Mi nilidhani pengine umeme kukatika kipind cha kiangazi ni sahihi kwa sababu Mvua hkn na maji ni shida ktk mabwawa sasa ni tofauti Hii ni masika mvua za kutosha mabwawa full Turbine halaf umeme ndo
 
Habari wadau na watumishi Wa Tanesco
Mimi ni mkazi wa baruti maeneo ya daraja la bajaji kuelekea kilungule njia ya umeme inayoanzia pale baruti hadi kilungule kila Siku inamatatizo ya low voltage kisha umeme kukatika na kurudi inaweza chukua hata siku mbili tupo gizani . Sasa mimi nina maswali mawili kwenu
(1)kama sisi wakazi wa hapa kimara karibu Kabisa na makao makuu ya Tanesco hali ni hii wenzetu vijijini hali ipo je?
(2)hili tatizo tunalo takribani miaka hata saba na zaidi je hii inamaanisha mmeshindwa kulitatua hili tatizo na kama mmeshindwa ni nani atatusaidia tuweze kuondokana na hili tatizo (nakumbuka pale baruti kuanzia ile transifoma ipo juu hadi mmeishusha chini tatizo likapungua kidogo lakini sikuhizi ndio limekua kubwa kuliko zamani )
Mwisho ninawaomba mjue kuwa tunawategemea kwakuwa matumizi ya umeme mnayajua tunawatoto wanahitaji kusoma n.k umeme ni muhimu katika maisha yetu mkitunyima umeme mjue mmetuadhibu vikali tunaomba Msaada namba yangu 0717297821
 
Tumepokea taarifa yako mpendws mteja wetu tunaifanyia kazi
 
KIWANDA CHANGU NANUNUA UMEME WA KATI YA TSH 200,000 HADI 300,000 KWA SIKU,JUMAINNE RADI IMEPIGA NA KUHARIBU MITA,CHA AJABU MAFUNDI WA TANESCO ILI KUNIWAHISHIA KUREKEBISHA HILO TATIZO KWA WAKATI WANANITAKA MPAKA NIWAPE POSHO,NA BAADA YA KUWALALAMIKIA NA KUWAAMBIA TATIZO LA KUTENHENEZA NA KUREKEBISHA MITA NI JUKUMU LA TANESCO WANAJIZUNGUSHA KUJA KUNIREKEBISHIA,NIMEPANGA KUMUONA MENEJA WA MKOA LABDA WATAKUJA,VERY UPSET,KIWANDA HAKIFANYI KAZI SIKU YA NNE MPAKA WATEJA HAWANIELEWI.
 
Tunapata wakati mgumu sana kukufatilia swala ambalo halina taarifa kamili. Tunapoomba taarifa kamili na wewe kutupatia ni lazima tufanyie kazi swala lako, tunaomba taarifa kamili mpendwa mteja
 
Hii mbona tuliwasilana na wrwe mkuu
 
TANESCO mbona mmekaa kimya siku zinaenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…