Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Jenga nyumba Yako 😁😁

Kile wewe unaona ni spesho mwenzio anaona ni kawaida na kama hizo nguo zake za ndani ni bei kubwa basi ndio ataanika zaidi ili awalingishie wenzie.

Akili za Wanawake hizo 😆😆
 
Mkeo yuko sahihi chupi zinatakiwa zianikwe juani zikauke vizuri. Hiyo ya kuanika ndani atapata fangasi na miwasho aanze kunuka k uje na uzi wa kunuka kisamaki.
 
Ahaaaaa in short wanawake aina ya mkeo ni wasafiiiiiii, yaaani sisi usafi ndo nature yetu, nimeamka saa 11 nikapiga tiz kidogo, fanya usafi ndani, nikafua nguo nilizovaa jana nahiyo ya ndani nimeziacha kambani njee nitaanua jioni.

Kwendraaaa huko una mwanamke msafi unalalamika nini sasa waulize wanaume wenzio, chupi wake zao walizo zivaa wakiwa period zilivyo rundikwa uvunguni mwa kitanda tangu wiki ilopita
👏👏👏 👏👏👏
 
Mkuu sijui unaishi mazingira gani kwa maana ya nyumba unayoishi na wapangaji/majirani. Ila sidhani kama ndani kwako unakosa kisehemu cha mkeo kuanika nguo zake hizo. Cha kufanya tafuta kamba fupi funga ndani kwako eneo ambalo unahisi litafaa halafu toa maagizo umemaliza.
 
Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa

Ana hoja msikilize, kashauriwa na wataalamu wa Afya, somo limemuingia..

Hata hivyo nakupongeza kwa kuhudumia vizuri hadi kufikia kuvaa size XXXL
 
Awe makini, nakumbuka zamani kabisa, kuna mwana alikuwa ana tabia za kuchukua chupi za mama mwenye nyumba anaenda kupigia nyeto..
[emoji23][emoji23]

Huo mmama mwenye nyumba wenyewe sasa ulikuwa na bonge wa mtakoooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Huyo mbwa hafai ana lake jambo uwe makini piga chini
 
Mie nimeshangazwa eti mke anaenda kupewa yellow card kwa kuanika chuppppi nje

Ndoa ngumu aseee
Kwa mwanamke alieolewa viungo vya ndani na nguo zake zinatakiwa zionwe na mmewe tu ndo maana kwa sisi waislam mke hata akienda gengeni ni lazima ajigubike ibaki uso na vitanga vya miguu na mikono tu.

Sasa wewe mke anatembea mitako wazi chupi nje maumbo yote marijali wanaona wakimtongoza unalaumu eti ni mmalaya huo sio uanaume ni uzwazwa
 
Huyo sio mpumbavu tu. nawasi wasi atakua anauza k.
Na cjui kama kaolewa na alomuoa kama kaolewa uyo jamaa anapata tabu sana kama mm, wanawake ni wabishi sana wakiolewa wanataman usingle mother
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom