realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,981
Ingieni TBC huko muone mnavyo nyambuliwa,huku mumeweka uzi huku na makero hamtatui
Asante kwa kuniwakilisha kimawazo.Kweli kazi imewashinda.
Kwani huo mpango ulikuwepo au,kusema ukwer mm sjawahi kusikia kitu kama hichoMimi naomba kujua ile habari njema ya kutuongezea unit sisi watuaji wadogo wa umeme yaani watu wa tarif 4 kutoka unit kidogo 75 kwa mwezi hadi kutuongezea na kufika 100 au 120 imefikia wapi naomba kujua maana unit 75 ni ndogo sana yaani tunajibana sana mpaka firij na feni hatuwashi mara kwa mara ukizingatia kama watu tunaishi dar na joto hili tinaishi maisha magumu sana tunashinda tukigombana na watoto wao wakitaka kukiachia friji, feni, tv, kusaga matunda na brenda, kupasi nguo za shule kila siku nk tunaomba mtusaidie mtuongezee hizo unit.
Hapa sijakuelewa, uongezewe unit kivipi? Kwani unit si zinaendana na kiasi cha pesa unachotoa au?Mimi naomba kujua ile habari njema ya kutuongezea unit sisi watuaji wadogo wa umeme yaani watu wa tarif 4 kutoka unit kidogo 75 kwa mwezi hadi kutuongezea na kufika 100 au 120 imefikia wapi naomba kujua maana unit 75 ni ndogo sana yaani tunajibana sana mpaka firij na feni hatuwashi mara kwa mara ukizingatia kama watu tunaishi dar na joto hili tinaishi maisha magumu sana tunashinda tukigombana na watoto wao wakitaka kukiachia friji, feni, tv, kusaga matunda na brenda, kupasi nguo za shule kila siku nk tunaomba mtusaidie mtuongezee hizo unit.
Mimi nimelipia mradi wa nguzo 6 Kigamboni naambiwa nisubiri siku 60, ila inaweza ikafika hadi 90, wanachukua muda mrefu kwa kweliHakika naamini Tanesco imezidiwa mpaka inashindwa kutoa Huduma.Nawaomba Viongozi wetu walifumue SHIRIKA hili na kuliunda upya na pia walipunguzie majukumu kama ya Kusambaza nguzo na kuliachia majukumu ya kuzalisha na kuuza umeme.Muda mwingi unapotea Kusambaza nguzo .
Huwa wanakuja kukagua kama unaibaga umeme au huibi ndo watafànya hizo process maana wengi wao wa namna hii wanakuaga wezi wa umeme.Mimi naomba kujua ile habari njema ya kutuongezea unit sisi watuaji wadogo wa umeme yaani watu wa tarif 4 kutoka unit kidogo 75 kwa mwezi hadi kutuongezea na kufika 100 au 120 imefikia wapi naomba kujua maana unit 75 ni ndogo sana yaani tunajibana sana mpaka firij na feni hatuwashi mara kwa mara ukizingatia kama watu tunaishi dar na joto hili tinaishi maisha magumu sana tunashinda tukigombana na watoto wao wakitaka kukiachia friji, feni, tv, kusaga matunda na brenda, kupasi nguo za shule kila siku nk tunaomba mtusaidie mtuongezee hizo unit.
Ndugu wapendwa wateja wetu wa maeneo ya Kimara na Kibamba tunawajulisha kuwa imetokea hitilafu na kusababisha maeneo mengi kukosa umeme jitihada zinaendelea na umeme utarejea mapemaKiukweli Mwaka 2018 umekuwa ni mwaka ambao si salama kwa sisi wakazi wa Mbezi kwa Msuguri yakiwepo maeneo ya Bwaloni, Serikali ya Mtaa, Kaseja, Kwa Mgaya, Masaki, St. Anna, Majengo Mapya ukija mpaka Malamba Mawili Msikitini.
Nasema si SALAMA kiulinzi kwa vile huku askari wa doria ni nadra kuzuru, na hata wakizuru ni mara moja moja sana. Ulinzi wetu usiku ni sisi wenyewe tukitegemea mwanga pekee kutoka TANESCO. Mbaya zaidi tukiwapigia simu kwenye line yenu ya tigo inakuwa busy muda wote; line ya Airtel simu inaita tu...tunashindwa kupata jibu la moja kwa moja juu ya nini kimetokea.
TANESCO Kimara wamekuwa wakitukatia umeme mara kwa mara kwa kisingizio kuwa line kubwa inasumbua hivyo inahitaji matengenezo. Tunastaajab hasa sababu matengenezo hayo ufanyika kati ya saa 6 usiku hadi saa 10 -11 alfajiri. Hivi leo mmekata Umeme kuanzia saa 5 usiku mpaka sasa hivi saa 6 mchana bado hatujarejeshewa huduma ya umeme. Hali hii inatukwaza sisi wananchi hasa usalama wetu unakuwa mashakani. Mbali na hilo pia tunashindwa kutekeleza shughuli zetu mbali mbali za kiuchumi zinazotegemea umeme na huku mkituharibia vyombo vyetu vya Umeme kwenye hii zima/washa/zima yenu. Mkumbuke kwamba majumbani uhai wa majokofu, Tv, taa sio rafiki hasa pale umeme unapokuwa hautabiriki.
Tafadhali mfahamu kwamba kila mnapotulaza gizani, matukio ya wizi, vibaka, hofu nayo huongezeka. Juzi kati jirani yangu amekoswa koswa kuibiwa.
Ombi langu kwenu ni kujipanga vizuri zaidi na kuhakikisha mnatupatia huduma nzuri kama
Sisi tunavyohakikisha tunalipa Luku hata kabla ya kutumia huduma yenu. Au kama ni fitna mnafanya au kutaka kufikisha ujumbe au kuhalalisha malipo ya ziada kwa kufanya kazi usiku chonde chonde sisi wananchi tunaumia. Mkae kwenye vikao vyenu vya ndani na kupanga mikakati bora kuliko hali hii ya sasa inayopelekea kuhatarisha usalama wetu na kuchochea wizi usiku.
Nawasilisha
Ndugu wapendwa wateja wetu wa maeneo ya Kimara na Kibamba tunawajulisha kuwa imetokea hitilafu na kusababisha maeneo mengi kukosa umeme jitihada zinaendelea na umeme utarejea mapema
Kama zipo kwenye kiwanja kimoja na mmiliki ni moja na majina ya nyumba zote ni mtu mmoja sawa, kinyume na hapo ni kujiunganishia umeme bila kupata idhini ya shirika ambapo itapelekea kulipia faini au kupelekwa mahakamani.Habari za kazi? Naomba kuuliza kama kuna ubaya kuchukua umeme kutoka nyumba kubwa kwenda nymba ndogo ambayo inaishi familia tofauti, na nymba zenyewe zipo katika kiwanja kimoja na mmiliki ni mmoja.
So ningependa kujua kama hakuna shida kwa hilo, mita ni ya luku.. Kazi nyema kwenu.
Ndugu mteja kama upo Tarrif 4 na matumizi yako ni zaidi ya unit 75 tafadhali tunakuomba urudi tu Tarrif 1, ili kupunguza gharama zaidi unazolipia kama bado upo Tarrif ya wateja wadogoMimi naomba kujua ile habari njema ya kutuongezea unit sisi watuaji wadogo wa umeme yaani watu wa tarif 4 kutoka unit kidogo 75 kwa mwezi hadi kutuongezea na kufika 100 au 120 imefikia wapi naomba kujua maana unit 75 ni ndogo sana yaani tunajibana sana mpaka firij na feni hatuwashi mara kwa mara ukizingatia kama watu tunaishi dar na joto hili tinaishi maisha magumu sana tunashinda tukigombana na watoto wao wakitaka kukiachia friji, feni, tv, kusaga matunda na brenda, kupasi nguo za shule kila siku nk tunaomba mtusaidie mtuongezee hizo unit.
Mimi si tanesco.Ni Kwanini tokea nibadilishiwe miter matumizi yameongezeka