Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

Pole Kwa familia ya marehemu, yawezekana mzee wao alikuwa na mengi yanamsibu zaidi ya hiyo madai ya tra.
Kwa Sasa hakuna wa kumlaumu ila marehemu aliechukua uamzi mbaya dhidi yake na kusababisha simanzi ya mapema kw familia,ndugu na jamaa
TRA??? Yaani wee acha tu, sishangai kwa tukio hilo, watu wanapandishiwa kodi mara 3.
 
Mwaka jana nilikua Urambo nilifika pale dukani kwake kununua bidhaa. alilipwa na TRA, na alikuwa ameexpand sana biashara yake ya bidhaa-duka la jumla likawa kubwa, akajenga warehouse, akawa na malori ya kusupply vijijini. Bado alikua na misuguano na maafisa wa TRA na walikuwa na mitego mingi, though jamaa alikuwa smart sana kulipa kodi na kutumia technology. Hii expansion ya biashara za bidhaa kwa pale Urambo, ilimpa maadui wapya-WAARABU WAFANYABIASHARA YA BIDHAA pale Urambo. Hawa waarabu wamejenga monopoly attittude kiasi huwa hawataki supplier mpya sokoni tena awe na bei za chini kuliko wao.

Kwa kweli nimemumizwa na habari za kifo cha Ntunzwe. Apumzike kwa amani. Biashara zake ndio zimefika mwisho. Inaumiza sana.
Inakuaje mwarabu anakuwa na nguvu kwenye nchi yetu weusi
 
Acha chuki na roho mbaya, ukiwa na chuki hata mambo yako hayaendi, halafu mwenye chuki hata sura yake inachange, jichunguze
Hii nchi ni ya watanzania weusi


Mababu zetu waligeuzwa watumwa kwasababu ya nchi Yao na wakapambana kuikomboa. Wengine hadi waliuawa na wengine walijiua kama mkwawa kwenye harakati za kuikomboa nchi yao. Kulikuwa hakuna mzungu, mwarabu au Muhindi kuwasaidia.


Kwahiyo ustuleee upuuzi wako. Ni Tanzania tu mgeni ndio anaweza kumuonea mwenyeji.


We mwarabu Nenda Nigeria au south Africa halafu jifanye unaonea wenyeji uone moto wake
 
Back
Top Bottom