Kwa Sakata hili la Bandari na Waarabu na Rushwa zao. Je, kuna haja ya TAKUKURU hii kuendelea kuwepo?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,801
71,226
Nadhani wote sasa tumekwisha ona na kupata picha za mgogoro huu wa ubinafsishaji wa Bandari na mchakato mzima na jinsi habari za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya miundo mbinu walivyosafirishwa kwa gharama za mamlaka ya Dubai na kupokea rushwa mbalimbali ikiwemo fedha kuzagaa.

TAKUKURU ambayo gharama zake kubwa za kuiendesha tunazitoa sisi lakini hakuna la maana kama hili wanashughulika bali wao wako busy na makarani wa mahakama, manesi na watumishi wadogo lakini wahujumu kama hao wabunge hawaguswi na wanakuja kutuharibia nchi.

Je, TAKUKURU ivunjwe na kuundwa chombo kipya au tufanyeje maana hawa wameshindwa.
 
TAKUKURI haiwezi hata kumkamata katibu tawala wa Wilaya ndio iweze kwa Wabunge?

Takukuru iko pale kutimizia matakwa ya IMF na World Bank ila ile sio taasisi ya kupambana na rushwa, sana wakijitahidi wanawakamata mahakimu wa mahakama za Mwanzo, manesi, watendaji wa kata na vijiji, hapo ndio kikomo chao kilipo.
 
Ni kweli maana rushwa kubwa kama hiyo ya kuhonga kamati nzima ya Bunge hawashughuliki inaleta picha gani?
Hata mataifa ya nje watatudharau maana hata tukipata vita linaweza kupewa rushwa baraza Zima la mawaziri au wakuu wa vikosi vya ulinzi kwa pamoja.
Rushwa huwa inatolewa kwa usiri kwa mtu individual lakini ukiona nchi rushwa mnapewa KWA MAKUNDI ujue hata mtoa rushwa kawadharau sana.
 
Ni pale PCCB anapomkamata nesi au mtendaji wa kijiji kwa tuhuma ya rushwa ya shilingi elfu kumi na tano halafu anamuomba rushwa ya shilingi milioni moja ili mtuhumiwa atetee kibarua chake.Ni package "nzuri" sana ya kujipatia vichekesho.
 
Nadhani wote sasa tumekwisha ona na kupata picha za mgogoro huu wa ubinafsishaji wa Bandari na mchakato mzima na jinsi habari za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya miundo mbinu walivyosafirishwa kwa gharama za mamlaka ya Dubai na kupokea rushwa mbalimbali ikiwemo fedha kuzagaa.

TAKUKURU ambayo gharama zake kubwa za kuiendesha tunazitoa sisi lakini hakuna la maana kama hili wanashughulika bali wao wako busy na makarani wa mahakama, manesi na watumishi wadogo lakini wahujumu kama hao wabunge hawaguswi na wanakuja kutuharibia nchi.

Je, TAKUKURU ivunjwe na kuundwa chombo kipya au tufanyeje maana hawa wameshindwa.
Tuna Takataka, siyo TAKUKURU
 
Na kama hawawezi wana faida gani kuwepo?
Hili suala la Katiba nadhani wananchi tuache ufala kwa kuliacha kwenye mikono ya wapambanaji wachache bali sasa uwe ni ugomvi kabisa wa wananchi na serikali hii oliyopo kiharamu
Swala si kuwepo au kutokuwepo kwao , tupate katiba mpya ili takukuru ifanye kazi bila mipaka !
 
Nadhani wote sasa tumekwisha ona na kupata picha za mgogoro huu wa ubinafsishaji wa Bandari na mchakato mzima na jinsi habari za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya miundo mbinu walivyosafirishwa kwa gharama za mamlaka ya Dubai na kupokea rushwa mbalimbali ikiwemo fedha kuzagaa.

TAKUKURU ambayo gharama zake kubwa za kuiendesha tunazitoa sisi lakini hakuna la maana kama hili wanashughulika bali wao wako busy na makarani wa mahakama, manesi na watumishi wadogo lakini wahujumu kama hao wabunge hawaguswi na wanakuja kutuharibia nchi.

Je, TAKUKURU ivunjwe na kuundwa chombo kipya au tufanyeje maana hawa wameshindwa.
TAKUKURU ivunjwe na kuundwa chombo kipya au tufanyeje maana hawa wameshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom