Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Dawa ukiongea kitu hasikilizi usiongee tena kausha fanya yako. Mwanamke ukishamuita "mke" kuna arguments usifanye nae, ongea mara 1 asiposikiliza achana nae. msije gombana kisa chupi maana hicho ni kisababu kidogo ila kinaweza kuleta makubwa mbeleni, kikija kujulikana shida ilikua ni hiyo utaonekana wewe ndio una shida "mwanaume".

So achana nae ila usiache kumpa Body Language kuwa hupendi anachofanya. Funga mdomo wako kwasasa.
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi iyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
. Machupi ya mke wa mtu yakianikwa nje, Yanaleta nyege na vishawishi kwa masela... 😀😀.

. Kuwa makini Yawezekana anaanika kwa lengo Fulani... Maana wanawake akili zao ni ERROR 404
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi iyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Hata hilo la kuanika chupi, limekushinda kutatua mkuu??. Kweli linahitaji great thinkers kujadili 😀😀😁?.
 
Mwaka jana niliishi na mpangaji mdada (ingawa ana mume) ila tabia yake ilikuwa inakera sana.

Alikuwa na mtindo wa kufua mara moja kwa wiki, tatizo lake alikuwa anaanika chupi zake zote alizotumia kwa hizo siku kiasi cha kukera kiukweli.

Unakuta kamba ni ndefu na yote imeanikwa chupi pekee.
 
Mkuu mtu akishaona vitu vya ndani vya mkeo anakudharau lkn hawa wake zetu ni wabishi sana ukimwambia anaongea mambo ya wivu yaani hata hawajithamini na kuthamini maumbo yao
 
Mwaka jana niliishi na mpangaji mdada (ingawa ana mume) ila tabia yake ilikuwa inakera sana.

Alikuwa na mtindo wa kufua mara moja kwa wiki, tatizo lake alikuwa anaanika chupi zake zote alizotumia kwa hizo siku kiasi cha kukera kiukweli.

Unakuta kamba ni ndefu na yote imeanikwa chupi pekee.
Mianamke ya namna hii huwa inakera sana.

Mimi binafsi nikiona chupi ya mwanamke huwa napata kinyaa sana tofauti na wengine wanaosema sijui kutamani.

Sipendi kuona chupi ya mwanamke mtu mzima ikiwa imeanikwa nje kila mtu anaona huna naona muanikaji hana akili hata chembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom