzo inapswa kusimamishwa ikiwa na wire kwa muda gani?
Je ni kawaida? Maana ni wiki ya 2 sasa.
.
Namba nitawapa, lakini nisadieni hili kwanzaJUKUMU LETU NI KUKUHUDUMIA SIO KUKUADHIBU
Hivi mbona nimewaandkia hamjibu!?Tunapokuomba taarifa ndio njia moja wapo ya Makao Makuu kufatilia tatizo la mteja
Nimewatumia namba mmeiona?JUKUMU LETU NI KUKUHUDUMIA SIO KUKUADHIBU
tanesco ya Mbezi organisation ya kazi yao ni janga kubwa, chumba namba 8 ndo shida sana wapo wadada wawili pale hata kutoa maelekezo shida wanawambia msubiri then wao wanakimbizana na simu. ukienda tanesco kimara usitegemee kuendelea na shughuri zako. ujue hiyo siku itaishia pale mimi mwenyewe nimelipia 515675 kuunganishiwa umeme nasubiria simu zao hata nguzo hawajaniletea jamaa majanga sana bora ningeombea tu magomeni na kusema sina imani na huduma ya Tanesco mbezi.Tanesco
Mteja anawekewa nguzo bila kuungwa wire wiki mbili
Huu ni utaratibu wenu?
Imagine unalipa huduma tangu May mpaka sasa hujapata umeme!
Ajabu kubwa kuna waliolipa July wameunganishwa na huduma.
Jamani sote ni watanzania.
Tanesco ya Mbezi ya Kimara
kuna customer care ya hovyo, majibu mabaya sana kwa wateja wapendwa hasa kwa afisa mahusiano pale Kontena na Chumba namba 8.
Yaani ndugu; walivyo na jeuri hao!tanesco ya Mbezi organisation ya kazi yao ni janga kubwa, chumba namba 8 ndo shida sana wapo wadada wawili pale hata kutoa maelekezo shida wanawambia msubiri then wao wanakimbizana na simu. ukienda tanesco kimara usitegemee kuendelea na shughuri zako. ujue hiyo siku itaishia pale mimi mwenyewe nimelipia 515675 kuunganishiwa umeme nasubiria simu zao hata nguzo hawajaniletea jamaa majanga sana bora ningeombea tu magomeni na kusema sina imani na huduma ya Tanesco mbezi.
Swali la tariff mbona hamjibu?JUKUMU LETU NI KUKUHUDUMIA SIO KUKUADHIBU
Mpendwa mteja tumekuomba taaarifa kamili ili tufanyie.kazi swala.lakoYaani ndugu; walivyo na jeuri hao!
Unaingia getini unatetemeka ukiwaza sijui watanijibu nini?
Nina siku kama ya 100+ tangu nilipie lakini hakuna la maana. Sisi ni wanyonge
Hatuna njia mbadala zaidi ya kuamini Haki.
Naahukuru sana mdau kwa kujitokeza na kuwekea mkazo hili pengine litasaidia wahusika kubadilika.
Inashangaza sana na kuumiza mno.
Nimekutumia sms inbox haina majibu zaidi ya siku mbili. Yako nje ya uwezo wako?Mpendwa mteja tumekuomba taaarifa kamili ili tufanyie.kazi swala.lako
Nimeandika namba zangu hapa, tangu Jana. Nikaona nizifute maana hamkuwa online.Mpendwa mteja tumekuomba taaarifa kamili ili tufanyie.kazi swala.lako
Kwanza polen kwa kazi kubwa.Inategemea
Kama ni njia moja nunua kuanzia 17500 ili ulipie unit 50 ambazo zilifungwa na mita
Sent using Jamii Forums mobile app