Tabia ya wasanii wa kiume kuvaa nguo za kike na kutoboa masikio ni ujinga!

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,164
25,472
Inasikitisha sana kumuona mtoto wa kiume kavaa nguo ya kike. Hii imekaaje kwa wasanii wetu wa kiume?

Screenshot_20231030-111951.jpg
 
Kila akifanyacho mwanadamu ambacho huwa ni kinyume na maumbile yake hudhihirisha matamanio yake ya kutaka kuwa na maumbile anayoyaiga.

Kutumia usanii huwa ni geresha ila kiuhalisia hao wote ni watoto wa kiume kimuonekano wenye matamanio ya kuwa wanawake.
Hao wote ndani ya nafsi zao wanajihisi ni wanawake na pengine wakiwa vyumbani mwao wanafanywa vitendo vya kike.

Kuna uwezekano wa kuwa msanii na usiwe na mambo ya kike.
 
imekaaje kwa wasanii wetu wa kiume
Tuliangalia hili kwa mtazamo chanya.

1. Kila wafanyacho (wasanii, hasa hawa tunao waita wasanii wakubwa), kipo planned kwa lengo maalum. Msaanii hupangiwa atoke vipi avae vipi kwenye tukio lipi, kwa kuzingatia point #2.

2. Kumbuka number of views/ watchtime kwenye mtandao kama Youtube - Ni chanzo kikubwa cha mapato, Hivyo wasanii huwa na planners wao nini kifanyike ili kuhakikisha kila kukicha wanaongeza number of views/watchtime.
 
Wanayumba
 
Inasikitisha sana kumuona mtoto wa kiume kavaa nguo ya kike. Hii imekaaje kwa wasanii wetu wa kiume?

View attachment 2797949
Ukiwauliza utasikia, "wasanii wengi wanaingia stejini kwa style za kawaida, sasa mimi nikaona nifanye kitu cha tofauti"

Sijui tunaelekea wapi kama taifa, maana watoto wetu wataiga wanaona ni kitu cha kawaida kumbe maadili ndio hivyo yanamomonyoka kwa kiasi kikubwa
 
Kabisa inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom