TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

Jamaa anachotaka kusema ni kwamba malipo ya elfu tano saba kwa siku hayatomfikisha kijana popote atazeeka na hana alichokifanya, ushauri wake vijana tuwe wa kuona fursa tupanue wigo wa kutafuta kama unaona ramani yako dar hutoboi basi jichange uende ukajitafute sehemu ingine penye potential, ,mjini watu wanaish tu ilimradi siku ziende mshahara elfu saba nauli buku jero chakula buku jero kodi buku jero asilimia kubwa ya vijana hatuna saving, miaka ijayo tutakuwa na kazi ya kutibu msongo wa mawazo
 
Nipo daressalam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka dodoma kuja huku daressalam kushughulikia mambo yangu ya kikazi, nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4500 mpaka 7000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo jioni vijana wanataka wale starehe za Daressalam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa. Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Daressalam utakuja kudhalilika
Wapi huku vibarua waalipwa K20 kwa siku ?
Ajira rasmi changamoto
Kilimo kwa sasa ni gharama
Biashara zote zinahitaji mtaji
Kila kitu kwa sasa kinaushindani
Vibarua wa vijijini heka kulimia kwa K20 hadi K30 na anatumia week
Wewe shukuru tu Mungu kwa kukupa chance nzuri usiwabeze wengine
 
Nipo daressalam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka dodoma kuja huku daressalam kushughulikia mambo yangu ya kikazi, nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4500 mpaka 7000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo jioni vijana wanataka wale starehe za Daressalam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa. Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Daressalam utakuja kudhalilika
Weka. Suluhu Sasa usiongee kama unaomba kura zao
 
Ule ng'wizukulu na n-gikulu hahohaho!!?...yeeee,wabehi!!!
 
Mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkuti
Tatizo wabongo wamezidi kufuatiliana.

Tuseme mko sawa (for the sake of argument).

Hawa watu tuseme hawana maendeleo mjini.

Sasa kama mtu hataki kuona maendeleo yake mwenyewe, wewe mtu baki unataka kuona maendeleo yake ili iweje?

Kwani umeambiwa kila mtu anataka maendeleo?

Wengine wanataka maisha ya Dar tu, sasa hao utawalazimisha watake maendeleo kama unavyotaka wewe?
 
Kuna mjomba wangu fulani wenyewe kijijini tulikuwa tukimuona bonge la mtu aliyeyapatia.......akija mwenyewe na raba zake za kitozi na vijizawadi fulani vya viguo na penseli kuna picha fulani ya maisha mazuuuri wenyewe tulimjengea kichwani. Mungu si athumani, ghafla bin vuu nikapata safari ya kwenda huko.....kwake. Aisee hayo maisha, ananunua mkamshi wa maharage ndo mboga hiyo. Nilichoka! Ndani hakuna TV, hakuna redio, hakuna umeme, hakuna friji.

'Mjomba; mjini hapa, ndo maisha yetu tunatafuta!' Sitoisahau hii kauli.

Ni kweli mtoa mada, wapo wanaopoteza muda tu mjini kwani mpaka leo hajatoboa na wala hana lolote aisee.
 
We ushawahi kaa huku au unaongea kama malaya kaona bia
Ona hii mbuz inayoish tabata haijawah hata kufka hapo gairo acha kukaril maisha ndio mana dar ushoga unashamil kulko mikoan kwasababu ya ugum wa maisha sio tabia wala homon utakuta umeliwa tacore il ulipiwe chumba kinondon miez sita wakat mkoan iyo kodi n ya miaka miwil kalien kukomaa na dar muone mspoishia kua ma chawa
 
Kuna mjomba wangu fulani wenyewe kijijini tulikuwa tukimuona bonge la mtu aliyeyapatia.......akija mwenyewe na raba zake za kitozi na vijizawadi fulani vya viguo na penseli kuna picha fulani ya maisha mazuuuri wenyewe tulimjengea kichwani. Mungu si athumani, ghafla bin vuu nikapata safari ya kwenda huko.....kwake. Aisee hayo maisha, ananunua mkamshi wa maharage ndo mboga hiyo. Nilichoka! Ndani hakuna TV, hakuna redio, hakuna umeme, hakuna friji.

'Mjomba; mjini hapa, ndo maisha yetu tunatafuta!' Sitoisahau hii kauli.

Ni kweli mtoa mada, wapo wanaopoteza muda tu mjini kwani mpaka leo hajatoboa na wala hana lolote aisee.
Na ndio wengi
 
Back
Top Bottom