Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,613
Hata sijuhi mkuuKwamba anakukonyeza?
Hata sijuhi mkuuKwamba anakukonyeza?
Kweli wengi hugongwa hovyoujinga wa paka ni pale anapovuka barabara!!
-kweli anajua kuna magari, na ni hatari kuvuka bila kutazana pande zote
-husimama na kutazama kushoto kwa zaidi ya dk 5
-kisha hutazama na upande wa kulia zaid ya dk 5
-Kisha huvuka kwa madoido bila kutazama tena kushoto na gari imekaribia
Ghafla utasikia ..waaaaauuuu....! (kashabutuliwa na gari)
we wachunguze wanapovuka barabara
hahahahaaaa, huyo wa kwako ni paka mtuYaan napenda sana Paka, Nampenda sana Paka wangu... ukiweza kuishi na huyu mnyama utaenjoy sana.
Ila ndio wana vituko hatari, hua 1.Ananiacha hoi ukimsema kwa jambo fulani ananuna siku nzima basi hali hata umuwekee nini hali ng'oo.
2.Anajua yeye ni sehemu ya familia na akija mgeni atamkarimu kama mwanafamilia.
3. Ana wivu balaa, akija mtoto akiona ninamjali sana yule kuliko yeye anaweza hata kumparua na kulia kila saa hakuishi.
4. Kuna siku anachagua chakula kama hataki dagaa ni hali mpk umpe samaki au nyama au kama kuna samaki halafu ukampa dagaa hali.
5. Akiumwa ana mlio wake anautoa unajua kua minyoo imepamba moto, na akiumwa hali mwenyewe mpk nimlishe tena mimi tu.
6. Siku akiamua kukaa na mimi room hata nimtoe vipi hatoki hasa akiona mgeni fulani fulani hivi (lol) ndio atakomaa rum hatoki mpk namuacha tu.
Ukitaka rafiki wa kweli basi ni Paka ila ukitaka Mlinzi basi ni Mbwa. The choice is yours.
Kunyofoa godoro nadhani ni mazoezi ya kunoa kucha zakePaka Ana hisia Sana,hata Kama katenganishwa na ukuta mkubwa,akipita panya kwa nje lazima atahisi tu kupitia antenna zake,pia antena zake zinampa balance,ukizikata anapoteza balance ya kutembea,paka ni mjinga Sana,umleavyo ndivyo akuavyo,hulazimika kunya ndani pale ambapo hawezi kutoka nje,in most cases huwa anajisaidia nje,tena hapendi kuonwa,asili ya paka ni uwindaji,ukimpa chakula unafanya awe zezeta,MPE maziwa tu,.Sipendi tabia yake ya kukoroma koroma,pia kunyofoa godoro kwa kucha zake na kukufata kitandani,.Ni mnyama ambaye Ana kibamia
YeahTofauti ya paka na mbwa: mbwa anajua yeye ni msaidizi wa mwanadamu, paka anadhani yeye ni boss wa mwanadamu. Yanapenda uboss sana yanafurahisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WalaHao watoti hawagombanii ziwa?
Inawezekana..... lolhahahahaaaa, huyo wa kwako ni paka mtu
Kijijini hao washambaWa huku kwetu wanabanduana mchana kweupe, ila kijijini sijawahi kuona.
Utakuwa umezoea kuishi maeneo yenye paka pori au mipaka ya uswahilini na nahisi ndiko unako ishi paka ukimfundisha hutakuta kanya sehemu tofauti na uliyo mfundisha nina paka hapa kwangu kwakweli ana nidhamu ya hali ya juu ,swala la kukaa kwenye sofa ni hulka ya mnyama huyo anapenda sana starehe na si vibaya hasa ikiwa umelea na kumtunza vyema na ana afya bora na hana kwashakoo , kwa anapendeza hata akilala kwenye sofa au kitanda.Siwapendi paka!hawana ustaarabu kabsa!anakunya ovyo!analala ktk sofa!hangalii muda huu kuna wageni au laah!
Wanasema Massa kumi nanane mkuuPaka katika masaa 24 ya siku analala masaa 13 yani zile dakika tano au mbili anazo lala na kuamka ukijumlisha unapata masaa 13
Hahahaaa et paka humwona mbwa ni mbwa,,,,sasa unataka amwone kama mbuz wakat ni mbwa???mimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!
Tatizo mmezoea paka shume huko uswahilini ,paka aliye lelewa vyema na kufundishwa swala la kudokoa mboga na kunya hovyo halipo kabisaa. Paka kama analishwa vyema na anafundishwa utampenda , ni sawa na mtoto wako usipo mfundisha maadili mema ataishia kuwa shoga na kibaka kama sio malayaMe sipendi kabis kuish nayo....ukiyazoesha tu ndani yanaanza kufanya km pale ndo kwao na yy ndo toto la mwsho yn full mideko mara likulalie miguuni mara lidokoe mboga hlf panya linawaacha
Anawivu kumbeYaan napenda sana Paka, Nampenda sana Paka wangu... ukiweza kuishi na huyu mnyama utaenjoy sana.
Ila ndio wana vituko hatari, hua 1.Ananiacha hoi ukimsema kwa jambo fulani ananuna siku nzima basi hali hata umuwekee nini hali ng'oo.
2.Anajua yeye ni sehemu ya familia na akija mgeni atamkarimu kama mwanafamilia.
3. Ana wivu balaa, akija mtoto akiona ninamjali sana yule kuliko yeye anaweza hata kumparua na kulia kila saa hakuishi.
4. Kuna siku anachagua chakula kama hataki dagaa ni hali mpk umpe samaki au nyama au kama kuna samaki halafu ukampa dagaa hali.
5. Akiumwa ana mlio wake anautoa unajua kua minyoo imepamba moto, na akiumwa hali mwenyewe mpk nimlishe tena mimi tu.
6. Siku akiamua kukaa na mimi room hata nimtoe vipi hatoki hasa akiona mgeni fulani fulani hivi (lol) ndio atakomaa rum hatoki mpk namuacha tu.
Ukitaka rafiki wa kweli basi ni Paka ila ukitaka Mlinzi basi ni Mbwa. The choice is yours.
Kweli kabisa,,maana biblia inamfananisha mwanamke mpumbafu na Pete ya dhahabu ktk pua ya nguruweWewe umetumwa nimesema baadhi sio wote, au wew mmoja wao, mbona umeugua gafla
Nliletaga mmoja akasepa sikuhiyohiyoHahaaa kweli! Na paka hakai kwa Msela
Tatizo mmezoea paka shume huko uswahilini ,paka aliye lelewa vyema na kufundishwa swala la kudokoa mboga na kunya hovyo halipo kabisaa. Paka kama analishwa vyema na anafundishwa utampenda , ni sawa na mtoto wako usipo mfundisha maadili mema ataishia kuwa shoga na kibaka kama sio malaya
wanyama wafugwao hasa paka na mbwa nao wanahitaji malezi na mafunzo kama ambavyo una fanya kwa watoto wako kinyume na hapo tegemea mbwa koko na paka shume kama ambavyo usipo lea vyema wanao tegemea wavuta bangi na malaya wa kutupwa
Ukiona hivyo ujue umeishi sana uswahilini hivyo umekumbana na mipaka shume, paka aliye fugwa na akapewa huduma utampendaKatika mnyama ambae simpendi basi ni paka!! Ila mnyama ambaye nampenda sana huwa ni mbwa wana akili sana