Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

ujinga wa paka ni pale anapovuka barabara!!
-kweli anajua kuna magari, na ni hatari kuvuka bila kutazana pande zote
-husimama na kutazama kushoto kwa zaidi ya dk 5
-kisha hutazama na upande wa kulia zaid ya dk 5
-Kisha huvuka kwa madoido bila kutazama tena kushoto na gari imekaribia

Ghafla utasikia ..waaaaauuuu....! (kashabutuliwa na gari)

we wachunguze wanapovuka barabara
 
Paka ndiyo nini tena mbona mimi najua tu kale kamnyama kapenda starehe kanalia nyau nyau unakakuta kako juu ya friji kanachapa usingizi mara kwenye sofa mara kitandani nahisi kuna watu wamerithi tabia ya Nyau starehe tu kazi hakuna mimi rafiki yako mkubwa ni MBWA wako wawili HOLO NA NGUSSA ndiyo marafiki zako hata ikitokea noma tunasaidizana ila hako kanyau kamo ndani kama pambo tu kulingana tabia zake
[emoji1][emoji1][emoji1]...mbwa ndo nawaamini...wana msaada kama binadam
 
Kwa tabia zake hizo ndio maana akaitwa Paka.Kingine ni kuwa Paka hata ukimrusha kutoka ghorofa ya 10 atatua chini kwa miguu yake na sio mgongo,kichwa,tumbo n.k..
Wanajua kufanya mahesabu yao vema wakiruka wenyewe au kuponyoka kwa bahati mbaya. Ila ukimtupa kwa nguvu anapoteza umakini wake na anaweza tua vyovyote!
 
mimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!
Hahahaha eti anamwona mbwa ni mbwa, ya kweli hayo mkuu????
 
Huyo mnyama simuelewagi kabisa.nilipokuwa nakaa home.ukiamka usiku kujisaidia.una mkuta amekaa dirisha la mbele. Ametulia kimyaaaaa.sasa uwa najiuliza hapa anafanya nini.likiniona linakimbia.asubuh nikimuona tu lazma nilipige.ila lina roho ngumu.haliondoki home.
 
Kitu ambacho ni muhimu kwa paka na mbwa ni wadaktari wazuri wa matatizo ya saikolojia hasa ukiwa na stress zako..!!!
Pia nimesikia kwa ulaya sina uhakika kama ni kwa nchi zote mbwa ni sehemu ya familia na ukitaka ugombane na meenyeji wako mzungumzie vibaya mbwa wake..!!!
 
Paka ndiyo nini tena mbona mimi najua tu kale kamnyama kapenda starehe kanalia nyau nyau unakakuta kako juu ya friji kanachapa usingizi mara kwenye sofa mara kitandani nahisi kuna watu wamerithi tabia ya Nyau starehe tu kazi hakuna mimi rafiki yako mkubwa ni MBWA wako wawili HOLO NA NGUSSA ndiyo marafiki zako hata ikitokea noma tunasaidizana ila hako kanyau kamo ndani kama pambo tu kulingana tabia zake
Marafiki wako au marafiki wetu?
 
Hawa paka ni waajabu sana, kuna vitu vingine ukijiuliza hupati jibu kabisa

Kwa mfano;
Maiti zao zinapotelea wapi?

Kingine wanapofanya mapenzi, kiuhalisia huwezi kuwaona wakifanya mapenzi hadharani, wanyama wengine kama mbwa, mbuzi, ng'ombe na wengineo angalau wengi wetu tumebahatika kushuhudia, ila kwa paka ni nadra sana.

Paka dume akimwaga mayai ukeni mwa paka jike, jike anagaragaza kabisa utafikiri kamwagiwa maji ya moto sehemu za siri huku akipiga kelele haieleweki kama anapata maumivu au la, hawa ndo paka ajabu sana.

Mimi huwa sipati picha kuhusu hawa paka, akijisaidia anafukia, wastaarabu sana

Najua wengine watashare vingi hapa...

Karibuni sana...
Kuna paka wa mtaani walikuA na tabia wakitaka kugegedana wanakuja kufanyia dirishani kwangu, shida ni pale paka labda pair 3 zinagegedana hizo sauti ni zaidi ya sauti 12 za Lucifer kule mbinguni. Teh teh
 
mimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!
hahahahaaaaaaa
 
Wee jamaa wee umenifanya niangue kicheko Cha hatarii. Thanks so much bro
 
Back
Top Bottom