Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Hawa paka ni waajabu sana, kuna vitu vingine ukijiuliza hupati jibu kabisa

Kwa mfano;
Maiti zao zinapotelea wapi?

Kingine wanapofanya mapenzi, kiuhalisia huwezi kuwaona wakifanya mapenzi hadharani, wanyama wengine kama mbwa, mbuzi, ng'ombe na wengineo angalau wengi wetu tumebahatika kushuhudia, ila kwa paka ni nadra sana.

Paka dume akimwaga mayai ukeni mwa paka jike, jike anagaragaza kabisa utafikiri kamwagiwa maji ya moto sehemu za siri huku akipiga kelele haieleweki kama anapata maumivu au la, hawa ndo paka ajabu sana.

Mimi huwa sipati picha kuhusu hawa paka, akijisaidia anafukia, wastaarabu sana

Najua wengine watashare vingi hapa...

Karibuni sana...
Hahaha.....paka wa Siku hizi wanapiga show hadharani
 
PAKA JIKE ana tabia ya KUJIPITISHA PITISHA akiona WANAUME WAMEKAA,,Mara KAJIBINUA,Mara ANAJIRAMBA MAKALIO,,,Yaani PAKA Wa AJABU SN....
 
Paka aweza kuzaa vitoto saba lakn ndani yake vikawa na mafungu matano ya baba yaani kwa paka kila tendo moja la penzi hurutubisha kitoto kimoja.
 
Tulikuwa na paka Fulani hivi dume. Aisee yule paka alikuwa wakati wa kulala anataka alale ndani ya neti kama nyinyi. Sasa ikifika usiku mnamtoa, akasema anhaaa yeye akawa anawai chini ya kitanda ili mkilala mkijisahau naye anaingia ktk neti. Kazi ikawa kabla ya kulala lazima mhakikishe kuwa hayupo chini ya kitanda. Shida yake kubwa ilikuwa unaweza kutoka usiku na safari zako akakufuata kwa umbali mrefu kama wa mita 900 usipostuka atakufuata tuu...sasa tulikuwa tunaishi uswahilini ambapo unaweza kudhaniwa we mchawi. Kazi ikawa usiku kabla ya kutoka paka yuko wapi...ikawa shida nilipewa kazi ya kumkamata usiku wa saa 10 kila ambapo wakubwa wakubwa walikuwa wanatoka kuwai kazini sokoni. Kazi ilikuwa kumkimbiza na kumkamata usiku. Uzuri shughuli ilikuwa ndani ya geti...siwezi kumsahau yule paka...baada ya miaka kama 3-5 akawa mkubwa sana sura imevimba halafu anajiona Don pale nyumbani anafanya analotaka akawa analala juu ya bati. Kwa wiki anaingia ndani mara moja. Mwishowe akawa haingii mnamsikia usiku tuu mara akapotea hatukumuona tena...ila naamini alikufa koz alishaanza kuwa dhoofu dhoofu
alikuwa shume tayar...sipendi paka alievimba uso unakuta paka kakomaa balaa
 
Hawa paka ni waajabu sana, kuna vitu vingine ukijiuliza hupati jibu kabisa

Kwa mfano;
Maiti zao zinapotelea wapi?

Kingine wanapofanya mapenzi, kiuhalisia huwezi kuwaona wakifanya mapenzi hadharani, wanyama wengine kama mbwa, mbuzi, ng'ombe na wengineo angalau wengi wetu tumebahatika kushuhudia, ila kwa paka ni nadra sana.

Paka dume akimwaga mayai ukeni mwa paka jike, jike anagaragaza kabisa utafikiri kamwagiwa maji ya moto sehemu za siri huku akipiga kelele haieleweki kama anapata maumivu au la, hawa ndo paka ajabu sana.

Mimi huwa sipati picha kuhusu hawa paka, akijisaidia anafukia, wastaarabu sana

Najua wengine watashare vingi hapa...

Karibuni sana...
Aisee paka wa ajabu sana ,Kama kazaa ukimwona anahamisha vitoto faster
 
Wadogo zangu walikuwa na paka kila mmoja, mmoja alikuwa anaitwa Jasmine mwingine Nyanyembe....

Basi huyo Jasmini alikuwa ana maringo kama binadamu na muelewa kinoma, ikifika muda wa kula anaambiwa kaa hapo usubiri upewe chakula chako basi anasubiri kimyaaa...[emoji28]! Nyanyembe alikuwa mpole sana halafu mzurii sana lakini hakukaa sana kama Jasmine akafa, mdogo wangu alitoa machozi yani hakuwa na raha siku nzima masikini [emoji22]

Vibweka vya udokozi na kunya ndani havikuwepo, lkn kulala kitandani sana tu na walikuwa wanakubaliwa mana walikuwa wanapendwa kwahiyo walikuwa wanajiamulia tu mambo yao..
 
Back
Top Bottom