Niki breki hapa kwenye kubeba boksi yani ni bizee kichizi. Kufungua huu uzi my day has been made all Addy. Hahahaha
paka hatupwi mkubwa unavitupa vidogo kabla havijapata akili au usikuPaka hapotei njia hata siku moja
Kuna paka nilienda kumtupa mbali sana na nyumbani
Wakati wa kurudi nikapotea njia ila bahati nzuri nikamuona yule paka anapita
Nikaanza kumfuata nyumanyuma mwishowe nikajikuta nimetokea nyumbani
Ukiita nyau haji ukiita paka haji hadi uite pusi pusi ndio anakuja analinga sanaPaka kwa jina lengine si anaitwa NYAU!!! jina hili limetokana na sauti yake kuu japo anazo nyingi
dah unapenda lasagna sana wewee what a coincidence leo kwenye restaurant yetu napopiga mzigo walipika beef lasagna. Ila ukimuuliza mfuasi yeyote wa Lipumba-vu kutoka buguruni au temeke mikoroshini Beef Lasagna atafikiri labda ni tusi unamtukanaNi mnyama Ninaye mpenda Sana mpk Sasa Nina paka 6
1. Paka ni mnyama anayejua kudekeza mwanae anaweza akazaa mizao 3 na wote wakanyonya kwa pamoja
2.paka hapendi Fujo, ni mnyama mstaarab Sana
sipendi kuila vyakula vya cheese sipatan navyo ila ninalipenda jina lake tu.dah unapenda lasagna sana wewee what a coincidence leo kwenye restaurant yetu napopiga mzigo walipika beef lasagna. Ila ukimuuliza mfuasi yeyote wa Lipumba-vu kutoka buguruni au temeke mikoroshini Beef Lasagna atafikiri labda ni tusi unamtukana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaha hapo kwenye maiti hazipotei bali ni nyama yao ni tamu sana hasa kwenye mishkaki ya mia mia na kapilipili. Njoo mburahati dar ipo kwa wingi
Mkuu umesema huwezi kuwaona paka wakifanya mapenzi kama ilivyo kwa wanyama wengine lakini hapo hapo unatuambia paka dume akimwaga mbegu kwa jike,jike anagaragara chini kama amemwagiwa maji ya moto..Hawa paka ni waajabu sana, kuna vitu vingine ukijiuliza hupati jibu kabisa
Kwa mfano;
Maiti zao zinapotelea wapi?
Kingine wanapofanya mapenzi, kiuhalisia huwezi kuwaona wakifanya mapenzi hadharani, wanyama wengine kama mbwa, mbuzi, ng'ombe na wengineo angalau wengi wetu tumebahatika kushuhudia, ila kwa paka ni nadra sana.
Paka dume akimwaga mayai ukeni mwa paka jike, jike anagaragaza kabisa utafikiri kamwagiwa maji ya moto sehemu za siri huku akipiga kelele haieleweki kama anapata maumivu au la, hawa ndo paka ajabu sana.
Mimi huwa sipati picha kuhusu hawa paka, akijisaidia anafukia, wastaarabu sana
Najua wengine watashare vingi hapa...
Karibuni sana...
Nimecheka sana.Paka ni wanafki, wanajifanya wasafi tuu Ila hamna kitu hizi ni sifa zao mibovu ambazo wana tumia akili nyingi kuzificha
Paka anakunya hata kwenye unga, haya mavi utaya ona Ila mkojo je?
Paka unaweza ukawa Humpendi Ila usimuoneshe kama humpendi eti yeye kishajua, akikuona tu nduki
Paka ukiwa mwingi wa mambo mfano una tembea na vi power bank( hirizi) mwenzie ashakuchora muda tu
Paka wanafanya sana mavituz, wanapenda sehemu zilizotulia nishawafuma Mara tano, kidume kinamwaga mauno zaidi ya mada maugo
Paka bwana wanatabia ya kupiga chabo....unaweza ukawa bafuni au toilet unashika adabu zako paka akawa katulia tuu juu ya ukuta anakuchora.
Unaweza kununua subwoofer asione mtu zaidi ya PAKA Ila utashangaa jirani anajua
Kweli kumtupa ni shughuli.Paka unaweza ukatoka Kwako Mbezi Asubuhi ukaenda kumtupa Ubungo usishangae jioni ukamkuta amerudi tena Mbezi...
[emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kiboko yenu..Paka wanajua kuogelea nakumbuka kuna mmoja tulienda kumtupa bonde la msimbazi maji yamejaa full na yanaspeed tukamtupa kufika home tukamkuta anaota Moto jikoni
Aggy ulilowa nini hahahah raha sana mauno ya paka ni balaaahawa viumbe nshawahi kuwafuma usiku live wanagegedana..sasa kuwaangalia tu wanavyofanyana najiharibia mood yangu.
nikirisha jiwe ..nukipiga vishindo waachane wapi!! ndo kwanza wanazidisha mauno..
mi nahisi paka anawazidi hadi nguvu za kiume wanadamu cz anapiga mzigo hata saa nzima non-stop.
acha kabisaa.Aggy ulilowa nini hahahah raha sana mauno ya paka ni balaaa
Lakini kwanini ulitaka kuwakatisha uhondo ukaanza kuwapiga na mawe cheze dyudyu ilivyo tamuacha kabisaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile mishikaki ya jion ni shidaHahaha hapo kwenye maiti hazipotei bali ni nyama yao ni tamu sana hasa kwenye mishkaki ya mia mia na kapilipili. Njoo mburahati dar ipo kwa wingi