HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Paka katika masaa 24 ya siku analala masaa 13 yani zile dakika tano au mbili anazo lala na kuamka ukijumlisha unapata masaa 13
Paka hanyi hovyoSiwapendi paka!hawana ustaarabu kabsa!anakunya ovyo!analala ktk sofa!hangalii muda huu kuna wageni au laah!
Including your motherMi paka nawafananisha na tabia za baadhi ya wanawake,.. They think they are kings and queens
Wewe umetumwa nimesema baadhi sio wote, au wew mmoja wao, mbona umeugua gaflaIncluding your mother
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ni kweli paka anajiona yuko juumimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!
Usiniambie. Ile mishkaki ya mia mia ni nyama ya paka?ile mishkaki naipenda huwa mitamu ya barabarani.utanifanya nisinunueHahaha hapo kwenye maiti hazipotei bali ni nyama yao ni tamu sana hasa kwenye mishkaki ya mia mia na kapilipili. Njoo mburahati dar ipo kwa wingi
[emoji23][emoji23][emoji23]Paka wanajua kuogelea nakumbuka kuna mmoja tulienda kumtupa bonde la msimbazi maji yamejaa full na yanaspeed tukamtupa kufika home tukamkuta anaota Moto jikoni