Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,004
- 113,893
Chupi zina shawishi sana kwa baadhi ya watu, nikiwa chuo kuna jirani yangu alikuwa akiishi na mwanamke wake ni mzuri sana vijana walikuwa wanamtolea macho sana, alikuwa na tabia kama hiyo ya mkeo. Kuna siku nipo ndani dirishan nikamuona jirani anailamba chupi na kuinusa+kuikiss kwa hisia sana almanusura atoe machozi (huyu alikuwa na ukaribu sana na jiran mwenye mke). Kwa hali kama hiyo n rahisi hata mtu kufanya kitu kibayaHebu elezea mkuu tupate kujifunza