TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

Mbona hii style siioni kwa Watuhumiwa wengine?

Naona Huwa wanakamatwa na kuwekwa Ndani wakiambiwa Makosa yao hayana Dhamana, wakipelekwa Mahakamani na kuambiwa Uchunguzi/Upelelezi haujakamilika!
 
Imekuwa ni kawaida ya mbunge wa Mwibara mh Kangi Lugola kutembea na Ilani ya CCM mkononi mwake. Juzikati aliitwa na Takukuru kwa mahojiano na alipofika alilisalimia kundi la waandishi wa habari kwa kuwapungia kitabu cha ilani ya CCM.

Nitoe tu angalizo kama mh Kangi Lugola atapandishwa katika mahakama ya mafisadi basi kwa haraka sana chama kimzuie kupanda kizimbani na kitabu cha Ilani.

Haitaleta picha nzuri kwa wananchi endapo Ilani ya uchaguzi ya CCM itanajisiwa.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Milima Upo Hutaki Kujenga Unakwenda Kujenga Bondeni
Mafuriko Yakija Acha Ufulikwe.
Ndugu Zangu Mmekalia Kulalamika Mafuriko Mafuriko

Mvua Ikinyesha Wakiwa Wanafurikwa Huko Kalime Mahindi, Kunde, Mbaazi. Wakitoka Huko Wauzie

Uliyatafute Mwenyewe Hayo Mabonde Acha Yakubondoe
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Huyu Kangi alisema hajawahi kuona Mtu Muongo Duniani kama Prof Assad, kisa waliulizwa MZIGO wa Uniform mliingiza kwa meli ipi onesheni bill of lading, Scanner za TPA mbona hazina record ya kupita mzigo huo, mbona Account ya Mzabuni haijawahi kutuma fedha nje kununulia mzigo huo

Kangi hakuwa Waziri wakati wa Sakata la Uniform lakin kama kawaida ya Mabaharia lazima wateteane akawatetea wenzie, la kwake wenzie wamejitenga wanamrushia Nanga ajiokoe kwa dhoruba ya Baharini badala ya Boya

Hatuwezi kwenda kwny Uchaguzi bila ya kutoa kafara watu waone Mahakama ya Mafisadi ikiwa kazin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,
Shetani hawezi kwenda popote bila mapembe yake , atamuachia nani ?

Kingine ni hiki , mvunja ilani mkuu ni Magufuli , mbona hujawahi kumkoromea asivae sare za ccm ?

Ilani ya ccm aliyozunguka nayo Magufuli kuomba kura nchi nzima 2015 imeandika namna ya kuwasaidia watoto wa kike kurudi shule baada ya kupata mimba na kujifungua , mbona Magufuli hakuheshimu hilo ?

Ushauri - Kama hujui kitu just SHUT UP .
 
Mnamuonea wivu, mwenzenu kaisom a na kuitafsiri hadi ikamuwezesha kujipatia mabilioni. Mbinu zoooote za wizi zinapatikana kwenye kile kijitabu ndiyo maana anakithamini kwani kimemuondolea umasikini. Yule sasa ni bilionea siyo mwenzenu tena. Na kwa vile siku hizi mahakama zimepewa uwezo wa ku compromise na mafisadi atatoka tu kujilia mabilioni yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom