Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Pusi halina tatizo!
You might have heard your elderly neighbor refer to her cat as a "pussycat." And in her most tender moments, you might have heard her in the yard, saying, “Here, pussy-pussy.” That’s because pussy is another word for cat. It’s also a word for a woman’s genitals. Generally, it’s considered offensive when it refers to a woman’s body. It’s probably not a word you should say to your math teacher or your mother. Unless you’re talking about the neighbor’s cat.
 
Kwa tabia zake hizo ndio maana akaitwa Paka.Kingine ni kuwa Paka hata ukimrusha kutoka ghorofa ya 10 atatua chini kwa miguu yake na sio mgongo,kichwa,tumbo n.k..
We mpakae asali miguuni kisha mrambishe kidogo halafu mrushe,hata gorofa Mia atatua kwa mgongo asichafue mikono,nimefanya hili saana utotoni. Haaa haaaa
 
Hawa paka ni waajabu sana, kuna vitu vingine ukijiuliza hupati jibu kabisa

Kwa mfano;
Maiti zao zinapotelea wapi?

Kingine wanapofanya mapenzi, kiuhalisia huwezi kuwaona wakifanya mapenzi hadharani, wanyama wengine kama mbwa, mbuzi, ng'ombe na wengineo angalau wengi wetu tumebahatika kushuhudia, ila kwa paka ni nadra sana.

Paka dume akimwaga mayai ukeni mwa paka jike, jike anagaragaza kabisa utafikiri kamwagiwa maji ya moto sehemu za siri huku akipiga kelele haieleweki kama anapata maumivu au la, hawa ndo paka ajabu sana.

Mimi huwa sipati picha kuhusu hawa paka, akijisaidia anafukia, wastaarabu sana

Najua wengine watashare vingi hapa...

Karibuni sana...
Wananiudhi wengine kujisaidia ktk unga na kufukia.
 
Watu wengi hua wanawafuga kwaajili ya panya
Ila wakishiba , hata panya apite mbeleyao hawaangaiki nao
Umenikumbusha mbali, nakumbuka karibu nyumba nyingi za mitaa ya sinza full panya pale, so paka walijipatia milo bila shida yoyote, Sinza kuna panya si mchezo!
 
mimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!

[emoji38]
 
Back
Top Bottom