Ninachojua ni nadra sana kukuta mwanamke/msuchana anaoenda paka. Sababu kubwa ni kwa sababu wanafanana tabia, Paka anapenda kupendwa na kuwa cared of, na mwanamke naye ana tabia hizo hizo.
Physics ilishaweka wazi kwamba pande mbili zinafanana hukwepana, muongeaji hupenda kukaa na wasikilizaji si waingeaji wenzake. Kundi pekee ambalo hupenda kuwa pamoja ni lile la wabishi na mashabiki.
Mwanamke hupatana na mbwa kwa kuwa Upendo wa Mbwa ni unconditional na yeye hupenda kupenda no matter what.
Tabia nyingine ya paka ambayo unapaswa kuigahamu ni kwamba huwa hadondokei Mgongo, kwa wasomi wa literature wa enzi zile kama mnakumbuka, ndiyo maana yule jamaa aliyekua akiitwa Okinkwo alikua akijiita au akiitwa paka sababu hakuna aliyewahi kumdondosha katika ile muchezo ya mieleka.
Kingine kuhusu paka ni msafi sana, awapo macho paka hutumia muda mwingi akijilamba/akijisafisha mwili wake.
Kama unapoishi pana nyoka basi fuga paka, kama hawataliwa basi nyoka lazima wahame, (kitimoto pia ni mraji mzuri wa nyoka).
Uwezo wa paka kuona ni black and white.
Lastly be careful, hapendi kuacha kinyesi chake kikiwa kinaonekana, hivyo basi kama utaacha unga wazi atajisadia humo na kufukia ukija kuchota unga unaweza ukayasonga kwenye ugali. Kijijini huwa tunachekecha unga kabla ya kuutumia.