TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

Uchunguzi ni had watumwe na rais, ingekua hawajutumwa wasingechunguza. Hii taasisi haifanyi kaz kwa weled na inatumika kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni miujiza na nadra sana watu waliotumika kuficha au kutekeleza uovu wowote kwenye utawala fulani kuwajibishwa kwa makosa yao mengine waliyofanya during the course of their employment. Labda tu pale watakapo tofautiana kimtazamo na kusalitiana kisiasa na kudhurumiana and in most cases vifo vyao huwa tu kama kile Cha Dr Mvungi and the like.

Rejea alichokuwa anataka kukifanya Makonda pale bandarini na yale makontena yaliyoingia kwa jina lake angefanya mtumishi yeyote angefukuzwa kazi kwa njia ya press conference kabsa au kwenye mkutano wa hadhara. Nahitimisha kwa kusema kuwa kuna watu kwenye utawala wa Magufuli huu hata kuja kuwafanya chochote never ever and the budern of their sin will remain on his shoulder for the rest of his life.
 
Kwanini TAKUKURU isifuatile pia wizi uliofanyika katika awamu zilizopita? Kwani kuna Limitation Act? Naomba ufafanuzi
 
Namuoona jamaa huyo akielekea jela kilaini! Hii nchi jamani ni tamu sana! nani alitegemea kuwa huyu jamaa angeishia hivi
 
Kaanza mpwa wake wa shirika la wapigania haki, ikafuta na 'mjomba' mtu. Busara ikatumika wasijekutana wote mahabusu. "Hapa kazi tu"
 
Back
Top Bottom