Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Paka hapotei njia hata siku moja
Kuna paka nilienda kumtupa mbali sana na nyumbani
Wakati wa kurudi nikapotea njia ila bahati nzuri nikamuona yule paka anapita
Nikaanza kumfuata nyumanyuma mwishowe nikajikuta nimetokea nyumbani
we jamaa ndo ulitungiwa kile kistory hv


but umeandka uongo tu
 
Katika kitu ambacho paka hakiwezi ni kujificha, anaweza kukaa nyuma ya kigai(jiko) na yeye akaona kama amejificha.
Kuna jirani hapa paa lake lipo wazi sasa paka wameweka makazi siwapendi sasa paka mmoja akavizie akaingia jikoni nilivyomuona nikamfungia mlango nikaenda kutafuta fimbo kichekesho eti kajificha nyuma ya jiko eti ndo kajificha wakati yupo uchi nikaufungua mlango eti bado kajikunyata nilimfyatulia bakora aliruka huyoo
 
Paka ndio mnyama pekee anaefaidi, na kutumia Mali za mmiliki ipasavyo kuanzia sofa, fridge, na kitanda, wakati upo kazini yeye amekaa home kwenye sofa anachapa usingizi akichoka anaenda kupata joto la fridge,

Ila kusema kweli paka ni msafi na anajipenda kuliko maelezo, ameumbiwa starehe.
 
ujinga wa paka ni pale anapovuka barabara!!
-kweli anajua kuna magari, na ni hatari kuvuka bila kutazana pande zote
-husimama na kutazama kushoto kwa zaidi ya dk 5
-kisha hutazama na upande wa kulia zaid ya dk 5
-Kisha huvuka kwa madoido bila kutazama tena kushoto na gari imekaribia

Ghafla utasikia ..waaaaauuuu....! (kashabutuliwa na gari)

we wachunguze wanapovuka barabara
Usiku paka akivuka anakuwa na mawewe na taa humchanganya


Paka bwana kuna siku alikuwa anavuka bwana kashaanza kukimbia kuvuka Mara kapiga break kati kati na kurudi Si akakanyagwa mkia wacha aruke ruke

Huwa wana mapepe sana
 
Huyo mnyama simuelewaki kabisa.nilipokuwa nakaa home.ukiamka usiku kujisaidia.una mkuta amekaa dirisha la mbele. Ametulia kimyaaaaa.sasa uwa najiuliza hapa anafanya nini.likiniona linakimbia.asubuh nikimuona tu lazma nilipige.ila lina roho ngumu.haliondoki home.
Haha hapa kwa jirani kuna paa la bati lipo wazi linaangaliana na home sasa paka wameweka makazi saizi wamebaki 2 wabishi kinoma wanakera nimekuwa mkuda wakishuka kwenye ukuta kama hawajaniona nawatembezea stick na nikiwaona karibu nawakimbiza na fimbo ila wabishi ila saizi wamejenga uoga ..ila dawa yao ipo jikoni mpaka watahama
 
Paka anamuogopa jongoo kuliko nyoka!
Mchana,paka huwaona binadamu kama dagaa....usiku huona watu kama mazimwi ama magiant!!
Asante sana mkuu nilikuwa natafuta mechanism kuwafukuza mapaka yanakera hapa karibu na home paa la bati ngoja niwatafute jongoo sasa niwaweke kwenye makazi yao
 
Kiuhalisia tunafuga paka majumbani mwetu kama mapambo tu na si kwajili ya ulinzi. Ukiona paka anafukuzia panya ndani ya nyumba ujue paka huyo humlishi vizuri.
Mlinzi mzuri wa nyumba ni mbwa make hata mchawi akija malangoni atamuona na kubweka tofati na paka ambaye kiuhalisia ni harmless kwa mchawi.

Note; ukitaka kumsafirisha paka usigeuke nyuma ulikomtoa vinginevyo hata ukifika nae uendako lazima arudi ulikomtoa.
Si kweli mkuu, paka kwenye mambo ya kishirikina ni mlinzi mzuri tu kuliko mbwa. Mbwa anabweka tu na anaweza ata akakaa pembeni kwa kunung'unika tu. Ila paka ana pambana hadi anahakikisha ama icho kibaya kinasepa au anakufa yeye.

Utamsikia tu na ule mlio wake wa kuchimba mkwala. Paka anajiamini kuliko mbwa
 
unasema paka ni wavivu panya unashikaga wew yani ninavyopenda acheni tu hata nikiitwa mchawi cjui mganga tena ndo raha hata nikisahau mlango wazi kibaka haingii
 
17554124_233633893778917_1461117831000747626_n.jpg
 
Back
Top Bottom