Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Ahsante sana mkuu,mimi ni mdau sana wa paka,hata nikimkuta mgahawani ama poppte lazima nimnunulie maziwa au chakula.

Kuna pahala huwa hukaaga kula chips kariakoo nikifika pale nyau wakinifuata tu lazima niwanunulie mishkaki.

Wakiniona tu lazima waje.

Kuna mwingine nilikuwa namnunulia supu na chapati.
Watu hadi wakawa wananishangaa.
Dah we kama mimi, nawapenda sana paka yani. Nikihamia kwangu ntawafuga kama afsa mifugo. Ntaenda kununua breed tofauti niwalee tu. Uzuri hawali sana kama Mbwa!
 
Paka ni mvivu na by nature ni kiburi. Anajua kama unamwita na anaamua asije au aondoke kabisa. Anaweza akakuona na anajua ww ndo unampa chakula lakini asijali. Tofauti kabisa na mbwa
Umenikumbusha marehemu Paka wangu (lolo) alikua na maringo jamani ukimuita kama hajisikii haji hata ufanyaje mpk atake mwenyewe, nakumbuka siku hiyo anataka kuzaa alilia mnooo alikuja kujigalagaza miguuni kwangu nilimuonea huruma alijifungua huku familia nzima tunamuona ilikua poa sana, akatoa mapacha wawili tu wa kiume mpaka anafariki hajazaa tena sijui alijiapiza hahahaha mmoja wa watoto wake yupo hadi leo (6 years)
 
Tulikuwa na paka Fulani hivi dume. Aisee yule paka alikuwa wakati wa kulala anataka alale ndani ya neti kama nyinyi. Sasa ikifika usiku mnamtoa, akasema anhaaa yeye akawa anawai chini ya kitanda ili mkilala mkijisahau naye anaingia ktk neti. Kazi ikawa kabla ya kulala lazima mhakikishe kuwa hayupo chini ya kitanda. Shida yake kubwa ilikuwa unaweza kutoka usiku na safari zako akakufuata kwa umbali mrefu kama wa mita 900 usipostuka atakufuata tuu...sasa tulikuwa tunaishi uswahilini ambapo unaweza kudhaniwa we mchawi. Kazi ikawa usiku kabla ya kutoka paka yuko wapi...ikawa shida nilipewa kazi ya kumkamata usiku wa saa 10 kila ambapo wakubwa wakubwa walikuwa wanatoka kuwai kazini sokoni. Kazi ilikuwa kumkimbiza na kumkamata usiku. Uzuri shughuli ilikuwa ndani ya geti...siwezi kumsahau yule paka...baada ya miaka kama 3-5 akawa mkubwa sana sura imevimba halafu anajiona Don pale nyumbani anafanya analotaka akawa analala juu ya bati. Kwa wiki anaingia ndani mara moja. Mwishowe akawa haingii mnamsikia usiku tuu mara akapotea hatukumuona tena...ila naamini alikufa koz alishaanza kuwa dhoofu dhoofu
 
Kuna species tofauti za paka
Kuna paka
Aliletwa home yaani watoto wakikua tuu
Yeye anahama,na madume yakikua yanasepa ila majike huwa wanapaki na tunawapa watu so anabaki mmoja
Pale muda huu yupo.sijuhi kitukuu
Au kilewmbwe yule!!

Ndugu zake huwa wanaishia batini au kuja kula siku moja moja
 
mimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!
Hahaa . Ana madharau hatari
 
Ni mnyama Ninaye mpenda Sana mpk Sasa Nina paka 6
1. Paka ni mnyama anayejua kudekeza mwanae anaweza akazaa mizao 3 na wote wakanyonya kwa pamoja
2.paka hapendi Fujo, ni mnyama mstaarab Sana
Kwako sio pa kuja
 
Hawa paka ni waajabu sana, kuna vitu vingine ukijiuliza hupati jibu kabisa

Kwa mfano;
Maiti zao zinapotelea wapi?

Kingine wanapofanya mapenzi, kiuhalisia huwezi kuwaona wakifanya mapenzi hadharani, wanyama wengine kama mbwa, mbuzi, ng'ombe na wengineo angalau wengi wetu tumebahatika kushuhudia, ila kwa paka ni nadra sana.

Paka dume akimwaga mayai ukeni mwa paka jike, jike anagaragaza kabisa utafikiri kamwagiwa maji ya moto sehemu za siri huku akipiga kelele haieleweki kama anapata maumivu au la, hawa ndo paka ajabu sana.

Mimi huwa sipati picha kuhusu hawa paka, akijisaidia anafukia, wastaarabu sana

Najua wengine watashare vingi hapa...

Karibuni sana...
Kuhusu kunya na kufukia hawa jamaa mavi yako yanaharufu mbaya na kaki sana tena kuliko hata ya binadam sjui kamanalijua hilo [emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji85][emoji85]
 
Paka ni wavivu sana, wanapenda kukaa sehemu safi tena yenye joto kama kuna baridi anaweza kwenda chini ya blanket ulilojifunika
Au kweny jiko la mkaa akaota moto ama hata kulala juu ya jiko lenyewe kama moto umezima ili asikolizie kale kajoto ka jiko.
 
Kwa tabia zake hizo ndio maana akaitwa Paka.Kingine ni kuwa Paka hata ukimrusha kutoka ghorofa ya 10 atatua chini kwa miguu yake na sio mgongo,kichwa,tumbo n.k..
Hili nilikuwa clijui aisee asante kwa kinifumbua macho na maskio aisee
 
Tulikuwa na paka Fulani hivi dume. Aisee yule paka alikuwa wakati wa kulala anataka alale ndani ya neti kama nyinyi. Sasa ikifika usiku mnamtoa, akasema anhaaa yeye akawa anawai chini ya kitanda ili mkilala mkijisahau naye anaingia ktk neti. Kazi ikawa kabla ya kulala lazima mhakikishe kuwa hayupo chini ya kitanda. Shida yake kubwa ilikuwa unaweza kutoka usiku na safari zako akakufuata kwa umbali mrefu kama wa mita 900 usipostuka atakufuata tuu...sasa tulikuwa tunaishi uswahilini ambapo unaweza kudhaniwa we mchawi. Kazi ikawa usiku kabla ya kutoka paka yuko wapi...ikawa shida nilipewa kazi ya kumkamata usiku wa saa 10 kila ambapo wakubwa wakubwa walikuwa wanatoka kuwai kazini sokoni. Kazi ilikuwa kumkimbiza na kumkamata usiku. Uzuri shughuli ilikuwa ndani ya geti...siwezi kumsahau yule paka...baada ya miaka kama 3-5 akawa mkubwa sana sura imevimba halafu anajiona Don pale nyumbani anafanya analotaka akawa analala juu ya bati. Kwa wiki anaingia ndani mara moja. Mwishowe akawa haingii mnamsikia usiku tuu mara akapotea hatukumuona tena...ila naamini alikufa koz alishaanza kuwa dhoofu dhoofu
[emoji23][emoji23] paka mafala sana ujue hahahaha
 
Ukitaka kujua paka ni hatar kuliko wanyama wote ujifungie nae ndani ya chumba halafu uanze kumpiga wee atakufanya kitu mbaya hapendi kuonewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85]
 
Usiniambie. Ile mishkaki ya mia mia ni nyama ya paka?ile mishkaki naipenda huwa mitamu ya barabarani.utanifanya nisinunue
Muongo huyu bhana [emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom