TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

Fact
Ila JPM ni fisadi tu na yeye, nafikiri hii kesi ikienda mbali zaidi na yeye yumo, kilichotokea ni majamaa kumpunja Mzee Baba mgao wako, mwisho akasema "NYIE MUMEMWAGA MBOGA NA MIMI NAMWAGA UGALI".

Haiwezekani kesi ilianza kwa mbwembwe, PCCCB wamesema wana kesi ya kujibu, mashtaka teyari washaenda mpaka wa DPP ila mpaka sasa hakuna kesi yeyote ile iliyofika mahakamani, mbaya zaidi kosa lao walitakiwa kuwa Mahabusu kama wanavyofanya washitakiwa wengine, ila majamaa bado wapo uraini wanatumalizia oxygen yetu tu.

Kama hawana kesi yakujibu, bora waseme tu kama Rais alikosea kuwashtumu au walikuwa na makosa lakini Rais kawasamehe ili tujue moja!! Ila hawa NYAU wanaobebwa na mfumo, baada ya hii nchi kuwa huru, wote watafunguliwa mashtaka yao.
 
Back
Top Bottom