Wasanii wanaume mfano Ze Comedy kuvaa nguo za kike na television ya Taifa na media kuwaruhusu kurusha vipindi vyao siyo kumomonyoa maadili?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Tunapiga vita mmomonyoko wa maadili kila siku. Tunalalamika katuni na vitabu vinavyoletwa kwetu vinamomonyoa maadili. Lakini wakina JOti, Masanja ambaye pia ni mchungaji na wenzie tunaowaona wakiwa wanautweza uume na kuuvaa ukike.

Wanavaa mavazi ya kike, wanapaka mapambo ya kike, wanatembea kike nAkufanya kike. Lakini sijawahi kusikia watanzania wakiwakemea. Je ,ushoga na mambo kama hayo tunaamini yanaletwa na wazungu pekee na kwamba watanzania siyo chanzo.? Watoto wangapi wanaiga ze comedy wanavyovaa? Wasanii wangapi leo wanajilegeza kike na vyombo vyetu vya habari vinakubali kurusha maudhui hayo? Mbona hakuna makatazo?

Masanja anakwenda mbali zaidi hadi kanisani anavaa mavazi yasiyoendana na kiume lakini tupo kimya. Tunamtengaje Masanja na kundi lake la uchochevu wa maovu yanayofanywa Ulaya? Hata jina la kanisa lake pia linareflect kutokataa kitu means free church .......tusiwe wanafiki tuanze kukemea haya mambo kutokea ndani. Ze comedy na wasanii wanaovaa kinyume na maadili ya jinsia zao wapigwe marufuku. Maudhui si lazima yaondoe utu wa msanii au kutweza utu wa jamii.........

Tuwapige vita mawakala wa shetani
 
Huwezi yazuia haya mambo labda ufute media zote duniani hata waarabu soon mdogo mdogo watachemka.
Tv,radio,mitandao,wasanii ,wanamuziki ajenda Yao kuu ni kuibomoa jamii.
 
Tunapiga vita mmomonyoko wa maadili kila siku. Tunalalamika katuni na vitabu vinavyoletwa kwetu vinamomonyoa maadili. Lakini wakina JOti, Masanja ambaye pia ni mchungaji na wenzie tunaowaona wakiwa wanautweza uume na kuuvaa ukike.

Wanavaa mavazi ya kike, wanapaka mapambo ya kike, wanatembea kike nAkufanya kike. Lakini sijawahi kusikia watanzania wakiwakemea. Je ,ushoga na mambo kama hayo tunaamini yanaletwa na wazungu pekee na kwamba watanzania siyo chanzo.? Watoto wangapi wanaiga ze comedy wanavyovaa? Wasanii wangapi leo wanajilegeza kike na vyombo vyetu vya habari vinakubali kurusha maudhui hayo? Mbona hakuna makatazo?

Masanja anakwenda mbali zaidi hadi kanisani anavaa mavazi yasiyoendana na kiume lakini tupo kimya. Tunamtengaje Masanja na kundi lake la uchochevu wa maovu yanayofanywa Ulaya? Hata jina la kanisa lake pia linareflect kutokataa kitu means free church .......tusiwe wanafiki tuanze kukemea haya mambo kutokea ndani. Ze comedy na wasanii wanaovaa kinyume na maadili ya jinsia zao wapigwe marufuku. Maudhui si lazima yaondoe utu wa msanii au kutweza utu wa jamii.........

Tuwapige vita mawakala wa shetani
Sa ushasema comedy halafu unalalama kama mbayuwayu.
 
sio mmomonyoko labda utoe comedy uweke kitu kingine ndio inaeeza kua mmomonyoko 🐒
 
Back
Top Bottom